Kwani hao waliokua wanajaribu kuwaokoa si wanafanya out of ubinadamu au, atleast wangesaidia sio wajisimamisheMkuu, sio kila mwanajeshi ni mwokoaji, tusiwe wenye kukashifu tu, tunaoneka wajinga. Hivi unajua kuna jeshi la nchi kavu, anga na majini?
Duu sio poa mkuu usifike huko. Hadi nimestuka.Tena ilitakiwa kikwete awemo
Mengine ni aibu,
sasa hizo kamba mmetoa wapi?
Hujui kitu ila unajifanya tu unajua kila kitu.Usitetee uzembe, walipotoka hakukua na kitu chochote cha kuwaokoa, so imagine uwanjani kule hawakuwa na tarifa? Distance ni kubwa kiasi gani kati ya hapo na ilipotua ndege majini? Disaster management yao ikoje?
Sijawahi elewa kazi ya wanajeshi wale wa majini
Harakati za uokozi ulizionaje.?Ile meli iliyozama Ukerewe wakafariki watu 450+ mbele ya bandari si wakati wake?
Mungu Wabariki wavuvi wa Ziwa Victoria , pamoja na kuporwa mitumbwi yao na Kuchomewa moto nyavu zao , LAKINI HAWAKUKATA TAMAA , LEO WAMEKUWA MSAADA KWA NCHI YAO
Mungu anawaonesha Watanzania namna viongozi na watu wa mipango wasivyowathamini.Watu na mamlaka yao bila kusahau vitambi vyao wamefika eneo la ajali ya ndege wakiwa na simu zao mikononi bila kifaa chochote cha uokoaji. Mara wapige simu, mara wapige selfie, na vituko vingine vingi huku muda ukisonga.
Wavuvi wamejiongeza kwa kutumia mitumbwi na kamba zao.
Dunia nzima inatushangaa, kwa ujinga unaofanyika....
View attachment 2408521
View attachment 2408641
Wangekausha juaniUlitaka uniforms zao zilowe maji?
Walienda kufanyaje sasa kama wao sio Navy?Sio Kila mwanajeshi nimwokozi wengine ni vifalu na mabomu,akiingia hapo anakunywa vikombe vyake vyakutosha
[emoji38]wabongo washafanya yao
Neno siasa linatumika vibaya hapa nchini.Nchi ngumu hii. Siasa imetawala kila kitu.
Wapo kuwalinda wanasiasa dhidi ya uvamizi wa kijeshi unaoweza tokea baharini.Sijawahi elewa kazi ya wanajeshi wale wa majini
Mvuvi na kamba ni sawa na inzi na kidondaMengine ni aibu,
sasa hizo kamba mmetoa wapi?
Hii kaliWapo kuwalinda wanasiasa dhidi ya uvamizi wa kijeshi unaoweza tokea baharini.
Si wangevuta kamba ile si wananguvu kwasababu kamba ilishafika nchi kavu wao ndo walitakiwa kuwa mfano mzuri sio wao kusimama na kina mama ufukweni pumbavu zao picha mbaya kabisa wameonyeshaMkuu, sio kila mwanajeshi ni mwokoaji, tusiwe wenye kukashifu tu, tunaoneka wajinga. Hivi unajua kuna jeshi la nchi kavu, anga na majini?