Naumaliza mwaka Kwa machungu ya kuachana na mwanaume wangu niliyempenda sana

Naumaliza mwaka Kwa machungu ya kuachana na mwanaume wangu niliyempenda sana

Hello wakuu,
Nimeona nishare sababu Niko Katika Hali mbaya mawazo Mabaya YA kujidhuru yananijia kichwani....sijawahi kupenda kama nilivompenda yeye kila kitu kilikua vizuri gafla akakata mawasiliano week 3 nikimpigia hapokei sms hajibu nimehangaika nikaongea Na dada Na kaka yake lkn bado alinikalia kimya....mara ya mwisho kuwasiliana nae tuliwasiliana vizuri tu...mipango yetu ilikua tufunge ndoa Na alipanga mwezi Huu aje nyumbani kujitambulisha lkn gafla imrtokea Bada ya kimya kirefu siku 5 zilizopita nikamtumia sms ya kuachana lakini hakunijibu kitu...naumia Na sijawahi kumkosea chochote Ila ameamua kunifanyia Huu ukatili
Naumia Sana najiuliza maswali ambayo sipati majibu
It was not meant to be! hakuwa wako huyo hivyo shukuru imetokea mapema wakati bado ukiwa na nafasi ya kupata mwingine...acha kulialia, kwenye mapenzi lazima upigwe tukio kama hivyo ndio unakuwa imara!
 
Sijataka kwenda Hana shida yoyote
Ulitakiwa na wewe ukae kimya baada ya kumtumia msg na kutokukujibu,

Itambue thamani yako,Know ur worth,

Ungepiga kimya hata mwezi mmoja tu,basi yeye ndiye angeanza kukutafuta,

Tatizo umefanya papara na kumtumia msg eti ww ndio unataka muachane!

Kama alikupenda kweli basi atarudi tu kwako ila akirudi jaribu kufikiria mara mbili kabla hujaamua kuendelea nae,hiyo ni Red flag kwako,wakubwa tunaelewa.
 
Hello wakuu,
Nimeona nishare sababu Niko Katika Hali mbaya mawazo Mabaya YA kujidhuru yananijia kichwani....sijawahi kupenda kama nilivompenda yeye kila kitu kilikua vizuri gafla akakata mawasiliano week 3 nikimpigia hapokei sms hajibu nimehangaika nikaongea Na dada Na kaka yake lkn bado alinikalia kimya....mara ya mwisho kuwasiliana nae tuliwasiliana vizuri tu...mipango yetu ilikua tufunge ndoa Na alipanga mwezi Huu aje nyumbani kujitambulisha lkn gafla imrtokea Bada ya kimya kirefu siku 5 zilizopita nikamtumia sms ya kuachana lakini hakunijibu kitu...naumia Na sijawahi kumkosea chochote Ila ameamua kunifanyia Huu ukatili
Naumia Sana najiuliza maswali ambayo sipati majibu

Kumbe wewe ndiye umemuacha?

Hujajua mtu amepatwa na nini alafu unamtumia meseji zako za mihemko.

Sawasawa
 
Kabisa amekutana na mtu akiwa mtu mzima , hakuzaliwa nae Hana sababu ya kujiliza hapa aondoke atapata kilicho Bora au kibovu zaidi ya hicho ndio maisha , maisha yanakupa unachostahili na sio unachokitaka
Kuna vitu unafanya kwa faida ya afya yako.
Hupaswi kabisa kuumiza kichwa kwa mtu ambae hakupi thamani stahiki
 
Hello wakuu,
Nimeona nishare sababu Niko Katika Hali mbaya mawazo Mabaya YA kujidhuru yananijia kichwani....sijawahi kupenda kama nilivompenda yeye kila kitu kilikua vizuri gafla akakata mawasiliano week 3 nikimpigia hapokei sms hajibu nimehangaika nikaongea Na dada Na kaka yake lkn bado alinikalia kimya....mara ya mwisho kuwasiliana nae tuliwasiliana vizuri tu...mipango yetu ilikua tufunge ndoa Na alipanga mwezi Huu aje nyumbani kujitambulisha lkn gafla imrtokea Bada ya kimya kirefu siku 5 zilizopita nikamtumia sms ya kuachana lakini hakunijibu kitu...naumia Na sijawahi kumkosea chochote Ila ameamua kunifanyia Huu ukatili
Naumia Sana najiuliza maswali ambayo sipati majibu
Mm niseme tu mshkur sana mungu kwa kla ktu mana huwez elewa nn mungu amekuepushia , pia kumbuka unalolipanga wewe sio ambangalo mungu so usijutie zaid toa shukran zako za dhati kwa mungu muumba na kuomba Zaid akuondoshee mawazo potosi Dunia ni kubwa inanafasi bado usifadhaike
 
Hapo zilikua zimeshapita week mbili mkuu nikimpigia hapokei sms hajibu nilimtumia break up text nione kama ata make effort kuokoa mahusiano ndo nikarealize kama alidhamiria tuachane
Pole,wanaume tupo wengi,achana nae atakuua kwa presha,kwani uwezi kuishi bila yeye bibie?? Mungu anataka kukupa mtu sahihi sana, muda mwingine kila likuepukalo lina kheri ndani yake,usilazimishe.
 
Kuumia umekutaka mwenyewe kwa kuwa kwenye FIKRA zako umeamua kutafsiri kitendo cha kukaa kimya kama tukio la kuachwa, siku zote tatizo haliwezi kuwa tatizo kama haujatafsiri kitendo fulani kuwa tatizo hapo mwenyewe umetengeneza tatizo alafu unaumia mwenyewe kwa tatizo ulilotengeneza kwenye FIKRA zako, badili FIKRA zako kama ameamua kukaa usimtafute acha heshimu maamuzi yake hapa unacheza na FIKRA zako utashangaa maumivu yatapotea kama upepo, ila kitendo cha kung'ang'aniza kumtafuta FIKRA zako zitakuletea kila haina ya hisia za maumivu yaani zitakunyoosha mpaka unaweza fikia maamuzi mabaya ya kujidhuru au unaweza pata magonjwa yasiyoambukiza, ipo hivi maumivu unayoyapata hayatokani na kitendo cha jamaa kukaa kimya bali maumivu unayoyapata yanatokana na FIKRA zako zinazotafsiri kitendo hicho kuwa umeachwa si umeona wewe mwenyewe FIKRA zako zimekwambia mwache au zimekwambia umeachwa alafu hizo hizo FIKRA zako zinakusaidia kukuletea hisia za maumivu ila kukusaidia ujisikie kuumia kuanzia sasa badili FIKRA zako uwone kama utaumia assume hata amekufa kila akija akilini tamka kuwa amekufa rudia kwa dakika tano amekufa amekufa amekufa amekufa danganya FIKRA zako mpaka zitakubali amekufa hauwezi sikia tena maumivu.
 
Back
Top Bottom