Nauli hizi za SGR nani atapanda? Kutoka Dar - Moro Tsh 24,000?

Hata sh 500 ya daladala ni nyingi Sana kwa mwananchi wa kawaida.
Kusafiri ni mipango kwani wanatakuwa KILA siku unasifiri
Myopic thinking hivi unajua sio ajabu kwa mtu kukaa morogoro na kufanya kazi Dar ? , Usafiri ukiwa rafiki hii inaweza ikawa safari ya mtu kila siku kwenda na kurudi
 
They are willingly killing it before it stars. Sijajua lakin wametumia uhalisia wa wateja wao au walitumia mere papers. We must balance the papers and the reality of the fields
lakini si zita operate zote?!? ile ngongongo na speed kali, then its your choice. mabasi pia yapo. mi nasubiri tu ianze nione kama haitajaza mpaka kutema kwa bei hiyo. kama natumia masaa mawili tu kwenda mrgr nafanya shughuli zangu narudi mjini, why niogope kulipa 48,000/= narudi kulala home?!?, lakini kwa anayeenda mrgr huko ndani vijijini huko anatoka dar saa12 asbh saa moja asbh hiyo yupo moro, anaunganisha mpaka mashambani huko. tusilalamike sana kabla haijaanza, tuisubirini tuone
 
Myopic thinking hivi unajua sio ajabu kwa mtu kukaa morogoro na kufanya kazi Dar ? , Usafiri ukiwa rafiki hii inaweza ikawa safari ya mtu kila siku kwenda na kurudi
Kama 500 tu inawashinda watu nauli na wapo mjini, kihehere cha nini kukaa dar kufanya Kazi Moro kama ujimudu kiuchumi.
 
Ndio maana nasema unafikiri kwa mafungu na sio kwa ujumla..., Dar inahitaji huduma ngapi kutoka Morogoro ? Na kwa karne ya sasa ya hizi train za kasi mwendo umepungua na kwa watu kusambaa kunapunguza mirundikano ya watu.., kwa mtu kuweza kuingia na kutoka kwa haraka sehemu moja mpaka nyingine ni kuchochea uchumi...

Vilevile ukiweka bei kubwa wakaenda wachache au bei ndogo wakaenda wengi na kupunguza misongamano barabarani hio ni faida au hasara...
 
Bei uendana na gharama za uendeshaji.
 
Bei uendana na gharama za uendeshaji.
Hapana sio kwa hii issue..., Moja Train wateja wakiwa wachache bora usiwekeze kwenye train uwekeze kwenye basi..., (wakiwa wengi vice versa) unadhani hawa wateja zingehitajika basi ngapi ?
1670656338096.png

Kwahio tukisema tuweke bei kubwa wateja wakiwa wachache huenda hata hizo gharama zisifikiwe...,

Lakini bei ikiwa rafiki watu wengi wakitoka point A mpaka B hata kama hii ni huduma ni faida kwa nchi, vilevile hii ni train pia kutakuwa kuna mizigo n.k. mwisho wa siku hata hii kitu isipoleta faida ya kipesa basi kuna faida nyingine nyingi kama watu kwenda / kufika kwenye uzalishaji wao kwa urahisi na gharama rafiki...

Watu binafsi wakitaka wanaweza kuleta yao na kuyaendesha wanavyotaka na kulipia matumizi ya njia za UMMA (that is possible)
 
View attachment 2441559

Hizi tren za india wanapanda bure nini kwa kujaza huku
 
Yaani hadi nimemkumbuka jpm.Ukilinganisha nauli za sgr ya Kenya na naijeria unaona kabisa nauli za Tanzania ni Mara tatu ya zile za Kenya na nigeria na kwa umbali huo huo.Hii inchi imringiliwa na mafisadi
 
Wabadilishe mabehewa kwanza...nauli kwa mabehewa yale ni 10k moro...
20k Dom.
 
Hapa au hii ni kutaka kuwaonyesha wananchi kwamba kuendesha huu mradi ni garama kubwa au wananchi kutumia treni ni anasa.

Yaani kwenda Dodoma -60,000/-!.

Treni kwa waliostaarabika huko ni usafiri wa garama nafuu sana sisi unaenda kuonekana ni anasa.
Bongo kila kitu ni vice versa yaani ni kama huwa tuna dunia yetu wenyewe
 
Yaani hadi nimemkumbuka jpm.Ukilinganisha nauli za sgr ya Kenya na naijeria unaona kabisa nauli za Tanzania ni Mara tatu ya zile za Kenya na nigeria na kwa umbali huo huo.Hii inchi imringiliwa na mafisadi
Nairobi to Mombasa ni 4 hours kwa SGR na Gharama zake ni 21,000 Economy na 63,000 kwa First class.
 
Hiyo ni bei ya nauli walizopendekeza wao trc then latra watakusanya maoni ya wadau ili wacrosscheck pande zote kupata bei sahihi ya mlaji. Kama mlaji napendekeza nauli ya dar moro iwe 6000
Swali linakuja, hawa wa kupendekeza walizingatia nini hadi wakaja na bei hii na wanaelewa treni huwa ni usafiri most cheap hapa duniani.

Wametutega na washatutega kwa hizo bei zao maana wanajua hatutacheza mbali na hapo.

Huu ni uhuni na wizi, kabla ya yote ilitakiwa LATRA wazikatae washushe kwanza ndo na wananchi wakazijadiri. Hizi hazijadiliki kabisa
 
Back
Top Bottom