Nchi za Kikristo zinawezaje kuishi kwa amani namna nii?

Wamevuka hizo hatua. Hakuna sehemu zilikuwa na vita kama Ulaya karne ya 8 mpaka 12. Kama umewahi kusikia kuhusu Vikings, walikuwa ni wazungu wakristo na makatili kweli kweli.

Wamevuka hizo hatua
Kwa hiyo waarabu na hizo nchi wapo, miaka mamia nyuma ya Dunia?

Kwa kiasi fulani nakubaliana nawe, maana hata enzi za Masiha, jamii ya wayahudi ilikuwa inaongozwa na sheria za torati, ndiyo hizo za kupiga watu mawe.
 
Kama nchi za kiislam Zina Amani mbona Al Asad hakukimbikia Iran kwa jamaa zake wa damu?
Amani we unedefine vipi?
Mfano nchi nyingi za kiafrica masikini,wao amani wanadefine amani ni kua kimya mukilala njaa,hamuna madawa,huduma duni za elimu,hamuna maji Wala umeme,kazi kutumia vitu used to, huku rasilimali zenu zikichukuliwa na wageni๐Ÿ˜„๐Ÿ˜…๐Ÿคฃ
Waarabu Amani,kwao ni kumiliki rasilimali zao 100% ziwaletee maendeleo na anayedili kutaka kuzichukua munauwana.
Umeona tofauti hapo.
Thus why Saudi Arabia ni rafiki wa U.S,sababu Saudi anatumia rasilimali zake 100% kujiletea maendeleo.
Hata Iran ni rafiki wa Russia ndio maana,Kamikaze Drones from Iran zinaisamabaratisha Ukraine,na Hadi kiwanda kimejengwa kwa msaada wa Iran kule Russia.
Tatizo wa Uislam sio ukristo bali *haki*ya kutumia kilicho Chao Kwa uhuru
 
Y
Kamusi ya kiswahili inasema MPUMBAVU ni mtu asiyejua akajifanya anajua----BAKITA na TUKI inatukana?
Yes mtu yeyote kama ana amini kuwa na amani ni kuchukuliwa rasilimali zako huku wewe ukiletewa vyandarua na kondomu๐Ÿ˜„๐Ÿ˜๐Ÿ˜†
Huku wenzako wakipigania rasilimali zao kwa jasho na damu ni magaidi ......huyo MTU ni definite MPUMBAVU
 
Ukiiondoa Vatican hizo nchi nyingine zilizobaki ni atheists/ agnostics majority au nusu ya raia wake wengi ni wasio na dini/irreligious. Hizo nchi haziendeshwi kwa misingi ya dini yoyote.
Kwa kifupi "nchi hizo alizozitaja zote hazina dini isipokuwa Vatican tu"
 
Hao viongozi wa nchi za mahgharibi na Amerika ndiyo wanaoanzisha na kuvipa fedha na silaha hivyo vikundi.
Ushahidi ni huu hapa wa Hilary Clinton.

View: https://www.youtube.com/watch?v=uJI_AlmwEJw
 
Allah ni lazima apiganiwe. Kuna thwawabu kubwa sana kwenye kumpigania Allah
 
Huko Somalia walipojikita al-Shabaab kuna utajiri wa mafuta?
 
Ukristo sio source ya amani kwa nchi hizo bali ni literacy levels na watawala kutenda haki kwa watu wao, period
 
๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Kwa wakristo dini ni personal, hulazimishwi kua muumini, wa waislamu dini ni community, lazima kila mtu awe na dini, ukikataa dini ni kifo na mbaya zaidi kila mtu anatafsiri yake ambayo anataka ailazimishe kwa mwenzake.
Mfano halisi ni hapo Zenji, yaani amri za dini ni amri za lazima za jamii.

Uislam ukiachwa huru (bila kusimamiwa na sheria za serikali) utapoteana ndani ya muda mfupi sana.
 
Libya ina uchumi gani imara mkuu, utakuwaje na uchumi imara wakati wawekezaji hawaji kuwekeza nchini kwako kwajili ya vita, nchi ambayo mpaka slave trade imerudi unasema ina uchumi imara?
Iraq uchumi wwk
 
Uislam umekuja takriba miaka 700 baada ya Ukristu, hivyo bado upo hatua za awali za makuzi.
Kuna Karne zitafika mambo ya kutumia nguvu kupigania Allah yatakoma
 
nani anajenga stendi?
 
Libya ina uchumi gani imara mkuu, utakuwaje na uchumi imara wakati wawekezaji hawaji kuwekeza nchini kwako kwajili ya vita, nchi ambayo mpaka slave trade imerudi unasema ina uchumi imara?
Iraq uchumi wwk
Mpumbavu ni mtu anayeweza ongea chochote bila kua na Takwimu/facts/references.
Raia wa Libya ana Uchumi mara 5ya raia wa Tanzania ama Kenya๐Ÿ˜ƒ๐Ÿ˜„๐Ÿ˜†
Je we unasikiliza propaganda kua Northe Korea na Iran ni mataifa masikini๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ,wakati wanadevelop nuclear weapons na ICBM,
Je wewe sio mpumbavu?
 

Attachments

  • Screenshot_20241211-115553.png
    155.5 KB · Views: 2
  • Screenshot_20241211-115637.png
    154.5 KB · Views: 2
Ukiiondoa Vatican hizo nchi nyingine zilizobaki ni atheists/ agnostics majority au nusu ya raia wake wengi ni wasio na dini/irreligious. Hizo nchi haziendeshwi kwa misingi ya dini yoyote.
Hujui kitu.
 

Tatizo mnaangaliaga data afu hamchanganua akili vitu mnavyoviona, Utalinganishaje data za GDP za nchi ambayo export yake kuu ni mafuta (malighafi ambayo ni sababu kubwa kwanini wanapigana in the first place ) na Kenya ambayo sekta yake kubwa ni kilimo tena informal
Ni sawa sawa hapa bongo useme GDP yetu kubwa kumbe nusu ya namba mnayoona imebebwa na waarabu na wahindi hawazidi 30; huu ndio uhalisia wa Libya, GDP kubwa lakini pesa karibia yote inatokea kwenye visima vya mafuta vilivyoshikiriwia na wachache pamoja na washirika wao waliopambana kuiua nchi ; ukiondoa hayo manamba iliyoandika Wakenya unaowadharau kwa GDP ndogo wanaishi vizuri kuliko hao waarabu huko Libya
Msisome data juu juu, ingieni ndani mchanganue msingi wa kile kinachoandikwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ