Tetesi: Ndani ya muda mfupi kutoka Sasa ofisi ya chief Prosecutor wa ICC itatoa taarifa ya kuanza Kwa uchunguzi Kwa mauaji ya MO29

Hello guys

Napenda kuwapa good news, kutoka kwenye vyanzo vyangu vya kuaminika.

Kesi iliyofunguliwa ICC na Intelwatch, Madrid Bar Association na Human right Institute Kwa Samia na viongozi wengine inaenda kuanza.

Kumbuka ni kuanza Kwa kesi, including investigation.

Siongezi maneno but within couple of days kitawaka uko The Hague- Netherland.

Ione
CiC
IGP
AG
Takbiir- Allahuakbar
 
Huyo ni Mto wa mbu a.k.a ' Kubwa Jinga'
 
Lazima huyu shetani na majitu yake walipie uovu wao.

Siku ICC watakapotoa tangazo rasmi, tufanye maandamano makubwa kuipongeza ICC, na siku hiyo tutaomba mbeleni iwe public holiday, siku rasmi ya kumbukumbu ya kupambana na udikteta.
 
Tunazungumzia kesi iliyofunguliwa na Intelwatch, Madrid Bar Association na Human right Institute.
Ni ngumu kuwaelewesha nyumbu kwa sasa. Wakati ule 2020 mlikuwa hamuambiwi kitu kuhusu Robert Amsterdarm na safari hii tena mmeshadanganywa
 
Kwani 2020 ulifanyika uhalifu dhidi ya Binadamu? Kuna chombo gani cha kimataifa au cha ndani kiliripoti kufa yika uhalifu dhidi ya Binadamu hapa Tanzania mwaka 2020?

Acha kutumia kichwa kufuga nywele. Kuwa na akili.
 
Back
Top Bottom