Nchi ina kampuni 21 za kucheza kamari halafu uniambie tutakuwa na vijana jasiri na wapenda mabadiliko

Nchi ina kampuni 21 za kucheza kamari halafu uniambie tutakuwa na vijana jasiri na wapenda mabadiliko

Nchi yeyote ukipumbaza vijana basi utashinda na ndo ccm ilipofanikiwa.

sasa hivi vijana hawa uwezo wa kushinikiza wapate ajira wao wanakomaa na kamari .

psychologically kamari hua inatengeneza matumaini hewa kwamba ipo siku utawin mwisho wa siku unageuziwa kibao
Acheni excuse za kipuuzi. Dunia nzima kuna maelfu ya kampuni za betting na watu wana akili na maendeleo yapo.

How many gambling companies are there in the UK?
As of 2023, the number of gambling establishments in Great Britain totaled over 8,000. The majority of these were betting shops, totaling around 6,000.25 Nov 2024
 
wale hawana cha kupoteza tayari washatengeneza uchumi
 
Hapana bwana,

UK imeanza kuwa kubwa zamani sana kwahiyo hizi kamari mtandao zimeikuta nchi tayari ni nzuri.

Kwa Tanzania unaweza sema hivyo?

Unasema ni biashara nzuri, lakini huoni inapoteza vijana? Husikii wanajiua?

Tayari tuna vices za kutosha(pombe, sigara, bangi, malaya) wakiongeza na hii wanatumaliza.
Mimi naona ni maandalizi ya mtoto na kuwapa mafunzo mema na maadili mazuri
Hata Bongo kuna watoto ambao hawana mambo hayo kabisa kama kamari ndio hawajui kabisa
Kuhusu huku Ulaya wana jitahidi sana kuwaelimisha watu wanaocheza kamari, walevi na hata sigara
Kuhusu kamari kila mashine ina onyo la serikali kuwa ukiona umekuwa addict omba msaada haraka
Pombe nazo baa zinafungwa saa 5 usiku na sigara mpaka paketi siku hizi hazina rangi tena maana rangi mbali mbali ndio zinawavutia watoto na kuanza kuvuta wakiwa wadogo
Hakuna display za sigara bali zimefichwa kwenye makabati makubwa ili wasione na rangi za paketi ni plain
Wanajitahidi sana kupunguza uvutaji na mpaka kufikia 2040 🇬🇧 kwa mfano kutakuwa hakuna uuzaji wa sigara tena na sasa kila mwaka wanaongeza miaka ya watoto wanaoanza uvutaji
Kama tunataka tunaweza pia kwa kupunguza utoaji wa leseni bila kungalia ukusanyaji wa kodi za kamari
 
Nchi yeyote ukipumbaza vijana basi utashinda na ndo ccm ilipofanikiwa.

sasa hivi vijana hawa uwezo wa kushinikiza wapate ajira wao wanakomaa na kamari .

psychologically kamari hua inatengeneza matumaini hewa kwamba ipo siku utawin mwisho wa siku unageuziwa kibao
Kuna kitu nimesikia mtaani inaitwa FIC naomba elimu kidogo ndio nini hii
 
Ina shida kwa wachezaji kwani ina ushawishi sana na ni zaidi ya pombe nafikiri
Yaani huku kuna watu wanacheza mpaka hela za mikopo kwenye credit card zao
Wenye makampuni ndio wanafaidika sana na wanajilipa hela za kufuru
Kilimo na biashara watu hawakopi na kupata hasara?
 
Kilimo na biashara watu hawakopi na kupata hasara?
Wanapata hasara na faida pia
Ila nakumbuka kuna siku nilikuwa nasikiliza kipindi kwenye TV ilikuwa ni documentary kuhusu kamari ndio walikuwa wanayaongelea haya
Mtu amecheza kamari mpaka £60,000 ya credit card zake na kaliwa zote sio mmoja
Sasa imagine 180m ya bongo utairudisha lini na riba inapanda kila leo
Mazao ni tofauti sana na kamari na wala hilingani
Mazao hata mimi nilipata hasara kubwa tu lakini kwa kuwa nilikuwa na biashara zingine basi zilijaza huko

Betting ni tofauti kila ukipata nyingi unataka upate zaidi halafu unakosa zote unaanza upya
 
Kwenye casino unaweza lamba 1M kwa shing' mia tano?

Hiyo 'sio lazima' ni maneno tu lakini hizi bidhaa zinatengenezwa kwa namna inayoleta uraibu

Kuna vitu vinaudhi ambavyo hauwezi kuepuka katika mazingira ya sasa kutumiwa pesa au kutoa pesa unakutana na MATOZO.

Ila kuvuta sigara ,kunywa pombe ,kucheza kamari ,kulamba papuchi hivyo vitu ni Optional unaweza ukaviepuka kwa 100%.
 
Muone na huyu sasa
Screenshot_20241213_194514_Instagram~2.png
 
Kamari ni dhambi kamari haifai. Kamari iarudisha watu nyuma. Kamari imeongeza wapiga mizinga.

Hongera kwa waislamu na mafundisho ya waislam kukataza kamari kwa hilo tuko pamoja sana.

Malaria 2 Adiosamigo hydroxo gallow bird

Nyau de adriz
Hata wakristo hawaruhusu kamari
Nyuma ya kamari Kuna spirit ndo maana once ur in kutoka ni shughuli
 
Watu wa dizaini yako ni wale waliochapika na maisha Aya tuambie wewe haubeti umefanya nini kwenye Ili taifa au ni bilionea namba ngapi
Wewe unayebeti umefanya nini cha maana? Umeshinda hela ngapi?Umefanikiwa vipi tangu uanze kubeti? Betting ni kamari, ni dhambi.
 
Back
Top Bottom