- Thread starter
- #41
probably am richer than your whole family and siblingsStop complaining about everything, your life won't be any better by simply complaining to people and government.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
probably am richer than your whole family and siblingsStop complaining about everything, your life won't be any better by simply complaining to people and government.
Maybe.probably am richer than your whole family and siblings
Acheni excuse za kipuuzi. Dunia nzima kuna maelfu ya kampuni za betting na watu wana akili na maendeleo yapo.Nchi yeyote ukipumbaza vijana basi utashinda na ndo ccm ilipofanikiwa.
sasa hivi vijana hawa uwezo wa kushinikiza wapate ajira wao wanakomaa na kamari .
psychologically kamari hua inatengeneza matumaini hewa kwamba ipo siku utawin mwisho wa siku unageuziwa kibao
wale hawana cha kupoteza tayari washatengeneza uchumiAcheni excuse za kipuuzi. Dunia nzima kuna maelfu ya kampuni za betting na watu wana akili na maendeleo yapo.
How many gambling companies are there in the UK?
As of 2023, the number of gambling establishments in Great Britain totaled over 8,000. The majority of these were betting shops, totaling around 6,000.25 Nov 2024
Uislam nema dogo, usifaninishe na dini ilio tungwa na Paulo.Kamari ni dhambi kamari haifai. Kamari iarudisha watu nyuma. Kamari imeongeza wapiga mizinga.
Hongera kwa waislamu na mafundisho ya waislam kukataza kamari kwa hilo tuko pamoja sana.
Malaria 2 Adiosamigo hydroxo gallow bird
Nyau de adriz
wale hawana cha kupoteza tayari washatengeneza uchumi
Mimi naona ni maandalizi ya mtoto na kuwapa mafunzo mema na maadili mazuriHapana bwana,
UK imeanza kuwa kubwa zamani sana kwahiyo hizi kamari mtandao zimeikuta nchi tayari ni nzuri.
Kwa Tanzania unaweza sema hivyo?
Unasema ni biashara nzuri, lakini huoni inapoteza vijana? Husikii wanajiua?
Tayari tuna vices za kutosha(pombe, sigara, bangi, malaya) wakiongeza na hii wanatumaliza.
Ina shida kwa wachezaji kwani ina ushawishi sana na ni zaidi ya pombe nafikiriKumbe kampuni za kamari siyo shida
Kuna kitu nimesikia mtaani inaitwa FIC naomba elimu kidogo ndio nini hiiNchi yeyote ukipumbaza vijana basi utashinda na ndo ccm ilipofanikiwa.
sasa hivi vijana hawa uwezo wa kushinikiza wapate ajira wao wanakomaa na kamari .
psychologically kamari hua inatengeneza matumaini hewa kwamba ipo siku utawin mwisho wa siku unageuziwa kibao
Kilimo na biashara watu hawakopi na kupata hasara?Ina shida kwa wachezaji kwani ina ushawishi sana na ni zaidi ya pombe nafikiri
Yaani huku kuna watu wanacheza mpaka hela za mikopo kwenye credit card zao
Wenye makampuni ndio wanafaidika sana na wanajilipa hela za kufuru
Wanapata hasara na faida piaKilimo na biashara watu hawakopi na kupata hasara?
Kwenye casino unaweza lamba 1M kwa shing' mia tano?
Hiyo 'sio lazima' ni maneno tu lakini hizi bidhaa zinatengenezwa kwa namna inayoleta uraibu
UmemalizaFainali uzeeni,
Unachokifanya leo ndicho kitakacho amua hatima ya maisha yako huko mbeleni,
Maisha yako ya leo ndio yataamua kua uzeeni mwako utacheza Golf au Drafti.
Muone na huyu sasaKuna vitu vinaudhi ambavyo hauwezi kuepuka katika mazingira ya sasa kutumiwa pesa au kutoa pesa unakutana na MATOZO.
Ila kuvuta sigara ,kunywa pombe ,kucheza kamari ,kulamba papuchi hivyo vitu ni Optional unaweza ukaviepuka kwa 100%.
Hata wakristo hawaruhusu kamariKamari ni dhambi kamari haifai. Kamari iarudisha watu nyuma. Kamari imeongeza wapiga mizinga.
Hongera kwa waislamu na mafundisho ya waislam kukataza kamari kwa hilo tuko pamoja sana.
Malaria 2 Adiosamigo hydroxo gallow bird
Nyau de adriz
UnakazwaUislam nema dogo, usifaninishe na dini ilio tungwa na Paulo.
Wewe unayebeti umefanya nini cha maana? Umeshinda hela ngapi?Umefanikiwa vipi tangu uanze kubeti? Betting ni kamari, ni dhambi.Watu wa dizaini yako ni wale waliochapika na maisha Aya tuambie wewe haubeti umefanya nini kwenye Ili taifa au ni bilionea namba ngapi