Mbowe huwa anao msimamo ila pia huwa anajali sana maslahi yake kifedha.
Mbowe anapaswa kufukuzwa kabisa CHADEMA.
Hivi vichama vinavyoongozwa na mamangi Hakuna kitu.
Hakuna Cha mangi Mbowe, Mrema Wala mbatia.
Takataka kabisa
Mbowe ni mwiba wa CCM?Kwa kosa lipi. Naona uzi ni wa Mbatia lakini wote mmegeukia Mbowe kwa sababu ni mwiba wa CCM .
Mbowe amefanya kazi nzuri sana kwa miaka mingi ila sasa anapoendelea kukaa madarakani kwa miaka mingi wengi tunamchoka.Duh! Mbowe amewashika pabaya. Maslahi ya kifedha yepi, mtu alibomolewa Bilcanas yake, kaharibiwa shamba lake na pia kafunguliwa kesi ya ugaidi na kufungiwa akaunti zake zote na pesa kuchukuliwa. Usiongee uongo kufurahisha nafsi yako.
Nimecheka Sana aisee ,KAZI imeanzaHalmashauri Kuu ya Chama cha NCCR Mageuzi imemsimamisha Mwenyekiti wake, James Mbatia kufanya shughuli zote kisiasa za chama hicho mpaka pale atakapoitwa kwenye mkutano mkuu kujieleza.
View attachment 2232853
Mwenendo wake hivi karibuni umekuwa sio wa kuridhisha..
SAKARASI Hizi Wanataka Kututoa Kwenye ReliHii nchi ngumu sana. Lakini sitahama hata hivyo
Mbowe amefanya kazi nzuri sana kwa miaka mingi ila sasa anapoendelea kukaa madarakani kwa miaka mingi wengi tunamchoka.
Suala la maslahi yake kifedha yupo vizuri sana kupata ndani ya chama mkuu, hili linajulikana.
Chama sasa apewe kijana wa kazi John Heche ili ccm wapotezwe kabisa.
Naunga mkono. Ccm inabidi tuige huu uthubutu na mfano NCCR Mageuzi walkohuonyeshaHiki ndicho chama chenye demokrasia ya kweli kwenye nchi hii. Vyama vingine ni Mali za wenyeviti na hawagusiki. lakin NCCR kwa historia yake wameonesha ukomavu wa kisiasa na kuwa hakuna aliye juu ya Sheria.
Mbatia anaomba kuteuliwa kuwa mbunge kwa Hangaya?wakati huohuo wafuasi wake walikatwa masikio kwenye uchafuzi uliopita?aisee
Hawa watu wakiondoka upinzani ndio umekwisha Tanzania.Ni jambo jema
Akina Tundu Lisu nao wampige stop mangi Mbowe
Mbowe anapaswa kufukuzwa kabisa CHADEMA.
Kwanini mpaka leo hamujawaeleza watanzania kisa cha mbowe kufutiwa mashtaka kule mahakamani na tayari alikuwa na kesi ya kujibu lakini alipotoka tu break ya mwanzo akatuwa ikulu bila hata kuonana na famili yake kwanza lakini toka siku ile mbowe tunamuona sasa kawa mtu wa Ikulu muda wote, kwanini hamujawaeleza watanzania nyuma ya pazia kuna nini.,Lini Mbowe ameenda kwenye shughuli za CCM ? Mbowe kuonana na Rais imekuwa nongwa. Juzi hapa mlimuita gaidi leo mmebadilika Tena.
Mbatia anaomba kuteuliwa kuwa mbunge kwa Hangaya?wakati huohuo wafuasi wake walikatwa masikio kwenye uchafuzi uliopita?aisee