Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Lini?Hiki ndio ambacho hata Mange alikuwa anamanisha japo hakusema moja kwa moja.
Lini?Hiki ndio ambacho hata Mange alikuwa anamanisha japo hakusema moja kwa moja.
Sasa kama ukijitokeza kwa namna yoyote kukosoa unatekwa, unateswa, unafirwa, unauawa etc tunafanyaje? Acha wenye nguvu au kinga dhidi ya hawa maharamia walioiteka Tanzania watusaidie. Natamani sana Trump aje amnyakue muuwaji mkuu na vibaraka wake kama alivofanya kule VenezuelaSwali kwako na kwa wengine wengi tulioweka matumaini yetu yote huko ICC.
Hawa waliofungua kesi "Intelwatch Madrid Bar Association na Human Rights Institute", wana uhusiano gani na Tanzania?
Sihoji wao kuhusika kwenye kesi hiyo; lakini natamani sana kama kuna waTanzania ndani ya taasisi hizo ndio wawe mstari wa mbele kwenye shughuli hii muhimu inayowahusu waTanzania wenyewe..
Kuna waTanzania walioshiriki kufungua kesi kupitia huko ICC na sasa wamejumuishwa kwenye hizi taasisi?
Sifurahii hata kidogo sisi kufanyiwa kazi kana kwamba ni watu tusiojiweza kabisa.
Ni lazima tuwe na ushiriki katika jambo muhimu kama hili linalotuhusu wenyewe.
Siwezi kushangilia hata kidogo kama hakuna ushiriki wetu wa moja kwa moja.
We Mama Samia hujambo? Mama, mambo yamebadilika sana. Kaa mkao wa kuliwa tu.Ni ngumu kuwaelewesha nyumbu kwa sasa. Wakati ule 2020 mlikuwa hamuambiwi kitu kuhusu Robert Amsterdarm na safari hii tena mmeshadanganywa
Hello guys
Napenda kuwapa good news, kutoka kwenye vyanzo vyangu vya kuaminika.
Kesi iliyofunguliwa ICC na Intelwatch, Madrid Bar Association na Human right Institute Kwa Samia na viongozi wengine inaenda kuanza.
Kumbuka ni kuanza Kwa kesi, including investigation.
Siongezi maneno but within couple of days kitawaka uko The Hague- Netherland.
Ione
CiC
IGP
AG
Inaamsha hasiraKitendo alichokifanya Samuya na Wahuni wenzake IGP,DGIS ,CDF ,Dully ,Mafwele na wahuni wanaofanana na hao hakiwezi kupita ,wameua watu hovyo hovyo ,watu hawapo kwenye maandamano wanaipgwa risasi ,mtu anaenda kununua vocha anapigwa risasi ya kichwa ,mtu anaenda kusaga mahindi anapigwa risasi ya moyo ,watu wanaangalia mpira wanapigwa risasi za vichwa ,mtu yupo sebuleni anaangalia TV anapigwa risasi ya chembe.
Halafu samuya anatuletea Tume ya Wahuni wenzake wakusanye maoni ,maoni gani? Hawajui walichofanya? Yeye si ndiyo alitoa order ya lockdown na kuua watu? Alivyoapishwa si yeye ndiyo aliyesema mambo yarudi kama kawaida?
Yaani Samuya na wahuni wenzake wakitoboa ICC basi hiyo ICC itakuwa haina maana walifutilie mbali.
Acha upoyoyo wewe. Upate wapi uwezo wa kupambana na muuaji/ dikteta bila msaada wa nje?Huyu Samua ni kumalizana nae humu humu tu huko ICC sidhan kama kuna impact sana
Steven Joel NtamusanoHuyu jamaa huwa anafirwa na Mapete Salum Wazir
Unamalizana naye vipi wakati anatuua kwa risasi na sisi hatuna risasi za kupambana naye? Foreign intervention is necessaryHuyu Samua ni kumalizana nae humu humu tu huko ICC sidhan kama kuna impact sana
Hao wa huko nje wana matatizo yao chungu nzima, wanayo yanayowaumiza vichwa wanayapa kipaumbele cha kutosha.Steven Joel Ntamusano
Unamalizana naye vipi wakati anatuua kwa risasi na sisi hatuna risasi za kupambana naye? Foreign intervention is necessary
Mamlaka yanatoka kwa wananchi. Samuya hajachaguliwa na wananchi yupo hapo kwa mtutu wa bundukiHao wa huko nje wana matatizo yao chungu nzima, wanayo yanayowaumiza vichwa wanayapa kipaumbele cha kutosha.
Jifunzeni kuheshimu sheria na mamlaka, mkijichukulia madaraka mikononi mwenu mtaishia kuumizwa.
Nenda kule Angola kawaulize wale vilema waliovunjika miguu kwa kunyaga mabomu miaka ile ya 80 wanaoendelea kuzeeka na magongo yao, iwapo kuna kosa lolote walilofanya mpaka wakakutana na majanga.Kitendo alichokifanya Samuya na Wahuni wenzake IGP,DGIS ,CDF ,Dully ,Mafwele na wahuni wanaofanana na hao hakiwezi kupita ,wameua watu hovyo hovyo ,watu hawapo kwenye maandamano wanaipgwa risasi ,mtu anaenda kununua vocha anapigwa risasi ya kichwa ,mtu anaenda kusaga mahindi anapigwa risasi ya moyo ,watu wanaangalia mpira wanapigwa risasi za vichwa ,mtu yupo sebuleni anaangalia TV anapigwa risasi ya chembe.
Halafu samuya anatuletea Tume ya Wahuni wenzake wakusanye maoni ,maoni gani? Hawajui walichofanya? Yeye si ndiyo alitoa order ya lockdown na kuua watu? Alivyoapishwa si yeye ndiyo aliyesema mambo yarudi kama kawaida?
Yaani Samuya na wahuni wenzake wakitoboa ICC basi hiyo ICC itakuwa haina maana walifutilie mbali.
Na mwaka 2020 hakukuwa na uhalifu wa kuchoma moto vituo vya mwendokasiThis is different my comrade.
Mwaka 2020 hakikuwa na mauwaji ya mamia au maelfu ya binadamu.
Mwaka 2025 wameuwawa watu hovyo kama mbwa au wanyama wa porini.
Wanyama wa porini tu ukiua bila kibali unafungwa.
Unafahamu maana ya GENOCIDE au umekurupuka?Usifananishe kesi nyepesi hizo na genocide.
nendeni mka mUVccm sasa huko nyie mbwa wauwajiMuda mfupi ndiyo upi?..toka mmeanza na ICC!!