NCCR Mageuzi yamsimamisha James Mbatia kufanya shughuli za Chama

Mbatia anaweza kuitimua hiyo kamati iliyompiga stop. Hii ndio Tanzania vya vyama vingi
 
Ukisikia kuwa uyaone sio maghorofa.
Kuishi kwingi kuona mengi
Penye miti hapakosi wajenzi. .
Ongezea na za kwko
 
Duh! Mbowe amewashika pabaya. Maslahi ya kifedha yepi, mtu alibomolewa Bilcanas yake, kaharibiwa shamba lake na pia kafunguliwa kesi ya ugaidi na kufungiwa akaunti zake zote na pesa kuchukuliwa. Usiongee uongo kufurahisha nafsi yako.
Hii hoja yako ya bilkanas na mashamba unaipenda sana. Wenzio wenye akili na ufahamu wameshaachana nayo maana wameona haina mantiki yoyote kwa chama. Wenye akili tumegundua kuwa mtu wa mfuko anaweza kufanyiwa mazingaombwe yoyote kama ya bilkanas, mashamba nk ili kuwarubuni wasioona mbali. Lkn mwisho wa siku mfanyiwa mazingaombwe analipwa madhila yake yote aliyofanyiwa nyuma ya pazia.
 
Naunga mkono. Ccm inabidi tuige huu uthubutu na mfano NCCR Mageuzi walkohuonyesha
Toka 2005 mpaka leo ccm imeshabadilisha viongozi watatu. Aliondoka Kikwete, akaja Magufuli. Baada ya Magufuli, amechukua mama Samia. Chadema toka mwaka 2005 hadi leo mwenyekiti ni yule yule, na mpaka leo hakuna matumaini ya demokrasia kutumika kumpata mwenyekiti mungine, cuf, nccr mwendo ni ule ule wa viongozi wa kudumu. Japo nccr wameonesha kuwa washachoshwa na ulaghai wa demokrasia uchwara ndan ya chama, nina imani safari hii watamng'oa iwe kwa njia ya demokrasia au nguvu za chama.
 
Magufuli alikufa kwa corona,weka rekodi sawa mkuu
 
Kwani Rais wa Tanzania ni Mungu muumba wa Tanzania?
 
Mwenyekiti asingewezekana kupatikana kwa mazingira ya kipekee yaliyowekwa na Marehemu Magufuli kuanzia 2015. Ni wazi kuwa Mwenyekiti wa chama mpyq angepatikana baada ya Mh. Lowassa kuingia ikulu.

Kilichofuata baada ya kuporwa ushindi wa CHADEMA 2015 ni siasa kufanywa haramu nchini na Rais Magufuli kujiapiza na kujilaani kuwa ifikapo 2020 atakuwa amashaua vyama vyote vya upinzani.

Baada ya juhudi zake kubwa pamoja na uhalifu mkubwa dhidi ya demokrasia, na kushindwa kabisa kuua upinzani nchini, aliamua kuiba chaguzi zote, akijitangaza yeye na chama chake kuwa ndiyo wanastahili kuongoza pekee.

Uhuni huo haujuruhusu chama kufanya chaguzi zozote.

Alaaniwe huko aliko yule mshenzi.
 
Katiba yenu inasema ukiwa rais outomatiki unakuwa m/kiti wa chama, chukua mfano kama mkishindwa uchaguzi mala tano mfululizo itakuwaje??
 
Dah kafanya nini tena ??! Hii counry ngumu sana

Sent from my SM-A032F using JamiiForums mobile app
 
Joseph selasini!!!!!
 
Conflicts are a legend of the party. Is CCM in play?
 
Alie zaidi ya Mbatia ni katiba ya chama chao, tofauti na chama fulani cha upinzani ambacho mwenyekiti ndo yupo juu zaidi ya katiba ya chama chake, ndo maana anaamua lolote atakalo dhidi ya chama na hakuna wa kumuuliza.
Pole. Naona CHADEMA inakutesa sana.
 
Hivi vyama ni kama fremu za watu aka maduka ya watu..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…