Magufuli alituachia laana hatuto toboa mpaka mapinduzi raia mtapiga kelele viongozi wana panga yao kwa maslahi yao raia tunatumika kutimiza ndoto zao tunahitaji kiongozi mwenye uwezo wa kusema akasikilizwa kama kim wa korea lasivyo kelele za palestina hazimtetereshi muizraeli bali ni mavumbi matupu
 
Yaani uko sawa kabisa mkuu mijutu na mibaba yenye shida kibao kutwaa yanga na simba alinunua gazeti anajisikia nyuma anasoma habari za michezo tu redio sasa muda wa masaa mawili eti wanachambua mpira
 
Inasikitisha sana lakini ndo ukweli
Sijui nani atatuokoa

Kila mtu nimshabiki wa mpira
Lakini hiyo ni sababu ya ombwe la utawala na umasikini pia
Wananchi wanajiliwaza tu kwa starehe ya mpira

Wengine utawakuta wamejaa kwenye viti vya baa wanaangalia simba na yanga, hawawezi nunua hata bia moja

Huku Ccm wanashindana kuuza Mali za nchi
 
Mkuu hii nchi ni ya viumbe wa ajabu kuwahi kutokea duniani!! Mambo ambayo hayana faida kwa wananchi(mpira) ndio wameyashupalia mno, na ndio maana wanasiasa nao wanawapoteza maboya humo humo!! Yaani yanga na simba ndio imekuwa kama maisha yao!!
 
Mmh
Haya hayupo ss mbona hawaachi basi?
Vingine mtasingizia tu mkuu
Hii nchi 🙌
Serikali ya awamu ya tano ndiyo muasisi wa hoja nyepesi kwenye redio na TV,ukiminya uhuru wa nyombo vya habari hayo ndio matokeo yake.
 
Serikali ya awamu ya tano ndiyo muasisi wa hoja nyepesi kwenye redio na TV,ukiminya uhuru wa nyombo vya habari hayo ndio matokeo yake.
Na Kuna watu wamekupa like.. wakati Daniel Arap Moi anasema "Nyerere anaongoza maiti(watanzania), Magufuli alikuwa darasa la ngapi!?, na alimaanisha nini!?,na kabla ya JPM 2015 redio na tv zetu na vijiweni watanzania walijadili nini cha maana!?..wakati mwingine sio lazima kila kitu mkihusishe na chuki zenu dhidi ya JPM..
 
Na daimond na alli Kiba na wengine yaani miaka kumi na tano Mazezeta tupu
 
Ndiyo uchawi wa CCM
 
Serikali ilishajua pa kuwashika watanzania wengi..
Kuna kipindi muziki, maigizo na mpira vilienda sambamba.
Ila hivyo viwili vimebaki kwa wachache na legelege wasio na nguvu ya kuishurutisha serikali.

Vijana wa shoka karibia wote wamemezwa na mahaba ya simba na yanga, na huko sasa serikali inafanya juu chini wasije wakafeli eneo hilo ...
 
Umeongea vizuri mkuu, kwenye mpira humo ndimo zimekamatwa fikra za mijinga mingi ya nchi hii..
 

Nimecheka kishenzi sana yaani
 
Hata kwa kuandika uzi huu ametoa mchango wake kuamsha hisia zilizolala.

Kila mtu akisema kaandika mtandanaoni na wengine kujibu what will that solve? Mna majibu mepesi sana kwa maswali magumu.
 
Acha Ujuha pimbi wewe kitu kinachojadiliwa cha maana unaleta uharo.
hii post umeandaa wewe ? una maswali ya kipuuz

Mna majibu mepesi sana kwa maswali magumu. Kila mtu akiishia kuandika mtandaoni tu itasolve nini? Mnajibu matusi kwa swali dogo tu then mnashangaa wengine kufuatilia michezo? Nyie nyani hamuoni kundule.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…