Ndani ya siku 18 za Mama Samia, Taifa limejawa na FURAHA ingawa hajagawa pesa barabarani wala kuongeza mshahara ila maneno tu ya faraja!

Tumpeni mama muda ,japo najua uongozi wowte huacha alama ,ila alama nzuri ni katika kumbukumbu nzuri.
 
weakness yake kubwa alikuwa anatumia nguvu akubalike.
angetumia busara kidogo watu wangekuwa na mawazo ya tofauti juu yake.
mama katoa tu kauli tyr. you can se the difference
Kuna tofauti kubwa ya mama na Magu.
Magu alkuwa one man show ameondoka wameanza kumnanga akina Nape na Kigwangala.lakini angeweka mfumo wala hakuna ambaye angemsema bure.
 


Sio kweli, tangu mwanzo Magu alionekana sio kiongozi mzuri, ni watu waliozama ndani ya pyschology ndio tuliweza/waliweza kugundua hilo mapema, mfano katika hali ya kawaida kama kiongozi mkuu (a stateman) anapotaka kumtumbua mtu huwezi kusimama mbele ya kadamnasi na kuwauliza watu walio mbele yako; "jamani nimtumbue au nisimtumbue" au unamsimanisha mtendaji hadharani na unamkejeli na kumvunjia heshima. Hizo ni miongoni mwa nyendo chache mbaya alizoanzanazo huyo mwendazake ambazo zilionyesha udhaifu mkubwa katika uongozi wake, huyo Mama hayupo hivyo ni Muungwana, msataarabu na ana hekima hata kabla hajawa VP tofauti na Mwendazake alipokuwa Waziri alikuwa ni mtu wa mihemuko nk.
 
Wewe mwananchi huwezi kuwa na maisha bora kama unaongozwa kwa sheria ambazo hazina nia ya kukupatia muongozo sahihi katika kujitafutia maisha bora.
Sheria pia zinahitaji utashi na nidhamu.

Unaweza kuwa na sheria nzuri ila haziheshimiki.

Katiba na sheria vinaruhusu shughuli za kisiasa ili ilikuwa ni haramu kufanya.

Sheria inataka mtuhumiwa kufikishwa mahakamani ndani ya saa 48 lakini polisi huwa wanamshikilia mtuhumiwa mpaka wiki tatu au mwezi.

Kwahiyo suala la katiba nzuri au sheria ni sehemu ndogo ya sukuhisho. Its not the ultimate solution.

Watu wa Kimara hawakubomolewa nyumba wakiwa na court conjuction mkononi ?? Je, hapo utasema tatizo ni sheria ?
 
Mama atakuwa na nia njema na Tanzania if and only if atafuta zile sheria kandamizi za Magufuli na kutunga sheria zinazoleta haki,usawa na ukuaji sahihi wa uchumi.
 
Ni kawaida ya nyumbu
 
The bad news ni kwamba unaweza kuwa na sheria nzuri zisiheshimike ila sheria mbaya hufuatwa zaidi.Yaani kukiwa na sheria mbaya huwa zinafuatwa zaidi kuliko kukiwa na sheria nzuri.Maana yake ni kwamba heri uwe na sheria nzuri ambazo haziheshimiki kuliko kuwa na sheria mbaya ambazo zinafuatwa sana.
 
subilin kufungiwa ndani palr covid itakapopamba moto,,pia mjiandae na chanjo,,yani wtz daa!!ni wagum sana kumuelewa maguful
 
Hotuba ya mama yetu imetuganga majeraha mengi tuliyokuwa nayo.Tutafika!!!
 
Yes, ndio maana utashi ni kitu muhimu. Vitu vingine vitakuja vyenyewe tu.

Siyo kila kitu ni sheria.
 
Yes, ndio maana utashi ni kitu muhimu. Vitu vingine vitakuja vyenyewe tu.

Siyo kila kitu ni sheria.
Unamaanisha kuwa nchi iongozwe kwa utashi bila sheria?Are you kidding?Suala la sheria nzuri kutokufuatwa halihalalishi kuwa sheria nzuri hazina maana.
 
subilin kufungiwa ndani palr covid itakapopamba moto,,pia mjiandae na chanjo,,yani wtz daa!!ni wagum sana kumuelewa maguful
Haya ndiyo mambo makubwa ambayo alifanya Magufuli:

1.Kuondoka duniani wakati hahitajiki.

2.Kuteka wapinzani wake kama akina Azory Gwanda.

3.Kutesa wapinzani wake kwa kuwaweka ndani kila siku.

4.Kuua wapinzani wake na wakosoaji wake kama akina Ben saanane na kuwapiga wapinzani wake risasi kama ilivyokuwa kwa Tindu Lissu.

5.Kuua uhuru wa vyombo vya habari.

6.Kuua uhuru wa kujieleza kwa wananchi kama vile kufungia mitandao ya kijamii kama twitter na kukamata wanaotumia mitandao mingine kumkosoa.

7.Kuiba kura kwa kutumia Polisi,jeshi,TISS pamoja na tume ya uchaguzi.

8.Kuua biashara za watu kupitia sera mbovu za uchumi.

9.Kudanganya katika takwimu za ukuaji wa uchumi wa nchi.

10.Kuweka mihimili yote mitatu mfukoni mwake,yaani mhimili wa urais,bunge na mahakama.

11.Kuua uchumi wa nchi kupitia sheria mbovu za uwekezaji.

12.Kuua watu kwa Corona kupitia leadership negligence.

13.Kuhakikisha kuwa akina Ben Saanane na Azory Gwanda walikipata cha mtema kuni.

14.Ukabila kwa kuhamishia rasilimali nyingi za nchi katika wilaya ya Chato na kujaza wasukuma serikalini.

15 Ukanda kwa kupeleka SGR mwanza wakati siyo economic viable zone.

16.Ubaguzi wa rangi kwa kuwakandia wanawake weusi.Imagine mtu anafanya ubaguzi wa rangi karne ya 21!Is this not insane?

17.Kugandamiza demokrasia kwa kukataza vyama vya upinzani kufanya siasa wakati CCM kufanya siasa ni ruksa.

18.Kunyanyasa malaika-watoto wa kike wasirudi shule wakipata mimba.

19.Ufisadi wa kutisha kwa kufanya miradi mikubwa bila budget kupita bungeni.

20.Wizi wa kutisha wa mali ya uma kupitia kampuni yake ya Mayanga constructions LTD.Mfano uwanja wa Chato umetengenezwa na kampuni hii bila tenda kuitwa.

21.Kubambikizia kesi za kuhujumu uchumi wapinzani wake nchi nzima na kuwatupa korokoroni.

22.Kugushi report ya CAG ya hasara za mabilion za ndege za TTCL na kuilazimisha TTCL watoe gawio fake kwa serekali.

23.Kupora utajiri halali na wa jasho wa matajiri wa Tanzania kwa kuwabambikizia kesi fake za kuhujumu uchumi na kuwalazimisha wakiri makosa ya uwongo kisha kuwafilisi mali zao.
 
Jamaa alikuwa mbaguzi kuliko hata makaburu.
 
Sheria za magufuli zimekufa na magufuli brother,niambie Samia kavunja sheria ipi ya Nchi hadi sasa? Itakapofikia akakengeuka tutamsema tu,Mungu atupe uhai,ila hadi hapa angalau anatupa matumaini!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…