Pre GE2025 Nchi imerudi mfumo wa Chama kimoja, Magufuli kaacha utamaduni mbaya kwenye siasa, itachukua miaka 20 kumpata kiongozi kama Kikwete

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Hakuna kiongozi atakuja aweke mazingira bora ya kisiasa bila ya kupigana, kuuwana, na kuzikana.
Tunaweza kuikataa hali hiyo bila kuthuriana kwa kufanya maandamano ya amani yasiyo na kikomo hadi hali ibadilike. Hayo maandamano yaasisiwe na wananchi wenyewe na si vyama vya siasa.
 
Zamani nilikuwa najua wewe me, nimekuja kushituka baada ya kuwa naona comment zako nyingi zinahushisha wewe kushika au kupewa mimba. Je unachangamoto ya kushika ujauzito au basi tu ni mapenzi yako
Hata Mm nilijua ww n me, ila baada ya kupata taarifa kuwa upo leba umejifungua mapacha wanne kwa mpigo ndipo nakakufahamu vyema, inaonyesha jamaa alikushughulika vzr mpaka umeleta mapacha wanne
 
Hata Mm nilijua ww n me, ila baada ya kupata taarifa kuwa upo leba umejifungua mapacha wanne kwa mpigo ndipo nakakufahamu vyema, inaonyesha jamaa alikushughulika vzr mpaka umeleta mapacha wanne
Sasa huu ni uongo wa wazi kabisa, nimekuuliza swali dogo tu, je una changamoto yoyote ya kupata mimba? Maana comment zako nyingi lazima ujihusishe na ishu ya kushika mimba. Sema upate msaada kuliko kuleta jeuri
 
Em njoo nikutobwe ili upate uhakika nna uwezo wa kukupa mimba au sina
 
Maelezo marefu yamejaa pumba nanupo nje mada.
 
Em njoo nikutobwe ili upate uhakika nna uwezo wa kukupa mimba au sina
Duh aisee sasa wewe ni ke then unaandika ujinga kama huu. Kuwa na busara hata kidogo. Mambo kama haya ndjyo maana hushiki mimba unabaki kulalamika humu
 
Duh aisee sasa wewe ni ke then unaandika ujinga kama huu. Kuwa na busara hata kidogo. Mambo kama haya ndjyo maana hushiki mimba unabaki kulalamika humu
Na tabia zako hizi sidhani kama utapata mume, utakuwa unazalishwa na kuachwa tuu
 
Kuleta ufisadi wa kiwango cha juu kwako ni kuleta mwanga? Hakuna Rais anayeweza kuvunja rekodi ya ufisadi wa mkwere
Sio kwamba Kikwete kaleta ufisadi ila kwa kuachia uhuru kumetuwezesha wananchi kufahamu mengi na tukapiga kelele hadi Waziri mkuu akajiuzulu. Kuanzia hapo wasingeruhusu tena uhuru huo ili waweze kuficha mambo.
 
Alitumia dola kuwashughulikia. Hakuna rais aliyeendesha nchi kwa propaganda kama Magufuli.
 
kwa hiyo miaka 20 yote ijayo wewe na Magufuli tu
Aisee kumbe jamaa ni mwamba kweli kweli
 
kufanya maandamano ya amani yasiyo na kikomo
Huwa hayahesgimiwi na kuogopwa na madikteta kwasabb hayatishii nafasi zao.

Fanta jambo ambako dikteta analiona linatishia uhai wa nafasi yake, hapo mtaongea haraka sana
 
Alitumia dola kuwashughulikia. Hakuna rais aliyeendesha nchi kwa propaganda kama Magufuli.
Wangelikuwa ni wapinzani wasingekubaliana na propaganda hizo.

Alichofanya Magufuli ni kuwataka waache ujinga wa kujiita wapinzani ilhali ni wakwamishaji tu wa juhudi zake.

Walimwelewa Magufuli kisha wakachukua hatua ya kuunga mkono juhudi za Magufuli.

Leo hii Magufuli hayupo lakini kina Nasary na kina Waitara hawajahama ccm..

Nikuulize swali... "wewe unaamini kuwa kuna wapinzani wa ukweli hapa Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…