Nawezaje kuondokana na haya majeraha yanayo niumiza moyo wangu

At last someone kaona alafu nakumbuka Uzi wa mwisho alisema kaamua wanaachana Tena namuuliza ananikataa kishkaj tu

Cc; Intelligent businessman ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ™Œ๐Ÿพ
 
Ila yote tisa
Kwenye masalia ya Mungu umenimaliza shogaangu!

Haki vile mi Mbinguni sitoboi, kuna masalia ya Mungu duniani na siyajui, ah weeeeh! haaata daladala la mbingu sipandi hata wakinilipia nauli, sTEEENDI YA KWENDA MBINGUNI sitaiona!
Weeeee, sijui jambo hili mpk umri hhu, we sitoboiiiiii!
ni motoni direct! KHAAAA!
 
Sawa madam Asante
 
af hawezi kumsahau anaona ndo alikuwa na true love alidiriki hata kujiweka hatarini kupata kesi ya ubakaji kwa ajili yake ili amuoneshe anavyompenda!

nYIIIIEE!
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Sasa km mtu anaweza kukaa bar na mwanaume mwingine na sehemu hiyo hiyo katokea ex wake mwingine halafu vyote vibabu ndio tushangae wabakaji wao..!!

Safari bado ni ndefuuuu!!
 
Asante kwa ushauri nitaufanyia kazi
 
Amen Asante
 
Hayo masalia ya Mungu ndio kina Mwamposa au? ๐Ÿ˜น
 
we huwa nakaa nasikiliza namna watu wanaelezea wachungaji wao, hakiiiiii miiiiiimi najikuta kabisa ntaenda motoni nitakuwa kuni!
Mana sijawahi hata kuwaza kiongozi wangu kiimani ana huo ukuu watu wanauelezea, sasa si nitakuwa kuni tu mimi jamani?
Kifupi mimi ni zsidi ysko..sitaki shobo kabisa na hao the so called watu wa dini...kuna jirani lastmonth aliniita akaniambia kama ntapemda nijumuike naye kwamaombi every usiku sa2..nikaenda huo.usiki..ni wale walokole wa dizaini ya maji yasipotoka kwake anaanza kukemea sijui roho za maanguko.. imagine maji tu hatak kujiongeza mayb mchanga utakua umeziba au bomba kupasuka.. nashangaa anaanza semaniseme shda zamgu zotee wamwambie Mungu..
Nikasema sina prob yoyote akaniambia je biashara zako je zinaenda sawa? Funguka leo uongee na Mungu direct nikasema ziko sawa..wakakosa nguvu..yaani mama mwenyewe hana ndoa ni single parent anataka niombea ndoa yangu!!!anaomba usik kucha kelele kibao...seems ana depression kali sana..sijarudi tena toka pale maana niliona uzushi mno mno...mim naomba kimoyomoyo na Mungu wamgu sio nipeleke shida kwanmtumishi nikiamini yeye ni safi kunizidiโŒ
 
At last someone kaona alafu nakumbuka Uzi wa mwisho alisema kaamua wanaachana Tena namuuliza ananikataa kishkaj tu

Cc; Intelligent businessman ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ™Œ๐Ÿพ
Sijui unazungumza nini nafikiri unafikiri nipo kimdhaa hapa
Tatizo unasoma kwa mihemko ndio maana tuna kinzana kama umeelewa nimeelezea kuwa ni miaka imepita

Ina maana mzizi wa story zote nazoleta humu chanzo chake ni Hii story ya Leo

Na ulipouliza hatujaachana nimeshangaa maana ninaemzungumzia hapa ni marehemu sijajua wewe una maanisha nini
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น Hebu niambie kwanza mahi hayo masalia ya Mungu. Mbona wanazidi kutuchanganya watu wa mataifa..!!
watu wa mataifa tunazidi kutengwa na mbingu mahii! imajini duniani tupate kazi ya kushauri thread kama hizi na motoni tuteseke! si watuue tu kama sisi sio pipo!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ