Ndege ya Rais yaonekana Dubai, Saudi Arabia

Ndege ya Rais yaonekana Dubai, Saudi Arabia

Ndege ya Rais wa Tanzania yenye usajili wa 5H-ONE imeonekana kutua Dubai na kuanza safari kuelekea Saudi Arabia!

Bado idara ya habari ya Ikulu haijatoa taarifa yoyote kama Rais Samia yuko ziarani katika nchi hizo mbili za UAE na SAUD ARABIA.
View attachment 2701734View attachment 2701735
Wewe ulitaka ionekane wapi? Kwani Ndege ya Rais haitakiwi kwenda Dubai?

Huku ni kuishiwa
 
Nitashukuru kama atakuwa ameenda kupiga magoti wabadilishe vipengele vya mkataba. ila inatia huruma sana kwamba Rais wa nchi ahangaike hivyo kwa mwekezaji, badala ya mwekezaji yeye aje hapa baada ya kuona malalamiko, rais wa nchi ndio anaenda.

Si mnaona tulichokuwa tunasema utumwa ndio huu sana, tumeanza kuhangaika kwenye mali zetu sisi wenyewe. mwarabu kakaa kimyaa anasubiri sisi twende tukapige goti na akiwekez ahapa tutamlinda na kumwabudu. natamani iwe kweli, aende kwa waarabu akaongee nao upya, wabadilishe vipengele vya mkataba, wawekeze mambo yaendelee.
Na ndio hasa ambacho kitakuwa kimempeleka. Yeye ndio alisababisha MOU mwanzoni kabisa
 
Ndege ya Rais wa Tanzania yenye usajili wa 5H-ONE imeonekana kutua Dubai na kuanza safari kuelekea Saudi Arabia!

Bado idara ya habari ya Ikulu haijatoa taarifa yoyote kama Rais Samia yuko ziarani katika nchi hizo mbili za UAE na SAUD ARABIA.
View attachment 2701734View attachment 2701735
Kwanza kwanini tunatumia gharama kubwa hivyo kurusha ndege hadi huko wakati zipo Qatar Airlines na Emirates?
 
Back
Top Bottom