Tetesi: Ndani ya muda mfupi kutoka Sasa ofisi ya chief Prosecutor wa ICC itatoa taarifa ya kuanza Kwa uchunguzi Kwa mauaji ya MO29

Tetesi: Ndani ya muda mfupi kutoka Sasa ofisi ya chief Prosecutor wa ICC itatoa taarifa ya kuanza Kwa uchunguzi Kwa mauaji ya MO29

Nenda kule Angola kawaulize wale vilema waliovunjika miguu kwa kunyaga mabomu miaka ile ya 80 wanaoendelea kuzeeka na magongo yao, iwapo kuna kosa lolote walilofanya mpaka wakakutana na majanga.

Nenda kule Uvira, Goma au kule Somalia kawaulize wajane na mayatima waliopoteza wapendwa wao bila ya kosa lolote kufanyika.

Vita haina macho tena sio ya kuombea, Mungu apishie mbali.

Sisi tunalia namna hii wakati yalitokea matatizo ya siku tano tu, vipi huko kwa wenzetu ambako yale ndio maisha ya kila siku?.

Tusipende kutumia midomo yetu katika kusambazia chuki, fitina na ubaguzi wa aina yoyote ile. Dhambi inapomgeuka anayeitenda huja na madhara makubwa kuliko kile kilichomtoka kinywani mtu.

Waisrael walimwambia Pilato damu ya Yesu na iwe juu yao, mpaka mwaka 2025 damu ya Yesu ipo juu yao, wanapigwa risasi wakiwa ufukweni kule Australia wamepumzika wakila bata.
Two wrongs don't make it right.
 
Two wrongs don't make it right.
Wazo la kisasi ni kufikiria kutenda kosa jingine baya ambalo litawaachia jamaa zako mateso ya kuomboleza msiba.

Sisi wakatoliki kuomba misa ya marehemu ni shilingi 2000 tu, ikilipwa tshs 14,000 linakuwa ni ombi maalum linarodiwa kwa muda wa wiki nzima.
 
Robert Amsterdam alishafungua kesi aliyosema atafungua mwaka 2020?
CCM iwe unatafuta CHAWA wenye akili basi !!!!Robert Amsterdam ni Wakili wa Lissu kimataifa hajawahi kufungua kesi yoyote ICC.Tupe chanzo chako cha taarifa popote uliposoma hilo.

1.Unajua kesi zinazo hitajika kufungua kesi kwenye mahakama ya ICC zinakuwa na sifa ipi?
2.Una level gani ya ELIMU?
3.Na shauri KIHONGOSI asikulipe leo
 
Wewe mpumbavu mwaka 2020 ulikuwa wapi?
 
CCM iwe unatafuta CHAWA wenye akili basi !!!!Robert Amsterdam ni Wakili wa Lissu kimataifa hajawahi kufungua kesi yoyote ICC.Tupe chanzo chako cha taarifa popote uliposoma hilo.

1.Unajua kesi zinazo hitajika kufungua kesi kwenye mahakama ya ICC zinakuwa na sifa ipi?
2.Una level gani ya ELIMU?
3.Na shauri KIHONGOSI asikulipe leo
Hilo zezeta MamaSamia2025 achana nalo litakupotezea muda, ni zero IQ
 
Wewe unataka Watanzania kushiriki au Wauaji kupata stahiki zao?
Nataka "wauaji kupata stahiki zao". Kwani hili nalo ni swali la kuniuliza wewe kweli?
Ni wapi niliposema "wauaji" wasipate stahiki zao; unaweza kunionyesha?
 
Huwezi kushughulika na dhalimu yeyote hapa duniani bila msaada wa nje.

Ni sahihi Watanzania kupata msaada wa nje kupambana na hawa wauaji na majangili.
Akili zako ni finyu sana kama ilivyo siku zote. Umesoma wapi nikikataa msaada toka nje?

Ulishawahi kusoma mahali popote humu JF juu ya mimi kukataa msaada toka nje?
 
Huyu jamaa huwa anafirwa na Mapete Salum Wazir
Alaa, kumbe?
Sasa je, uhusiano wake na Hamza Johari upoje; maana yupo karibu sana naye! kama siyo yeye mwenyewe Hamza johari!
 
Sasa kama ukijitokeza kwa namna yoyote kukosoa unatekwa, unateswa, unafirwa, unauawa etc tunafanyaje? Acha wenye nguvu au kinga dhidi ya hawa maharamia walioiteka Tanzania watusaidie. Natamani sana Trump aje amnyakue muuwaji mkuu na vibaraka wake kama alivofanya kule Venezuela
Nayajuwa vyema hayo unayosema mkuu 'HIKARI'. Bado haiondoi ukweli wenyewe kwamba hakuna mbadala wa juhudi zetu kuwaondoa hawa waovu.
Hata huko kwa hao wa nje kuja kusaidia kunategemea juhudi na ushirikiano toka kwetu.

Kwa mfano: Hivi tukiwaomba hao wakubwa wazime hii mitutu ya bunduki tunayoelekzwa sisi; halafu watuachie sisi kazi ya kuwaadabisha waovu hawa; hilo pia hulitaki?
Au basi watupatie hizo nyenzo za kuwakabili hawa kuwanyang'anya hiyo mitutu; hapo pia huoni kuwa ni kazi tusiyoweza kuifanya wenyewe?

Kwa nini tutegemee kila kitu kufanyiwa; kwa masharti yapi?
 
Nataka "wauaji kupata stahiki zao". Kwani hili nalo ni swali la kuniuliza wewe kweli?
Ni wapi niliposema "wauaji" wasipate stahiki zao; unaweza kunionyesha?
Kwa nini unasisitiza Watanzania wawepo? Hujui kuna hatari ya Watanzania kupotezwa, kuuwawa na kutekwa wakionekana wazi?

Hoja yangu jikite kwenyw kutaka wauaji wanachukuliwa hatua. Sio cha watanzania kuwepo kwenye time ya kufanikisha hilo jambo au wasiwepo.
 
nasisitiza, kwa sababu ni WAJIBU wetu, siyo wa mtu mwingine yeyote.

Huwezi kukabidhi wajibu wako kwa mtu mwingine yeyote.
Usipoelewa ni hapo, na siku zote nalisisitiza hili, lakini watu kama wewe wenye mihemko hamtaki kuelewa ninachosema..

Nenda kaombe msaada wakupe nyenzo utimize wajibu wako.
Au waeleze wakusaidie kunyang'anya hiyo mitutu ya bunduki ili uwashughulikie ipasavyo waovu hao mwenyewe; shida ipo wapi hapo!

Sasa kama kundi hilo unalotegemea wewe waende ICC kukufanyia kazi, lakini huna ushiriki wowote wewe ndani yake, huoni kasoro kubwa kweli katika hilo?
Nitaelewa kama ndani ya makundi hayo kuna waTanzania waliohusika kufungua kesi; na ni matumaini yangu kuwa hivyo ndivyo ilivyo, hata kama haielezwi waziwazi hapa.
 
Mbona nimekuwa nikiamini wewe ni mtu mwenye akili timamu?
Unafanya comparison ya mbingu na ardhi kama sio ujuha ni nini? 2020 kulikuwa na issue gani inayoattract attention ya ICC ambayo unalinganisha na mauaji ya October 29, 2025?
 
Back
Top Bottom