Mkata umeme anachukiwa sana, sijui ni kwa nini Mungu huwa hayasikii maombi ya watu akampandishe kwenye ile iliyochomoka mlango , angetoka humo angekuwa wa kujali usalama wa watu zaidiHii tumpe simple awe anatembelea ili kumpunguzia Sir God majukumu na yule kiungo mkata umeme.
Halafu vuta hisia kwamba ni wewe na huko unakoenda wapendwa wapo airport wanakusubiri kwa hamu!Hebu piga picha mkuu
Hii video ni ya siku 10 zilizopita baada ya hiyo CNN interview- sikiliza pande zote ujue ukweli uko wapiIs it safe to fly Boeing 737 Max 9?
In clearing the Boeing 737 Max 9 to fly following rigorous inspection, the FAA is saying “yes.” FAA Administrator Whitaker underlined that point to CNN's Pete Muntean earlier this week. “If the aircraft is ungrounded, that means that we believe it's airworthy. And if it's airworthy, the aircraft is safe. This was 25 Jan 2024
Igembe NsaboFcuk it. Ntapanda Ally’s au Najmunisa.
Ndani ya kampuni pamotoAsante: Wahenga walisemaga "Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu". Watu wengi wameshaistukia hiyo ndege wakiwemo hao wapiga filimbi. Je, si ni bora tujihakikishie pasi na shaka(Japokuwa utaalam huo hatuna) kabla, kuliko kuanza kutoa Huduma kwa watu?
Ni jambo jema sana. Vipi kama unanunua ticket mtandaoni, unajuaje kama ni Max au nyingine?Mimi kama nasafiri kwa Ndege namuuliza kabisa Agent kuwa ni Ndege gani akiniambia ni Boeing 737Max sipandi namwambia anibadilishie kwenye Ndege nyingine.
Noma sana mkuuHalafu vuta hisia kwamba ni wewe na huko unakoenda wapendwa wapo airport wanakusubiri kwa hamu!
Kumbe ni mipango yao ya ndani, mshahara ukiongezeka tu na hayo magumashi yao sijui nani kasahau msumari wapi na kuondoa warning system yataisha.Ndani ya kampuni pamoto
Boeing wamekuwa wakibadili sana CEOs
Aliyepo sasa mwisho wa mwaka huu na baadhi ya top executives watajiuzulu kwa sababu ya shida za usalama wa ndege zao
Wafanyakazi wa Boieng pia wanataka mishahara yao ipande kwa 40%
Screws za milango wanashindwa kuzikaza milango inang'ofoka ikiwa angani na bado wanataka kuongezewa mishahara 😅
Haya maneno kwa kiasi kikubwa ni kweli.hii na ile ya Ethiopia iliyouwa watu wote zinafanana au la?
ile ya Ethiopia iliuwa na wakenya kadhaa kisha wakenya wakatuzodoa kwamba akuna mtanzania hata mmoja aliyekufa,mara tena hoo " watz atuna exposure,atusafiri,atufanyi biashara za kimataifa,atuna hela za kupanda ndege na kejeli kabao.
Mkuu , there is a saying that "Birds of the same feather fly together". Usitegemee hawa jamaa wakapiga debe bovu kwa mwenzao. Jamaa kasema Rigorous inspection . Je, huo ukaguzi wa kina unauthaminishaje na kwa kipimo gani hivi kwamba ww mbongo useme Eeee; sasa huu ndo rigorous na sio haphazard au ndo intensive n.k.n.k.?Is it safe to fly Boeing 737 Max 9?
In clearing the Boeing 737 Max 9 to fly following rigorous inspection, the FAA is saying “yes.” FAA Administrator Whitaker underlined that point to CNN's Pete Muntean earlier this week. “If the aircraft is ungrounded, that means that we believe it's airworthy. And if it's airworthy, the aircraft is safe. This was 25 Jan 2024
sijalalamika, nimeulizwa swali, na kama umesikiliza interview jibu maswali yaliyomo humo... video hii ni ya siku 10 zilizopitaHizo ndege zilisimamishwa duniani kote kuanzia march 2019 hadi december 2020, baada ya kufanyiwa marekebisho ya kiusalama zimeruhusiwa kuendelea na kazi mwaka wa nne sasa na hakuna ajali kubwa iliyotokea.
Hiyo video ilirekodiwa kabla ya marekebisho.
Next time tumia internet kutafuta ukweli na sio kuokoteza video moja na kuanza kulalamika.
watu wanataka kufanya majaribio na Uhai wa wenzao.Noma sana mkuu
kwa hiyo mpaka ajali kubwa itokee ndio utastuka? wasiwasi ndio akili yenye, au hili jambo limekupita kando? mlango ufunguke angani mwezi wa tatu halafu useme hakuna ajali kubwa iliyotokea? hii ni akili ya wapi? matope au? halafu unajiita sir Khan, jiite Kanjibai ndio nitakuelewa... angalau wanasemaga joto ya jiwe... utamaliziaHizo ndege zilisimamishwa duniani kote kuanzia march 2019 hadi december 2020, baada ya kufanyiwa marekebisho ya kiusalama zimeruhusiwa kuendelea na kazi mwaka wa nne sasa na hakuna ajali kubwa iliyotokea.
Hiyo video ilirekodiwa kabla ya marekebisho.
Next time tumia internet kutafuta ukweli na sio kuokoteza video moja na kuanza kulalamika.
Tunaangalia pia asilimia 10 inapatikana kwa urahisi upande gani?Wangeenda basi Airbus maana naona mambo yao yamenyooka kulik boeing
Hao ni mashetani kabisawatu wanataka kufanya majaribio na Uhai wa wenzao.
kuna mitifuano kule fb,insta kati ya Kenya na Tz.huwa panachimbika.Haya maneno kwa kiasi kikubwa ni kweli.