Ndege zashindwa kutua KIA kisa taa za runway kutofanya kazi, KLM yaenda kutua Entebbe

mchakato unaweza kuanza shida Tz hadi muone watu na hekaheka ndio mnaamini marekebisho yameanza heshimuni taaluma

Ni marufuku kwa uwanja wa ndege kukosa umeme yatakiwa kuwa na kitu chaitwa "resillience".

Umeme ukikatwa mara kwa mara kwanza waharibu operations za uwanjani kuanzia nje hadi ndani kwenye kuscan.

Yaani umeme ukirudi shughuli kama za scanning yabidi kurudiwa.

Viwanja vyetu vya kimataifa vyahitaji umeme ulo imara usokatika mara kwa mara.
 
mchakato unaweza kuanza shida Tz hadi muone watu na hekaheka ndio mnaamini marekebisho yameanza heshimuni taaluma
Hili la KLM ni leo, issue ilianza jana…

Mkurugenzi wa Idara ya Habari Maelezo na Msemaji Mkuu wa Serikali, Ndg. Gerson Msigwa, amethibitisha Taa za njia ya ndege zilizima kuanzia saa moja Usiku hadi saa tano Usiku kutokana na Mvua nyingi zinazoendelea kunyesha na kuathiri miundombinu.

Ndege iliyokuwa itue muda huo, ililazimika kwenda kutua Entebbe Nchini Uganda.

Hakuna abiria hata mmoja aliyetelekezwa na na Wote watarudi Tanzania.

Ameongeza Uwanja wa KIA baada ya kufanyiwa Marekebisho, kuanzia jana Usiku saa tano na nusu hadi sasa Uwanja unafanya kazi.

 
Ingeundwa death squad tu nami niwe member kazi yetu kuwaua kikatili wanaopiga za umma. CAG anakabidhi ripoti tunawavamia na kuwateka, zinaokotwa maiti. Wangeacha hawa mbwa.

huko ndio wanakotupeleka, itafika mahala wananchi watajiunda vikundi vya kulinda maslahi yao maana siasa haina tena maslahi kwa wananchi baadala yake wahuni wameiteka nakuifanya kijiwe cha kulainisha ujinga wao.
 
mchakato unaweza kuwa wa muda mrufu au mfupi

maboresho hufanyika mara kwa mara si kila boresho liwe hadharani kwa kila mtu
 
Mataga watumbuliwe, watakuwa wanafanya hujuma[emoji16]
 
Nashangaa tu mkuu wangu hamna kingine.

Nawaza maneno kwenye umeme kama sustainability, resilience of supply, safety and security.
 
Ripoti ya CAG inasema kuwa makadirio ya muda hayakuwa sahihi, walikadiria muda wa chini wakati kawaida inatakiwa ichukue kuanzia miaka 4-10
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…