Yohimbe bark
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 2,160
- 5,728
Waha kwa ubishi sijawahi ona, komaa wanasifa ya uvumilivu na uaminifu kwenye ndoa.hapana muha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waha kwa ubishi sijawahi ona, komaa wanasifa ya uvumilivu na uaminifu kwenye ndoa.hapana muha
Mkuu,Wanawake hawako Simple hivyo na wala wanaume hawapo simple hivo na wale mapaenzi sio simple hivo.ITS a Game that needs Good PlayersKweli siwajui ila nachokifahamu kama unapendwa, basi hakutakuwa na drama ila lazima wakujaribu.
Nilichokigundua ni kwamba, mwanaume ukiwa na good looks, uko financial stable na pia unaenjoy sex naye, drama zinakuwa chache sana. Yaani ukiwa physically attractive, jinsi mwanamke atakavyokutreat ni tofauti na mwanaume ambaye hayuko physically attractive.
Ni kweli men and women are both complex ila nature haibadiliki.Mkuu,Wanawake hawako Simple hivyo na wala wanaume hawapo simple hivo na wale mapaenzi sio simple hivo.ITS a Game that needs Good Players
Nature ya Wanawake ni Kutaka the Strongest Man,Hilo Halina UBishi.Ila Sasa Hiyo Definition ya Strength Ndio inaleta walakini.Wanawake by majority wana tabia ya Kudemand kile ambacho wanahisi Mwanaume hawezi Kumpatia.Mf.If u are well financially but Have to work Hard to Provide basi watataka Uwape Muda zaidi wao.Na ukiwapa Muda zaidi ila Pesa kidogo watataka Pesa.Ni kweli men and women are both complex ila nature haibadiliki.
Women want the strongest man na itabaki kuwa hivyo, wao wanaangalia sana future yao na watoto wao pia.
ukute Hata tako HanaWe si uliangalia tako, pambana.
Lili Wayne ngoma inaitwa Love me kamshirikisha DrakeKuna muhuni anasema "When I cum I come to my senses"
Jaman ndoa ndo zilivo.
Yaan tangu nimuoe nimuweke ndani naanza kuona tabia zinazoanza kuninyima aman.Had natamani nimwambie bana tumeshindwana
Tabia anazoonesha
1. Kisiran
2. Kununa
3. Kuzalisha migogoro
Haya yote alivyokuwa kwao sikua nayaona aisee nishachoka.Nimeukumbuka uhuru wangu
The same situation to meJaman ndoa ndo zilivo.
Yaan tangu nimuoe nimuweke ndani naanza kuona tabia zinazoanza kuninyima aman.Had natamani nimwambie bana tumeshindwana
Tabia anazoonesha
1. Kisiran
2. Kununa
3. Kuzalisha migogoro
Haya yote alivyokuwa kwao sikua nayaona aisee nishachoka.Nimeukumbuka uhuru wangu
The same situation naipitia ndoa ina miezi miwili lakini daah Hali si poa Naona kununa na Migogoro haiishiJaman ndoa ndo zilivo.
Yaan tangu nimuoe nimuweke ndani naanza kuona tabia zinazoanza kuninyima aman.Had natamani nimwambie bana tumeshindwana
Tabia anazoonesha
1. Kisiran
2. Kununa
3. Kuzalisha migogoro
Haya yote alivyokuwa kwao sikua nayaona aisee nishachoka.Nimeukumbuka uhuru wangu
Hana mimba wala niniMay be ana mimba changa inamsumbua.
Au umri mdogo sana bado hajajitambua.
Ila Waha ni katika makabila yanayostahimili sana mikiki ya ndoa.
yaan akishakua ndan anabadilika kam siyo yyThe same situation naipitia ndoa ina miezi miwili lakini daah Hali si poa Naona kununa na Migogoro haiishi
Bado hujasema[emoji1787][emoji1787]Jaman ndoa ndo zilivo.
Yaan tangu nimuoe nimuweke ndani naanza kuona tabia zinazoanza kuninyima aman.Had natamani nimwambie bana tumeshindwana
Tabia anazoonesha
1. Kisiran
2. Kununa
3. Kuzalisha migogoro
Haya yote alivyokuwa kwao sikua nayaona aisee nishachoka.Nimeukumbuka uhuru wangu
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]We si uliangalia tako, pambana.
Aisee waha huwawezi na hapo Bado, muha anawezana na muha mwenzake maana wanazijua tabia zaohapana muha
Haya mapenzi ya maigizo ya wa waphilipine huwezi kuya apply kwa wanawake wa kiswahili atafanya yote hayo lkn ni kama anajisumbua tuMkuu,Tatizo sio Mkeo Tatizo ni wewe.Mke Akiwa na Kisirani,Kununa na Kuzalisha Migogoro Maana yake kuna eneo una Pwaya.Sasa Ili Ujue Una Pwaya wapi Badala ya kukosa Amani.Jitahidi Kabla ya Iddi Umnunulie Abaya hata kama sio Mwislamu,Kisha Siku ya Idd Umpe Mtoko Umpeleke sehemu ilyochangamka ambayo pia ina Pisi kali na watu wakali ambao wanajidai.Kaa naye Jiachie naye Mpaka Usiku Mwingi.Kama unatumia VYomba na anatumia Basi itakuwa vizuri ili msizidishe.Mkirudi nyumbani Asubuhi wahi kuamka uaanda Breakfasta Kisha wakati wa Break fast msifie sifie kidogo kisha akishashiba vizuri Umuulize Kuhusu yale yanayokukera.Ila Usimuulize as If unamlaumu yeye.Muulize as if unahisi kuna kitu unakosea na unataka ufanye sawe ili awe na furaha.
Akikueleza ukiona ana point fanyia kazi.Usipoona Point basi mwambie hupendi anune.Akiendelea Kununa Basi Check nae iwapo Mimba imenasa Maana sometimes Mimba zinakujaga na Vituko vyake.Kama hana mimba na kisirani bado Kipo basi Mtafutie Mke mwenzake.Maana Shida Zikiwa Mbili huwa zina tabia ya kutatuana.Yaani Shida ya mwingine inaweza kuwa suluhu ya shida ya mwingine.
Kama umenielewa Fanyia Kazi.Na Bili yangu Ulipe