Ndege zashindwa kutua KIA kisa taa za runway kutofanya kazi, KLM yaenda kutua Entebbe



Eeehh.. Tanesco jamani, hata Tanesco umeme ukikatika, Kilimanjaro Airport si ina standby generator kubwa, au hii ni hujuma, Manager wa Kili, fukuzeni kabisa kazi, aibu hii
 
Wakisema bila kuchukua hatua nini maana yake au na uwanja nao tukodishe

USSR

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe KENGE aliyekuroga ni shoga
 
ACHA UHUNI NA UZWAZWA
 
Tutafika Tumechoka Sana Nchi Imekuwa Hovyo hovyo
Hapana mkuu kwa KIA uwanja wa kimataifa kukatika umeme?

Hapana.

Zipo njia nyingi za viwanja vya ndege kuwa na umeme wa ziada kwa kuwekeza kwenye vyanzo kama umeme wa upepo au "micro-turbines", kutumia umeme wa kutoka kwenye vitu kama takataka au "renewable sources" na hata kuhifadhi umeme wa jua.

Kila kiwanja kikipewa nafasi ya miaka 3 hadi 5 kuhakikisha kimeweka vyanzo hivi vya umeme wa ziada kutapunguza utegemezi mkubwa wa umeme wa Tanesco na pia umeme ulohifadhiwa utatumika wakati wa dharura.

Hii ni kazi ya mameneja wa viwanja vya ndege kwa kushirikiana na mamlaka ya kusimamia viwanja vya ndege.
 
Etii
kuna watu wengine wamesikika wakilitaja Jina la yule Marehemu

Marehemu gani tena au Adolf Hitler
 
Yule Malaika ashakufa, liwekeni hili kichwani na mlielewe vema.
 
Hivi Hii nchi unaijua kweli?,Kwahiyo wewe unadhani kura zako ndio zinaamua nani awe kiongozi,utakua mpumbavu wa kiwango cha lami
 
Kunguru we
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…