Mfikirishi
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 8,939
- 10,403
Siku yakiikuta Tanzania ndo tutajua cha kufanyaMambo yao tuwaachie wenyewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku yakiikuta Tanzania ndo tutajua cha kufanyaMambo yao tuwaachie wenyewe
Siku yakiikuta Tanzania ndo tutajua cha kufanya
Corona mbona tumerudi wenyewe kwenye mstari!?Yalitukuta ya corona tukatengwa na kusimangwa kila kona yatukute yapi mapya tena mkuu?
Corona mbona tumerudi wenyewe kwenye mstari!?
Dunia tayari ni uwanja wa fujo ukijifanya mjanja inakula upande.
Tanzania Ndumila kuwili
Eritrea alipata misaada ya kijeshi kutoka Urusi ndio maana ameufyata.Eritrea ni Taifa la kukurupuka kama Urusi. Rejea vita yake dhidi ya Tigray
Hawataki kuwaudhi mabwana zao
Kama uganda 🤣🤣🤣Matendo ya PUTIN yanasababisha akose uungaji mkono. Wanaomuunga mkono ni kama yeye au zaidi yake!View attachment 2137552
Halafu mabwana wakazichapa wenyewe kwa wenyewe mbele ya demu huku demu yuko utupu mbele yao. Lazima demu awe neutral hakuna namna nyingine hadi mshindi atapoamua what next! Tunadhalilika sana.Ni kama demu amefumaniwa halafu mabwana wote wawili anawataka.
Mbabe ataondoka na manzi wake.Halafu mabwana wakazichapa wenyewe kwa wenyewe mbele ya demu huku demu yuko utupu mbele yao. Lazima demu awe neutral hakuna namna nyingine hadi mshindi atapoamua what next! Tunadhalilika sana.
Tanzania is a land of speciliazed hypocrites
Tanzania na haikupiga kura
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Non-Alignment Movement (NAM).
Tanzania ni mwanachama wa NAM, yaani nchi zisizoegemea upande wowote kati ya Ujamaa wa Mashariki na Ubepari wa Magharibi.
Kwa hiyo Tanzania kukataa kupiga kura ni sehemu ya utekelezaji wa malengo ya NAM
Kama hii ndiyo diplomasia yetu kweli, basi Tanzania imetia aibu sana. Proud sana kwa wa majirani Kenya ambapo balozi wao alitoa fundisho linalohusu kuheshimu mipaka.