Nawaza ingekuwa Rais Samia ndio kasaini Mkataba wa SGR...

Ilikuwa miradi yetu na haikuwa na terms za ajabu..Magu alikuwa smart sana💪
 
Sindiyo maana memfanya mlicho mfanya

Kweni hatujui mlicho mfanya!!
Kama kweli kifo cha dhalimu ni matakwa ya watu fulani ni sawa tu. Maana yule hakustahili kuwa kiongozi wa nchi hii.
 
Ilikuwa miradi yetu na haikuwa na terms za ajabu..Magu alikuwa smart sana💪
Umeiona mikataba?

Unasema alikuwa nini? Wewe unamuona smart? Kwi Kwi kwi teh teh teh.

Msome mama alisema nini👇🏾

Endelea kuwaza, kwenye mambo ya msingi mnaleta udini[emoji706]
 
Ule utapeli wa dhalimu tulikuwa tunamkosoa humu humu jukwaani kuwa ni mpika data mkubwa, na ushahidi tulikuwa tunaweka. Sio kila mtu alimtetea kwa ukristo wake. Na uzuri ukosoaji wetu kwa dhalimu upo humu jukwaani.

Namshangaa faiza leo kaja na hoja ya udini, mim na ugalatia wangu nimemkosoa jiwe mwanzo mwisho na mpaka naingia kaburini sitokubaliana na aina ya utawala wa jiwe
 
Hebu ona kutapatapa huku; hata aibu/soni usoni hakuna?

Tumefika hadi hatua hii, bado unaona kuna la kuhoji na kulinganisha ujinga wa DPWorld na kitu kingine?
 
Anayechelewesha bwawa la nyerere ni mkandarasi,naalitakiwa ailipe pesa serikali.je viongozi walipo walifanya hilo?
Wakati magifuli anaongoza hii nchi viongozi waliompinga wapo wakristo wenzake. Wale maaskofu walikuwa hawakubaliani baazi ya mambo ya Magu.
 
Hebu ona kutapatapa huku; hata aibu/soni usoni hakuna?

Tumefika hadi hatua hii, bado unaona kuna la kuhoji na kulinganisha ujinga wa DPWorld na kitu kingine?
Jibu hoja achana na soni na sanyo.
 
Namshangaa faiza leo kaja na hoja ya udini, mim na ugalatia wangu nimemkosoa jiwe mwanzo mwisho na mpaka naingia kaburini sitokubaliana na aina ya utawala wa jiwe
Huyo nadhani ni zaidi ya "udini"; kuna kitu hakiko sawa kabisa kichwani mwake.
 
Soma kijana👇🏾
 
Namshangaa faiza leo kaja na hoja ya udini, mim na ugalatia wangu nimemkosoa jiwe mwanzo mwisho na mpaka naingia kaburini sitokubaliana na aina ya utawala wa jiwe
Ndiyo zenu hizo, kila mkishindwa hoja mnakimbikia dini.

Kwani kinachopingwa bandarini ni nini zaidi ya dini?

Mbina hamuisemi MoU ya bandarini ya Dollar Million 500?

Mama Samia kauza nini kwa Dollar million 500?

Semeni TICTS walitoa ngapi kabla ya kuanza kazi na kwa. Miaka yote ameleta faida upi?

Mwarabu jajaanza kishawekeza Dollar million 500.

Unaelewa hilo au huelewi?
 
Wewe unaona hoja gani hapo katika maandishi hayo uliyoweka hapo?
Unataka Magufuli afufuke akamalize hiyo miradi?
Nauliza, kinachopingwa bandarini ni nini kama siyo dini?
 
Rais hatii saini hovyo hovyo kwenye mikataba.
 
shida yako wewe kichwani humo muna mbegu za mabuyu kwasababu huyo kakuambia haupingi huu mkataba kwasababu ya dini bali kaupinga kwasababu zake anazoona ni za kitapeli na pia kakuambia kamkosoa sana magufuli ambae ni mkristo mwenzie
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…