Pre GE2025 Nchi imerudi mfumo wa Chama kimoja, Magufuli kaacha utamaduni mbaya kwenye siasa, itachukua miaka 20 kumpata kiongozi kama Kikwete

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Akikujibu nitag
 
Pia kila kukiwa na mgomo Kikwete alikuwa na kawaida ya kwenda nje ya nchi.
iwa
 
Pia kila kukiwa na mgomo Kikwete alikuwa na kawaida ya kwenda nje ya nchi.

iwa
Huyu hajitambui kipindi cha Kikwete migomo ilikuwa kama yote, mgao wa umeme, ufisadi ulikuwa ni jambo la kawaida, mikataba mibovu mf kufaidika na 3% kwenye madini yetu ya Tanzania huku mgeni akipata 97%
 
Maghorofa kuanguka hovyo ilikuwa kawaida.
 
Huyu hajitambui kipindi cha Kikwete migomo ilikuwa kama yote, mgao wa umeme, ufisadi ulikuwa ni jambo la kawaida, mikataba mibovu mf kufaidika na 3% kwenye madini yetu ya Tanzania huku mgeni akipata 97%
habari za ufisadi na mikataba mibovu zilivuma kwasababu kulikuwa na uhuru wa maoni
 
Kumbe kumpata kama Kikwete........bora tu isije ikajirudia zama kama ya huyo mkwere
 
100% agreed! Tumerudi nyuma saaaana kwenye demokrasia na kweli tunaongozwa na chura kiziwi!
 
kweli mkuu
Enzi zake kale kabomu pale Arusha kaliwatimulia vumbi tu watu wakajipukuta wakaondoka wale maaskofu walifanya drama tu kuzika migomba.
Mwangosi pale Iringa alipapaswapapaswa tu Kamhanda ndo maana Kikwete akampandisha cheo, hadi leo Mwangozi anadunda!
Yule kijana muuza magazeti pale Morogoro alipulizwa tu na kaupepo ka risasi ya plastiki hadi leo yupo anauza magazeti yake
Dr Ulimboka alipelekwa kula chips mayai Mabwepande.

....Itatuchukua miaka 20 kumpata kama Kikwete.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…