Tetesi: Ndani ya muda mfupi kutoka Sasa ofisi ya chief Prosecutor wa ICC itatoa taarifa ya kuanza Kwa uchunguzi Kwa mauaji ya MO29

Tetesi: Ndani ya muda mfupi kutoka Sasa ofisi ya chief Prosecutor wa ICC itatoa taarifa ya kuanza Kwa uchunguzi Kwa mauaji ya MO29

Lazima huyu shetani na majitu yake walipie uovu wao.

Siku ICC watakapotoa tangazo rasmi, tufanye maandamano makubwa kuipongeza ICC, na siku hiyo tutaomba mbeleni iwe public holiday, siku rasmi ya kumbukumbu ya kupambana na udikteta.
Nawashauri muwe na mabango yenye ujumbe wa maandamano na mtoe taarifa mnakopeleka hayo maandamano,mtatengenezeawa utartibu mzuri wa kuyapokea. Kinyume chake, mjinga yoyote ajaribu tena kuchoma hata bango la voda , wananchi hatutasubiri tena mpaka polisi waje.Tutamalizana hapohapo.
 
Unafanya comparison ya mbingu na ardhi kama sio ujuha ni nini? 2020 kulikuwa na issue gani inayoattract attention ya ICC ambayo unalinganisha na mauaji ya October 29, 2025?
Wewe mpumbavu kuna watu waliwatuma mtutangazie kuwa Amsterdam atafungua kesi ICC? Sisi tungemjua wapi huyo wakili wenu wa mchongo?
 
Hao wa huko nje wana matatizo yao chungu nzima, wanayo yanayowaumiza vichwa wanayapa kipaumbele cha kutosha.

Jifunzeni kuheshimu sheria na mamlaka, mkijichukulia madaraka mikononi mwenu mtaishia kuumizwa.
Sheria zipi unasemea we taahira!!
Hizi za watu kutekwa halafu tusiongee?
Watu kuuliwa kwa kuhitaji katiba mpya?
Watu kulawitiwa sababu hawasapoti chama tawala?
 
Achana na huyo Mnyarwanda hao kuuana ni jadi yao
 
Mnaota ndoto mbaya mkivimbiwa ugali maharage.
Jitu limekaa linajambajamba tu hapo kwake badala kujaza mambo yake ya kazi,kibiashara linawaza mtu afungwe ICC
Hivi unafkiri ICC ni wanawaza kama hilo bichwa lako kama dafu liliojazwa togwa.
Pumbavu sana.
 
Unanichanganya mie lakini 'Kesi Kuanza pamoja na Investigation?'
 
Unanichanganya mie lakini 'Kesi Kuanza pamoja na Investigation?'
Wanatangaza kwanza kuanza uchunguzi rasmi. Ni sehemu ya mchakato kuelekea kutoa Hati za Kukamatwa Watuhumiwa. Wakishakatwa ndo kesi huanza kusikilizwa.
 
Sheria zipi unasemea we taahira!!
Hizi za watu kutekwa halafu tusiongee?
Watu kuuliwa kwa kuhitaji katiba mpya?
Watu kulawitiwa sababu hawasapoti chama tawala?
Huwezi kutekwa kama wewe binafsi hujafanya kosa fulani lenye uhusiano na masuala ya uongozi wa nchi.

Wengi wa waliouliwa walijiingiza kwenye kufanya maamuzi ya kuchoma mali za watu na kuvunja sheria zilizopo.

Sheria hizi hizi zinazoiongoza Tanzania ya sasa.
 
Nawashauri muwe na mabango yenye ujumbe wa maandamano na mtoe taarifa mnakopeleka hayo maandamano,mtatengenezeawa utartibu mzuri wa kuyapokea. Kinyume chake, mjinga yoyote ajaribu tena kuchoma hata bango la voda , wananchi hatutasubiri tena mpaka polisi waje.Tutamalizana hapohapo.
We shoga tu huwezi kutoa hata pia Yako siku ya maandamano sembuse kupambana na waandamanaji yaani unaongea kama vile ni kazi rahisi kama kushika hayo makalio yako sogeza pia Yako uone hasira za wananchi Kwa hii serikali kama hazijakuishia wewe
 
Tukiachana na yule muovu, mimi mtu ambaye nimemchukia na kila siku iendayo kwa MUNGU namlaani ni Mkunda.

Huyu mtu si kwamba tu amesaliti mamilioni ya watanzania ila pia ameonyesha madhaifu kiutendaji kwenye JWTZ kiasi kwamba raia ameanza kulidharau jeshi ambalo lilikuwa na heshima kubwa sana kitaifa na fahari ya wanainchi.

Tulikuwa tukiona zile kombati tunaona malaika wa taifa letu na mashujaa wetu. Tulikuwa tunawapisha kwenye foleni kwa heshima kubwa sana wakiwa katika majukumu yao.

Ila leo huyu mtu wa hovyo amechafua na kutia doa na dosari hiyo sifa na heshima. Kwasasa nikiona zile kombati naona kama nimeona mgambo wa jiji. Heshima imeingia dosari kubwa na ni ngumu kuwaamini tena wakisema laleni na msijali tutawalinda.

Raia walirudi ndani na kuacha shamra shamra za kuwafukuza CCM wakijua JWTZ wameshashika usalama wataweka mambo sawa uchaguzi urudiwe, huyu mumiani akaenda mrudishia yule Muovu power na kuruhusu mauwaji yaanze tuuwawe.

Kwa hili Mkunda lazima alipie na walioshiriki maamuzi ya usaliti. MUNGU yupo hilo litatimia.
 
Unajua kwamba mshahara wa Mkunda na majenerali wenzake unaidhinishwa na SSH mwenyewe?.

Mkunda asimtii bosi wake aje amti yule changudoa mzee wa California kwa kipi haswa anachokipata kutoka kwake?.

JWTZ wanakula kiapo cha kuilinda katiba, Rais Samia yupo madarakani kwa mujibu wa katiba.

Siku nyingine fanyeni kwanza kazi ya kuufahamu ulinzi mzima wa nchi unafanya vipi kazi kabla hamjawazia kuingia mitaani kufanya fujo.
 
Back
Top Bottom