Ungekuja na hoja mfano yanga anatoa wapi pesa za kusajili.Je gsm analipa kodi kiasi gani hadi apate pesa kiasi hicho kama hakuna uhuni unaofanyika ili kumfidia kutoka serikalini?

Ungekuja na hoja za je Ihefu wana chanzo kipi cha pesa?Usisahau Singida big stars,Namungo n.k

Usilaumu watu kufanywa wafuasi wa Simba na yanga,laumu mkakati haramu wa wanasiasa kuchochea ushabiki kwenye vilabu hivi ile waendelee kufanya yao pasipo kuhojiwa.

Nchi hii ngumu na ina raia tusiojitambua
 
Hizi maada kajadili na wajinga wenzeko kwenye vijiwe vya Tangawizi,
 
Sasa tufanyeje, tuliishaambiwa Mama yao anaupiga mwingi tusubirie matokeo.
 
Mwamko, elimu, exposure, uvivu wa kufikiri, imani za kijinga, woga....
HATUWAWEZI WENZETU. HASA MANYANG'AU!
 
Kumbe Hersi Said ni usalama wa taifa? Daa hii nchi aisee
 
Tangu Magufuli alipoliteka bunge na kulifanya la Chama kimoja watu hawana tena habari za siasa na bla bla za wabunge wa Fisiemu.
Tuna danganywa na vizahanati vyenye CTscan isiyo hitajika vijijini huku watu wanapata utajiri usiojulikana umetoka wapi.
 
Mbona wewe mjanja hatujakuona mtaani kama Gen-Z?
 
Hapo watawala wanafurahiiii maana wanajua hii ganzi ya ulevi wa ushabiki uchwara wa mpira inawapa unafuu wa kufanya watakavyo bila usumbufu kama ilivyo Kenya sasa hivi. Utakuta watu wanawalaani wafanya biashara kwa kugoma kufungua maduka kuweka shinikizo kwa serikali kupunguza mlolongo wa kodi na tozo. Wasichoelewa ni kuwa wafanya biashara hawa ni mawakala wa serikali katika kukusanya kodi, kama wakiendelea kuzivumilia kodi na tozo hizi anayebeba huu mzigo wote ni mlaji wa mwishi kwani hakuna mfanya biashara atafanya biashara kwa hasara, akibanwa kwenye kodi naye anaongeza bei ya bidhaa.
 
Mbona hiyo para ya tatu ya post yako ndiyo imebeba hoja ya mleta uzi huu, au mimi ndiye sijaelewa.
 
Hata mimi huwa inanikera sana hii hali.

Hasa kwa Dar huwa kila nikiwasha station yeyote ya redio lazima mada kuu ni mbili ambazo ni :

1.Mpira, yaani ni mpira mpira masaa yote utafikiri ndiyo ni stesheni ya mpira.

2.Utapeli wa kidini, hapa muda wate ni utapeli tu wa kiimani unajadiliwa, sijui nabii dominiki kiboko ya wachawi toka buza, sijui kuhani musa toka ngome ya yesu kimara temboni, sijui mwamposa na keki ya upako, sijui mganga kutoka kigoma yupo ubungo kwa ajili ya neema ya wakazi wa dar.


Yaani ujinga ujinga tu qumamae
 
Serikali ya awamu ya tano ndiyo muasisi wa hoja nyepesi kwenye redio na TV,ukiminya uhuru wa nyombo vya habari hayo ndio matokeo yake.
Kwani zamani kulikuwa na vyombo vya habari wakati Waafrika wanapigania uhuru??ni ujinga wa watanzania tu
 
Nasikia Pacome ,Bacca, Aziz KI na Diarra wanaenda Simba?
Naona this time MO ameamua hasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…