Nawezaje kuacha kuchukua pesa zao bila kulala nao?

Yeye anaona ni bahati kubwa sana. Kasema "nina bahati"
 
Ngoja kwanza Kuna Press Conference ya Lema Kesho akimaliza ntakuja kukwambia kitu!

Like attract like! ... Si kila mtu anakuja kwako na kuweza kukupa kila kitu kwa sababu wanataka mbususu.

Kuna watu wanajua aina ya girl wa kulala nao ili ubebe nyota zao kwa ajili mafanikio.

Anasema "Umekuwa Mfu wewe, Kwa sababu ya Mwanamke huyu uliyemtwaa"

Hiyo sio bahati!

Sheria ni hii; Ukipokea lazima utoe! Hata kama si Cha mwilini ila Rohoni utatoa tu!
 
Jamani naomba kuuliza swali Wakuu hivi hii kuchanganya lugha iliyokithiri ndo mnaitaje kwani siku hizi mana hadi ladha ya kusoma kitu huwa inapotea.
 
Jamani naomba kuuliza swali Wakuu hivi hii kuchanganya lugha iliyokithiri ndo mnaitaje kwani siku hizi mana hadi ladha ya kusoma kitu huwa inapotea.
We call it SWANGLISH dear, sorry kama hukupenda bt kuna maneno mengine kuandika direct kwa kiswahili inakuwa ngumu
 
Jamani naomba kuuliza swali Wakuu hivi hii kuchanganya lugha iliyokithiri ndo mnaitaje kwani siku hizi mana hadi ladha ya kusoma kitu huwa inapotea.
Mboa nyie yanga mmechanganya lugha hapo jangwani? Zimbabwe, ivory coast, bukinafaso,
 
Kwa majina wanayokuita ni ishara uko empty fanya hivi hama maeneo unayoishi Kisha uanze upya kujenga haiba Yako na usikubali kuitwa majina ya hovyo hayo.
Sioni yakiharibu utu wangu, naamini katika mikakati yangu so wao wanayafurahia pengine
 
Asante sana, hii nzuri✍🏼
 
Naona leo kuna wapika chai wengi sana humu!
 
Umeandika kitu cha tofauti, nimewaza sana, Doh, anyways salimia LEMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…