The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 9,436
- 10,944
Kiko wapi ki Nini? Magufuli alisema hakopi ila alikopa Samia alisema nitakopa na kakopa shida iko wapi?Mazwazwa yake humu yanavyojibinua sasa!
Eti hoo Magufuli alikopa sana, kiko wapi sasa?
Mama yako huyu hamna kitu!Kadanganya ndio aweke takwimu rasmi sio uzushi..
Afu shida sio kukopa na Wala kukopa hakujawahi kuwa tatizo na Rais Mwenyewe alitangaza hadharani atakopa kukamilisha miradi so Hakuna hoja hapo.
Tuoneshe zilipoliwa kabla sijakujibu zinakoenda.Sasa nikuulize anakopa nafanya nini cha maana! Anakopa akina na Makamba na Team msoga wanazila na kuzigawana kwa walamba asali!
Kukopa ukope na ufanyeambo ya kuonekana sio blahbhal za madarasa feki ya UVICO!
Na saizi ukienda kuyatazama hayo madarasa feki yana mashimo ya kutosha na kuta zake zimechururuka hazina hadhi!
Tuoneshe zilipoliwa kabla sijakujibu zinakoenda.Sasa nikuulize anakopa nafanya nini cha maana! Anakopa akina na Makamba na Team msoga wanazila na kuzigawana kwa walamba asali!
Kukopa ukope na ufanyeambo ya kuonekana sio blahbhal za madarasa feki ya UVICO!
Na saizi ukienda kuyatazama hayo madarasa feki yana mashimo ya kutosha na kuta zake zimechururuka hazina hadhi!
Siyo wewe ulikuwa unabinuka binuka humu kwamba Magufuli ameifilisi nchi kwa mikopo na mama anaupiga mwingi?Kiko wapi ki Nini? Magufuli alisema hakopi ila alikopa Samia alisema nitakopa na kakopa shida iko wapi?
Huna hoja ,ndo kakopa Sasa unatakajeMama yako huyu hamna kitu!
Lini Magufuli alisema hakopi? Magufuli alikopa na vitu vinaonekana kama hospital za kanda vituo vya afya,barabara ,madaraja ,ukaratati wa shule kongwe,ujenzi wa hostel,masoko,stand za mabasi poa mikopo ya eleimu ya juuilitolewabila rongorongo!Kiko wapi ki Nini? Magufuli alisema hakopi ila alikopa Samia alisema nitakopa na kakopa shida iko wapi?
Mwenyewe anaona sawa
Kwani uongo? Alikopa mikopo ya kibiashara ambayo imeiva na kukuza Deni..Siyo wewe ulikuwa unabinuka binuka humu kwamba Magufuli ameifilisi nchi kwa mikopo na mama anaupiga mwingi?
Na bado hadi 2025 mtachanganyikiwa kabisa mavi nyie
Wewe huwa nakuita mpumbavu Mara nyingi Sana. Ni mjinga mkubwa.Pole Sana Hadi sasa Tanzania Ina mikopo ya Til.80 Kama ulikuwa hujui..
Mkopo unapimwa against GDP so kwa Kipimo hicho tuna GDP ya Dola Bil.72 sawa na Til.144 hivi so bado Yuko nyuma ya redline.
Huna hoja ,ndo kakopa Sasa unatakaje
Wala vyakula havikupanda bei,Lini Magufuli alisema hakopi? Magufuli alikopa na vitu vinaonekana kama hospital za kanda vituo vya afya,barabara ,madaraja ,ukaratati wa shule kongwe,ujenzi wa hostel,masoko,stand za mabasi poa mikopo ya eleimu ya juuilitolewabila rongorongo!
Hapakuwa na shida ya kukatika umeme Mara kwa mara kama sasa!
Deni hadi Sasa Ni trillion 70 na sio trillion 80
Huna hoja ndio maana unarukaruka na kuchanganya mlenda na wali msukule wa Mwendazake wewe.Wewe kichwa maji huwa huna point siku zote ndo maana kila Siku huwa unaamini Mbeya ni mjini mkubwa mzuri na wenye maendeleo kuliko Mwanza! Kweli wewe hamnazo! Bichwa lako umelibeba tu linachosha misuli ya shingo!
Naona unakwepa kuzungumzia hizo trilioni 20 alizokopa magufuli kwa miaka mitano.Mpaka kufikia 2025 kutakuwa na mikopo ya trilioni 50.
Usiwe taahira!Kwani uongo? Alikopa mikopo ya kibiashara ambayo imeiva na kukuza Deni..
Afu mlivyo wajinga ,Deni haliongezeki kwa mikopo mipya pekee Ni pamoja na mikopo iliyoiva ya zamani msiwe wapumbavu.
Usiwe taahira!
Umembiwa mama yako huyu kwa mwaka 1 na miezi 6 kakopa til. 20 huku mwenzie hela kama hiyo alikopa ndani ya miaka 6 bila kuweka matozo na makodi ya ajabu,
Bila mafuta kupanda wala bidhaa muhimu kupanda.