Hello wakuu,
Nimeona nishare sababu Niko Katika Hali mbaya mawazo Mabaya YA kujidhuru yananijia kichwani....sijawahi kupenda kama nilivompenda yeye kila kitu kilikua vizuri gafla akakata mawasiliano week 3 nikimpigia hapokei sms hajibu nimehangaika nikaongea Na dada Na kaka yake lkn bado alinikalia kimya....mara ya mwisho kuwasiliana nae tuliwasiliana vizuri tu...mipango yetu ilikua tufunge ndoa Na alipanga mwezi Huu aje nyumbani kujitambulisha lkn gafla imrtokea Bada ya kimya kirefu siku 5 zilizopita nikamtumia sms ya kuachana lakini hakunijibu kitu...naumia Na sijawahi kumkosea chochote Ila ameamua kunifanyia Huu ukatili
Naumia Sana najiuliza maswali ambayo sipati majibu