ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Wewe ulitaka ionekane wapi? Kwani Ndege ya Rais haitakiwi kwenda Dubai?Ndege ya Rais wa Tanzania yenye usajili wa 5H-ONE imeonekana kutua Dubai na kuanza safari kuelekea Saudi Arabia!
Bado idara ya habari ya Ikulu haijatoa taarifa yoyote kama Rais Samia yuko ziarani katika nchi hizo mbili za UAE na SAUD ARABIA.
View attachment 2701734View attachment 2701735
Kwa hiyo Maria Sarungi Kawa Mange Kimambi?.....ni ukosefu wa kitu Cha kufanya na kutafuta umaarufu.
Na ndio hasa ambacho kitakuwa kimempeleka. Yeye ndio alisababisha MOU mwanzoni kabisaNitashukuru kama atakuwa ameenda kupiga magoti wabadilishe vipengele vya mkataba. ila inatia huruma sana kwamba Rais wa nchi ahangaike hivyo kwa mwekezaji, badala ya mwekezaji yeye aje hapa baada ya kuona malalamiko, rais wa nchi ndio anaenda.
Si mnaona tulichokuwa tunasema utumwa ndio huu sana, tumeanza kuhangaika kwenye mali zetu sisi wenyewe. mwarabu kakaa kimyaa anasubiri sisi twende tukapige goti na akiwekez ahapa tutamlinda na kumwabudu. natamani iwe kweli, aende kwa waarabu akaongee nao upya, wabadilishe vipengele vya mkataba, wawekeze mambo yaendelee.
Nadhani kuna biashara inaendelea kwa ndege hiyo.Ndege ya Rais wa Tanzania yenye usajili wa 5H-ONE imeonekana kutua Dubai na kuanza safari kuelekea Saudi Arabia!
Bado idara ya habari ya Ikulu haijatoa taarifa yoyote kama Rais Samia yuko ziarani katika nchi hizo mbili za UAE na SAUD ARABIA.
View attachment 2701734View attachment 2701735
Anaendesha nchi kama kijiwe cha wauza bangi. Nchi ikimshinda aseme tumpe PM haraka kabla mambo hayajawa magumu zaidi.
Kwanza kwanini tunatumia gharama kubwa hivyo kurusha ndege hadi huko wakati zipo Qatar Airlines na Emirates?Ndege ya Rais wa Tanzania yenye usajili wa 5H-ONE imeonekana kutua Dubai na kuanza safari kuelekea Saudi Arabia!
Bado idara ya habari ya Ikulu haijatoa taarifa yoyote kama Rais Samia yuko ziarani katika nchi hizo mbili za UAE na SAUD ARABIA.
View attachment 2701734View attachment 2701735
ukimya ni hekimaAnahangaika kuuza nchi.
View attachment 2701857
Unajuaje? Humu tunatumia id fake. Inawezekana nikawa maarufu au sio maarufu. Yote mawili yanawezekana.Wewe na Maria Sarungi,wewe ni maarufu kumzidi?
Kabisa ni dharau kwa wananchi kwa rais kwenda ziara kikazi bila kuaga!Anahangaika kuuza nchi.
View attachment 2701857
Mpaka ndege tunazipeleka kwa DP World akatengeneze? Nchi imeoza sana hii. Muwe mnafikiria kabla ya kuja na matamko ya maandishi.Nchi ina vituko mmekuwa wafwatiliaji ndege kama ipo safari za matengenezo
Sikushangai ni kwa sababu huna unaloelewa . Siri siyo ajabu serikalini na ndio maana kuna vitengo vya sirikali.Total.government failure!.mpaka safari za kisirisiri?
Huyu ni mwajiriwa wa wananchi, wana haki ya kujua kila kinachofanywa na ikulu ya chamwino/magogoni.Bakizeni mengine mdomoni wapendwa....mnajiachia mno hata kama mpo huru