Trip moja haitoshi ku-justify kwamba ni salama.Ngoja, labda akina Ladslaus Matindi wana majibu ya Uhakika na usalama wa hii maxi 9 kabla jambo halijawa jambo. Naona leo wameanza safari za Dubai- Good luck to them.
Tuwaombee kwa Mungu awaepushie hilo."amankurira bhojo"
ujumbe huu uwafikie"shomire" wakwe zangu wahaya wanaoongoza kujaza abiria wa anga kwa kanda ya ziwa,,😁
Hii ni kweli, natumaini wahusika walio nunua hizi ndege watatolea ufafanuzi video hiyo ya wapiga filimbi.Trip moja haitoshi ku-justify kwamba ni salama.
kabisa,ila kuna uzembe mwingine ni kumpa kazi sir God.dude bovu bado nchi inalinunua likimeza watu tutasema mipango ya Mungu.Tuwaombee kwa Mungu awaepushie hilo.
Yeah. Bora ingekuwa hivyo kuliko kung'ang'ania kitu halafu siku zote unapokitumia inakua ni roho mkononi.Wangeenda basi Airbus maana naona mambo yao yamenyooka kulik boeing
Huyu Mungu nadhani itafika mahali atatuchoka.kabisa,ila kuna uzembe mwingine ni kumpa kazi sir God.dude bovu bado nchi inalinunua likimeza watu tutasema mipango ya Mungu.
labda watakusikia wabadirishe upepo na waelekee huko France. Roho mkononi kila ukipanda na ukishuka tu lazima usali pia.Yeah. Bora ingekuwa hivyo kuliko kung'ang'ania kitu halafu siku zote unapokitumia inakua ni roho mkononi.
ndio maana akasema, wAtu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa". labda hata kaisha tuchoka na maombi lukiki bila kutumia maarifa wala tahadhari...Huyu Mungu nadhani itafika mahali atatuchoka.
kabisa kabisa mkuu.ndio maana akasema, wAtu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa". labda hata kaisha tuchoka na maombi lukiki bila kutumia maarifa wala tahadhari...
Kwani hapo si watasema hiyo video ni vita ya kibiashara/kiuchumi? Halafu ghafla unaskia paap! Dude Limeshanyonga.Hii ni kweli, natumaini wahusika walio nunua hizi ndege watatolea ufafanuzi video hiyo ya wapiga filimbi.
Ushauri huu na waufanyie kazi. Boieng imekuwa chinja chinja kwa sasaNi wakati wa kununua Airbus au C919 na kiachana na matapeli wa Boeing
Exactly! Wewe umeshaambiwa hilo dude sio salama lakini bado husikii halafu unakaza shingo na kuendelea na hamsini zako.ndio maana akasema, wAtu wangu wanaangamia kwa kukosa maarifa". labda hata kaisha tuchoka na maombi lukiki bila kutumia maarifa wala tahadhari...
Inatisha sana, mtu aliyekuwepo hapo karibu na hilo dirisha sijui hali yake ikoje kwa sasa...Boeing zimekuwa ndegeza hovyo sana
Hapa mlango wa Boeing 737 uling'ofoka ikiwa angani ikabidi rubani afanye emergency landing kwa ukaguzi na usalama wa abiria
View attachment 2951116
Hebu piga picha mkuuInatisha sana, mtu aliyekuwepo hapo karibu na hilo dirisha sijui hali yake ikoje kwa sasa...
Asante: Wahenga walisemaga "Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu". Watu wengi wameshaistukia hiyo ndege wakiwemo hao wapiga filimbi. Je, si ni bora tujihakikishie pasi na shaka(Japokuwa utaalam huo hatuna) kabla, kuliko kuanza kutoa Huduma kwa watu?Boeing zimekuwa ndegeza hovyo sana
Hapa mlango wa Boeing 737 uling'ofoka ikiwa angani ikabidi rubani afanye emergency landing kwa ukaguzi na usalama wa abiria
View attachment 2951116