christeve88
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 2,841
- 4,531
You're not just an idioot, you are schlemiel infact you are more idiot than that person you tagged as idiot...Another idiot
Ona mjinga mwingine huyu aliyejaa lawama tu.Magufuli alikuwa shetani. Ameacha laana ambayo itaitafuna Tanzania kwa muda mrefu labda Mungu atuonee tena huruma.
Comment kama hii Hawa wajaa lawama hawawezi kuigusa sababu akili zao nyepesi na hazina uwezo wa kuangalia mambo kwa mapana, Mimi Nina uhakika hata ukiwafuata wanachama waandamizi wa hivi vyama pinzani ukiwauliza haya maswali hawawezi kujibu kw usahihi.me nadhani kwa tanzania tatizo lipo kwa upinzani wenyewe na aina ya upinzani walio nao. Ni vema wafanye mabadiliko ya kwao kwanza ndipo wafanye mabadiliko ya utawala kushikwa na upinzani. Kikwete aliwawekea mazingira ya kushina ila kwa tamaa ya pesa wakauza nafas ya kuongoza nchi.
Magufuli alitawala kwa kutumia sera za upinzan. Wakakosa cha kukosoa wakawa wanapinga miradi yenye tija kwa taifa. Ki ufupi hawaeleweki.
Magufuli alipitia ukosoaji mkubwa ila alijitahid kuchapa kazi na kuifanya nchi ipige hatua. Samia anauza rasilimali zetu na kufukuza wamasai but wanakosoa kwa uoga na wengine ndo wapo kimya kabisa. Naomba uniambie tofauti na chadema na act vyama vingine vya upinzani vinafanya nini..? Kuna faida gani kuwa navyo kama taifa,? Kwa hiyo hao wanaojiita wapinzan hawako sirias na wanachokifanya. Kama kweli malengo ni kulikomboa taifa basi waanze kufanya marekebisho wenyewe, kusiwe na utitiri w vyama dhidi ya chama kimoja na waonyeshe dhamira ya kweli ya mageuzi. Kama ndani ya chama kikuu cha upinzani hakuna demokasia ya kweli itakuwaje wakishika madaraka?
Ona Sasa ulivyozidi kuthibitisha ujinga wako, halafu mbaya zaidu unajinasibu eti umesoma serious huko shuleni bila shaka ulienda kuchukua bachelor of Art in sheer ignorance and incomprehension.Mjinga mimi nampa Magufuli lawama vipi wakati nasema aliyofanya? Onyesha sehemu niliyomsingizia. 1. alikuwa muuaji 2. alivuruga uchaguzi na kuweka vilaza aliotaka yeye ili wamsifie. 3. alipenda sifa na hakutaka kushauriwa hata kwenye mambo ya kisayansi
Kuhusu mabadiliko: mabadiliko hayaji kwa huruma ya Mungu bali ni kwa wananchi wote kuwajibika. Na ili wananchi wawajibike wanahitaji viongozi wazuri wenye maono na miongozo na sheria nzuri za kuongoza nchi.
Kuhusu Samia: wakutupiwa lawama ni wananchi wote kwa kukaa na kimya hata pale anapofanya ufisadi na bila wananchi kuamka basi hakutakuwa na mabadiliko.
Mwisho: mjinga mimi ni mtu mwenye exposure na elimu nzuri tu na sina akili za ki-nyumbu kama wewe. Huwa nasema ukweli tena ukweli mtupu.
Swali: mwerevu wewe, ni nani?
Tatizo hawa wajuaji wasichokijua ni kwamba Sasa hivi wanainchi wanachoangalia hasa ni sera na maono ya kiongozi Yana impact gani kwenye maisha yao na Wala sio demokrasia/udiktetaMbadala wa CCM ndio kama upinzani tulionao sasa hivi shida inaanzia hapa ndio maana wengine wameamua wasiwe wanapiga kura
Mjinga mwenyeweWewe ni mjinga kabisa ,hujui unachoongea hujutambui kabisa
POPOMA 😀🤣😀katika ubora wako!!Mjinga mwenyewe
Popoma mwenyewePOPOMA 😀🤣😀katika ubora wako!!
Hilo la mwisho liondoweHakuna kiongozi atakuja aweke mazingira bora ya kisiasa bila ya kupigana, kuuwana, na kuzikana.
Sahihi kabisa ndio kitu ambacho nimemwambia hata member mmoja kwenye huu Uzi hapa....Hivi mnafikir nan anajali kuhusu hali ya kisiasa? Watu tunachotaka ni maendeleo basi. Kama kuna siasa saf na maendeleo hakuna basi hatuitak hata kuisikia hio siasa Safi.
Nakuunga mkono 💯Sahihi kabisa ndio kitu ambacho nimemwambia hata member mmoja kwenye huu Uzi hapa....
Kuwa watu wanachoangalia ni uwezo wa kiongozi kubadilisha maisha yao katika muelekeo chanya ambapo ni kuletewa maendeleo haijalishi kiongozi huyo ni dekteta au mtu wa demokrasia.
Uwe ni mpenda demokrasia umeachia uhuru wa kisiasa kwamba watu wanatukana wanavyotaka, lakini kama hakuna maendeleo au taifa linajikongoja na wizi umetamalaki bila ya watu kuchukuliwa hatua yoyote, basi utaishia kudharaulika na demokrasia yako hiyo.
Pia vile vile unaweza kuwa ni mdikteta ila watu wanaona kazi unayoifanya na taifa linasonga mbele, hakuna atakayekumbuka hata kama Yuko chini ya utawala wa kidikteta.
Asilimia kubwa ya Hawa wajuaji waliopo humu wanaopiga kelele kuhusu demokrasia si kweli kwamba wanahitaji kiongozi mwana demokrasia, Bali wanataka kiongozi dhaifu atakayeruhusu upuuzi mwingi ikiwemo ufisadi kwa mwamvuli wa demokrasia.
KUBWA JINGA katika Ubora wako!!!Popoma mwenyewe
Watanzania hawali siasa kenge weweIshu ni kwamba alileta mwanga kwenye siasa za nchi hii tangu tupate uhuru, ilibidi wanaomfuata waendeleze alipoishia sio kurudi tulipotoka
Kwa mara ya kwanza kabisa wabunge kibao wa upinzani bungeni na ilisaidia sana vitu kama kuibua madudu ya Escrow, Richmond, n.k. Sio bunge linajaa chama kimoja kila kitu Ndioo
Hakuna mtu aliyeharibu nchi hii kama Jiweme nadhani kwa tanzania tatizo lipo kwa upinzani wenyewe na aina ya upinzani walio nao. Ni vema wafanye mabadiliko ya kwao kwanza ndipo wafanye mabadiliko ya utawala kushikwa na upinzani. Kikwete aliwawekea mazingira ya kushina ila kwa tamaa ya pesa wakauza nafas ya kuongoza nchi.
Magufuli alitawala kwa kutumia sera za upinzan. Wakakosa cha kukosoa wakawa wanapinga miradi yenye tija kwa taifa. Ki ufupi hawaeleweki.
Magufuli alipitia ukosoaji mkubwa ila alijitahid kuchapa kazi na kuifanya nchi ipige hatua. Samia anauza rasilimali zetu na kufukuza wamasai but wanakosoa kwa uoga na wengine ndo wapo kimya kabisa. Naomba uniambie tofauti na chadema na act vyama vingine vya upinzani vinafanya nini..? Kuna faida gani kuwa navyo kama taifa,? Kwa hiyo hao wanaojiita wapinzan hawako sirias na wanachokifanya. Kama kweli malengo ni kulikomboa taifa basi waanze kufanya marekebisho wenyewe, kusiwe na utitiri w vyama dhidi ya chama kimoja na waonyeshe dhamira ya kweli ya mageuzi. Kama ndani ya chama kikuu cha upinzani hakuna demokasia ya kweli itakuwaje wakishika madaraka?