Ndoa ina mwezi mmoja, nishaanza kukosa amani

Mkuu,Wanawake hawako Simple hivyo na wala wanaume hawapo simple hivo na wale mapaenzi sio simple hivo.ITS a Game that needs Good Players
 
Mkuu,Wanawake hawako Simple hivyo na wala wanaume hawapo simple hivo na wale mapaenzi sio simple hivo.ITS a Game that needs Good Players
Ni kweli men and women are both complex ila nature haibadiliki.
Women want the strongest man na itabaki kuwa hivyo, wao wanaangalia sana future yao na watoto wao pia.
 
Ni kweli men and women are both complex ila nature haibadiliki.
Women want the strongest man na itabaki kuwa hivyo, wao wanaangalia sana future yao na watoto wao pia.
Nature ya Wanawake ni Kutaka the Strongest Man,Hilo Halina UBishi.Ila Sasa Hiyo Definition ya Strength Ndio inaleta walakini.Wanawake by majority wana tabia ya Kudemand kile ambacho wanahisi Mwanaume hawezi Kumpatia.Mf.If u are well financially but Have to work Hard to Provide basi watataka Uwape Muda zaidi wao.Na ukiwapa Muda zaidi ila Pesa kidogo watataka Pesa.

Ndio maana wataalamu wa kucheza na Wanawake Huwa wanatumia Ile Kanuni ya "Keep them wanting More" in everything.Hakikisha Mwanamke wako Daima kuna kitua anakihitaji kutoka kwako Kuanzia Pesa,Mapenzi,Muda,Amni,Furaha,Upendo,Ulinzi,Ubabe,Uchokozi,Utata,Ukorofi,Uzembe,Usafi,Uchafu,Uaminifu,Uhuni,Ukaribu n.k.

Yaani Hakikisha Kila wakati mwanamke wako akitazama Orodha ya mahitaji yake kutoka Kwako iwe ndefu isiyo isha.Kwani Akifika Hatua akiwa hana Mahitaji kutoka kwako yawe ya kifedha Kihisia Basi Msimu unaanza kubadilika iwe una Pesa NYingi kiasi gani,Una sex nzuri kiasi gani,unajali kiasi gani.Utampa Ela ya kwenda Kununua Nyama Ila atampenda Muuza Bucha anayemkatia Sehemu nzuri.Utamnulia Gari na Kumpa Hela ya Mafuta ila atakusaliti na mtu anayemnunulia Mafuta.Utamlipia Ada apate elimu atakusaliti na mwanafunzi anayesoma naye darasani anayemsaidia TEST,Utamtafutia Kazi nzuri yenye mshahara mzuri atakusaliti na Co-worker ili tu ajisikie Mjanja.

Haya maneno huwa nawashauri marafiki zangu.Uzoefu wangua unaonesha kwamba Women Enjoy the attention and what a man can do to keep them engaged is to make them want more.Ukimnunulia Mkeo Gari Asikae na Funguo Yeye,Ukimpa Hela ya nyama Akija nayo mwambie nyama sio nzuri ule chakula kikavu,Ukimpa Hela ya Saloni Sometimes akirudi mwambie hujapenda Ule mtindo wake wa urembo mpe ela nyingine akabdilishe mtindo.

In short Kutafuta kumtuliza Mwanamke ni Full time JOB na kama unahitaji kufurahia Mapenzi Basi the only thing you can is love one woman in a milion ways or love A milion Women in a single way. The Choice is yours ila Mwisho wa shiko She will still want more and you will still want more

Either
 
Hapa Kuna mambo kadhaa, washaurishe Wana familia na viongozi wa dini kwa Iman Yako mjadiriane shida Nini.. huenda Kuna mamb hayajamridhisha na anaogopa kusema kukwambia.
 
May be ana mimba changa inamsumbua.
Au umri mdogo sana bado hajajitambua.
Ila Waha ni katika makabila yanayostahimili sana mikiki ya ndoa.
 
The same situation to me
 
The same situation naipitia ndoa ina miezi miwili lakini daah Hali si poa Naona kununa na Migogoro haiishi
 
mbona hamjaniambia kama uzi wangu umejishindia nomination huko Instagram😂😂😂
Nimefurahi
 

Attachments

  • A671DC2A-8E2E-4487-AD90-19F33D538C06.jpeg
    399.4 KB · Views: 2
Bado hujasema[emoji1787][emoji1787]
 
Haya mapenzi ya maigizo ya wa waphilipine huwezi kuya apply kwa wanawake wa kiswahili atafanya yote hayo lkn ni kama anajisumbua tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…