cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 96,456
- 156,324
Ktk kazi ya Sensa malipo hayatazidi lak 5, nipo nimekaa paleKwa information za ndani kila mwanasensa atalipwa 40000@19days =760,0000/= siyo mbaya ,ukizingatia hali ilivyo ngumu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ktk kazi ya Sensa malipo hayatazidi lak 5, nipo nimekaa paleKwa information za ndani kila mwanasensa atalipwa 40000@19days =760,0000/= siyo mbaya ,ukizingatia hali ilivyo ngumu
Nimeshangaa mie eti mtu std 7, naye kachukuliwa lolHa ha aaa hili Ni kweli kabisa na lasaba wamo
Haizidi lak 5.1.3M? [emoji1][emoji1][emoji1] Nchi ipi hiyo wakipewa saaaana 560k
Makinda hovyo kabisa kama bunge lake.Kwa zile kauli za Anne Makinda sijui ngoja tuone. Maana watu wanapiga hesabu za kukunja 1.3M lakini sidhani.
Anaikosaje wakati nchi hii tajiri sana! Magu alikuwa sahihi, nchi ina pesa hii, tatizo letu ni vipaumbele tu. Wanasiasa wanakula mkwanja wa kujipimia tu yani! Keki [emoji513] ya taifa inaliwa na wachache!Maana kama kamati za sensa za mikoa na wilaya hajiwai lamba posho vipi hawa wengine?
Nimejaribu kuwaza 1.3M zidisha kwa makarani 250,000 nchi nzima. Mwigulu ana hiyo hela kweli?
Hii nchi sio maskini, na hili nalo liangaliweBillion 350+ ni pesa ndogo kuelekezwa kwenye malipo tu achilia mbali vifaa na logistics zingine? Kwa Nchi maskini kuelekeza mapesa yote hayo kwa kazi ya mwezi unaita hela ndogo? Hahahaha you cant be serious!!
Hakuna zoezi la kitaifa limewahi kwenda vizuri kama lilivyopangwa. Tuna ulafi na tamaa ya pesa ajabu. Bajeti iliyopangwa haifiki chini kwa mlengwa kama ilivyo. Kila inapopita inapigwa panga! Mwisho wake zoezi linaishia njiani!Zoezi la postcode liliharibika hivi hivi. Hadi leo mahali napoishi namba za vibao zimeandikwa kwa mkaa ukutani. Waliofanyakazi ya posti kodi wanadai zaidi ya laki moja posho yao ilifia huko huko halmashauri X
Usimzibe mdomo, si useme unachojua wewe kinyume chake?Hivi wewe na negativity sijui ukoje? Kitu hujui nyamaza
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] acheni hzo nyieHaizidi lak 5.
Mnadai malipo wakati hata hamjatuhesabu jamani.Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu, semiza zianze ni siku ya kumi na moja Leo kuna baaadhi ya halmashauri hazijalipa hata senti moja. Swali, hao wanasemina wanaishije, usafiri, nk?
Angalizo, kuna uhuni unaendelea watu wanawatoa watu wamekaa siku nane semina wanaleta watu wao zile siku nane wanajiandikia wao.
Wito, kama mtu kafukuzwa alipwe pesa yake, na kwanini watu wakae semina siku zaidi ya tano bila malipo? Huo si uhuni na mazingira ya upigaji?
Mama Makinda watch out! Kuna uhuni unaendelea kama hamjatoa pesa semeni.
Shida ipo Kwa wanazoezi pia.Nyuzi zingine MTU anakurupuka kalipwa laki 950 bado anadai 650.Kauli ilipaswa iwe moja,kama hakuna walikolipwa nchi ijue,sio MTU unajikurupusha kujidanganya umelipwa huku unajua unajidanganya mwenyewe.Huk
Huku nilipo hukuna mtu kafukuzwa hila kuhusu posho ni 0-0 na kuhusu logistics Ni kwel hawana Ni kuhusu mitihan watu wamepata 100 90%
Leo siku ya 11 watu hawajapewa hata sh 100
Athari negative Ni kuwa
Breakfast+lunch Ni mbaya Sana na mwisho wa siku watu wameanza kujipanga kupika data as a revenge.
zoezi limeingiliwa na rushwa, dhuluma na uonevu mkubwa kuanzia kwenye usaili hadi semina yenyewe. Mungu waondolee kiburi watu kama hawa. Serikali iko vizuri tatizo watendaji wake ni hovyo kabisa, wabinafsi sana.Niende moja kwa moja kwenye hoja yangu, semiza zianze ni siku ya kumi na moja Leo kuna baaadhi ya halmashauri hazijalipa hata senti moja. Swali, hao wanasemina wanaishije, usafiri, nk?
Angalizo, kuna uhuni unaendelea watu wanawatoa watu wamekaa siku nane semina wanaleta watu wao zile siku nane wanajiandikia wao.
Wito, kama mtu kafukuzwa alipwe pesa yake, na kwanini watu wakae semina siku zaidi ya tano bila malipo? Huo si uhuni na mazingira ya upigaji?
Mama Makinda watch out! Kuna uhuni unaendelea kama hamjatoa pesa semeni.
Nahapa hajawahesabu wale wakubwa kuanzia mwenyekt wa sensa taifa na kamisaa kushuka had kwawawezeshaj wa sensaBillion 350+ ni pesa ndogo kuelekezwa kwenye malipo tu achilia mbali vifaa na logistics zingine? Kwa Nchi maskini kuelekeza mapesa yote hayo kwa kazi ya mwezi unaita hela ndogo? Hahahaha you cant be serious!!
Huku nyasa leo awamu ya pili imelipwa, jumla had sasa lak 4Bil 350+ ingekua pesa ndogo kama ndio ingekua pesa ya zoezi zima. Hiyo ni pesa ya kulipa makarani tu, achilia mbali wengine. Pia kuna mchakato wa hadi sensa kufanyika na kumalizika.
Hata hivyo Hilo zoezi tokea mwanzo mliambiwa Cha kwanza ni uzalendo. Ukiona malipo hayapo au hayafai acha
Hebu tuone,mjumbe toka nyasa leo wamepewa lak 2 awamu ya pili, jumatatu wameambiwa lak 2 na 40 iliyosaliaHaizidi lak 5.