Nchi za Afrika zagawanyika katika upigaji kura kuhusiana na Vita vya Russia na Ukraine, Tanzania yachagua kutofungamana na upande wowote

Non-Alignment Movement (NAM).

Tanzania ni mwanachama wa NAM, yaani nchi zisizoegemea upande wowote kati ya Ujamaa wa Mashariki na Ubepari wa Magharibi.

Kwa hiyo Tanzania kukataa kupiga kura ni sehemu ya utekelezaji wa malengo ya NAM
 
Yalitukuta ya corona tukatengwa na kusimangwa kila kona yatukute yapi mapya tena mkuu?
Corona mbona tumerudi wenyewe kwenye mstari!?
Dunia tayari ni uwanja wa fujo ukijifanya mjanja inakula upande.
 
Tumerudi kinafiki(kupatia mikopo na misaada),lini tuliwekwa lockdown,Curfew,level seats kwenye daladala wapi zipo?barakoa kila kona kwa raia lazima umeziona wapi?
Corona mbona tumerudi wenyewe kwenye mstari!?
Dunia tayari ni uwanja wa fujo ukijifanya mjanja inakula upande.
 
North Korea ya Africa inajulikana kura yao iko upande gani. Kinalichowafanya asionyeshe ni ule Umatonya ....!!
 
Naunga mkono Tanzania kukaa kimya coz unaweza kuchagua upande ukajikuta unaingia kwenye mtafaruku wa watu wengine mnahusishwa wote!. Nilitegemea Africa nzima ingefanya hivi maana hawa wazungu namna wanavyotuchukulia hovyo sana still bado tunababaika na mambo yao huku kwetu kukiwa kuchungu!.

Huu ni Kama ugomvi halafu adui wa upande fulani anahitaji uungwaji mkono ili kufanikisha jambo lake.. better be careful before click any batan!.
 
Halafu mabwana wakazichapa wenyewe kwa wenyewe mbele ya demu huku demu yuko utupu mbele yao. Lazima demu awe neutral hakuna namna nyingine hadi mshindi atapoamua what next! Tunadhalilika sana.
Mbabe ataondoka na manzi wake.
 
Jaman tume abstain

Non-Alignment Movement (NAM).

Tanzania ni mwanachama wa NAM, yaani nchi zisizoegemea upande wowote kati ya Ujamaa wa Mashariki na Ubepari wa Magharibi.

Kwa hiyo Tanzania kukataa kupiga kura ni sehemu ya utekelezaji wa malengo ya NAM
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Iviii kumbe ile NAM ya shuleniiii bd ipogo nkajua ikogo shuleni tyu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…