Tetesi: Ndani ya muda mfupi kutoka Sasa ofisi ya chief Prosecutor wa ICC itatoa taarifa ya kuanza Kwa uchunguzi Kwa mauaji ya MO29

Tetesi: Ndani ya muda mfupi kutoka Sasa ofisi ya chief Prosecutor wa ICC itatoa taarifa ya kuanza Kwa uchunguzi Kwa mauaji ya MO29

Kwenye mzigo wa October 29, Mama anaongoza 3-0 mpaka sasa, Dola imethibitisha ukubwa wake japo kwa kuacha maumivu makubwa sana kwenye maisha ya watu. Hio kesi sidhani kama itakuwepo
 
Unajua kwamba mshahara wa Mkunda na majenerali wenzake unaidhinishwa na SSH mwenyewe?.

Mkunda asimtii bosi wake aje amti yule changudoa mzee wa California kwa kipi haswa anachokipata kutoka kwake?.

JWTZ wanakula kiapo cha kuilinda katiba, Rais Samia yupo madarakani kwa mujibu wa katiba.

Siku nyingine fanyeni kwanza kazi ya kuufahamu ulinzi mzima wa nchi unafanya vipi kazi kabla hamjawazia kuingia mitaani kufanya fujo.
Kuna mtu humu kila siku nilikuwa namwambia hii nchi ni salama kuliko anavyodhani akawa anaona mihemko yake ndo sahihi. Sidhani kama watawahi rudia kutoka wale waliotoka.
 
Kuna mtu humu kila siku nilikuwa namwambia hii nchi ni salama kuliko anavyodhani akawa anaona mihemko yake ndo sahihi. Sidhani kama watawahi rudia kutoka wale waliotoka.
Waliigeuza TZ kuwa ghetto la masela, ukitaka kujua kwamba yale hayakuwa maandamano bali ujinga wa vijana tazama namna walivyokuwa wakichagua nani wamharibie mali zake na nani wamuache salama. Hakuna maandamano ya aina hiyo.

Walileta uhuni wakakutana na wahuni wenye kuwazidi mbinu zote za kihuni.
 
Hello guys

Napenda kuwapa good news, kutoka kwenye vyanzo vyangu vya kuaminika.

Kesi iliyofunguliwa ICC na Intelwatch, Madrid Bar Association na Human right Institute Kwa Samia na viongozi wengine inaenda kuanza.

Kumbuka ni kuanza Kwa kesi, including investigation.

Siongezi maneno but within couple of days kitawaka uko The Hague- Netherland.


Ione
CiC
IGP
AG
Bado tunasubiri couple of days ? Mweee
 
Back
Top Bottom