Navutiwa sana na wanaume wanaovuta bangi au sigara

Mungu nipe maisha marefu yapo mengi sijayajua kumbe

Sasa tuwalize pole pole nyie jinsia ya KE nini mnataka?

wenye pesa
Wenye six pack
Wavuta bangi/sigara
Wenye gari

Ama vipi mbona mnatuchanganya sasa!
Mwanaume awe na pesa, akikosa six pack awe na kakitambi ka kufutia simu😁 avute tubangi au tusigara kidogo kama havuti chochote kati ya hivyo basi awe mlevi akishindwa ulevi awe mnywaji🀣gari ni lazima jamani jua ni kali na mvua pia ni nyingii mweehπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Bila kusahau awe na mapenzi ya dhatiii kabisa + kucareπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Natania jamaniπŸ€£πŸ€£πŸ€£πŸ‘‹πŸΎ
We ledada, jibu lako la kuuwa wanaume linahitajika hapa
 
Usiache kipeleka moto kichuga ingawa kwa sasa unaishi daa😁
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wizooo tulikubaliana avute bangi, ila sio kuwa tejaa.

Mbna inaelewekaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…