Kuwa mwangalifu usije ukajinyea hapo kitandani.Hello guys
Napenda kuwapa good news, kutoka kwenye vyanzo vyangu vya kuaminika.
Kesi iliyofunguliwa ICC na Intelwatch, Madrid Bar Association na Human right Institute Kwa Samia na viongozi wengine inaenda kuanza.
Kumbuka ni kuanza Kwa kesi, including investigation.
Siongezi maneno but within couple of days kitawaka uko The Hague- Netherland.
Ione
CiC
IGP
AG
Punguzeni kuota kila wakati hata mahali pasipokuwa na kitanda.Make sure unamaliza kutoa uharo wako, they’re coming
Hakuna kitu kama hicho. EU wameondoa vikwazo vya kiuchumi walivyokuwa wameiwekea Tanzania, jiulize kwanini.Intelwatch
Madrid Bar Association
Human right institute hawakuwa wajinga kufungua kesi
Kwani watetezi wa mauaji ya Watanganyika wanasemaje?
Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah, stakehigh, KERATO MOMBAA, THE BIG SHOW gallow bird
Muda mfupi ndiyo upi?..toka mmeanza na ICC!!
Source: Trust me Bro!Hello guys
Napenda kuwapa good news, kutoka kwenye vyanzo vyangu vya kuaminika.
Kesi iliyofunguliwa ICC na Intelwatch, Madrid Bar Association na Human right Institute Kwa Samia na viongozi wengine inaenda kuanza.
Kumbuka ni kuanza Kwa kesi, including investigation.
Siongezi maneno but within couple of days kitawaka uko The Hague- Netherland.
Ione
CiC
IGP
AG
Let's go until it gotta go!Hello guys
Napenda kuwapa good news, kutoka kwenye vyanzo vyangu vya kuaminika.
Kesi iliyofunguliwa ICC na Intelwatch, Madrid Bar Association na Human right Institute Kwa Samia na viongozi wengine inaenda kuanza.
Kumbuka ni kuanza Kwa kesi, including investigation.
Siongezi maneno but within couple of days kitawaka uko The Hague- Netherland.
Ione
CiC
IGP
AG
Kwani watetezi wa mauaji ya Watanganyika wanasemaje?
Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah, stakehigh, KERATO MOMBAA, THE BIG SHOW gallow bird
mara ya mwisho umeskia ICC inaweza kuendesha kesi za afrika ni lini?Hello guys
Napenda kuwapa good news, kutoka kwenye vyanzo vyangu vya kuaminika.
Kesi iliyofunguliwa ICC na Intelwatch, Madrid Bar Association na Human right Institute Kwa Samia na viongozi wengine inaenda kuanza.
Kumbuka ni kuanza Kwa kesi, including investigation.
Siongezi maneno but within couple of days kitawaka uko The Hague- Netherland.
Ione
CiC
IGP
AG
Tetea Taifa sio vyama, Taifa litakuwepo ila hayo mavyama yanakuja na kuondoka, be wisemara ya mwisho umeskia ICC inaweza kuendesha kesi za afrika ni lini?
Swali kwako na kwa wengine wengi tulioweka matumaini yetu yote huko ICC.Hello guys
Napenda kuwapa good news, kutoka kwenye vyanzo vyangu vya kuaminika.
Kesi iliyofunguliwa ICC na Intelwatch, Madrid Bar Association na Human right Institute Kwa Samia na viongozi wengine inaenda kuanza.
Kumbuka ni kuanza Kwa kesi, including investigation.
Siongezi maneno but within couple of days kitawaka uko The Hague- Netherland.
Ione
CiC
IGP
AG
Huyo hata kwenye hilo lichama analotanguliza ni geresha tu; yeye anachojuwa na Samia Suluhu Hasan na Genge lake; wakijumuishwa na dini anayoishabikia yeye.Tetea Taifa sio vyama, Taifa litakuwepo ila hayo mavyama yanakuja na kuondoka, be wise
Huijui kesi ya warlord Roger wa hapo DRC inayoendelea huko?mara ya mwisho umeskia ICC inaweza kuendesha kesi za afrika ni lini?
Steven Joel Ntamsana.Stuxnet, doto2020
Ni hao, hata kabla damu ya waTanzania waliouliwa haijakauka haraka wakaingia mitandaoni kusherehekea mauaji hayo.Humo lazima magaidi yaliyo ondoa uhai wa vijana wetu yamo