Ndoa ni Utumwa kwa mwanamke?

Acha makarisiko hiyo ni nature haiwezi kubadilika cha msingi kubali kua wewe mi mama wafamilia unaitakiwa utimize majukumu yako kiukamilifu na ustadi wa hali ya juu ili mmeo afurahie uwekezaji wake.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Dduh
 
Kama hautaki haujalazimishwa kataa ndoa .
 
Ndo ni utumwa kwenye nyumba yako, sio wanaume wote ni malimbukeni kama wakwako
 
Unataka ndoa fuata yaliyomo kwenye ndoa au apo baki tu huko nje uliwe kimasiara tu na kina rickboy.
 
Mgeni umekuja na moto🌚🌚🌚🌚🌚
 
Ndo ni utumwa kwenye nyumba yako, sio wanaume wote ni malimbukeni kama wakwako
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Wewe si ndio ulikuwa unagombeza jana figo76 na cariha eti mnajua uchungu wa mume nyieπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Pambaneni Sasa na waume zenu
 
Kama anaweza amtie
Kama unaweza mtie kamba mumeo umzuie

Ukitahamaki chini ka chimba mumeo ninae mie*2

Chini ka chimba ninae mie*2

Ninae mie ninae mie.*2

Chini ka chimba ninae mie

Ninae mie natamba nae.

Mwabie atulie aendelee kusha vyomba kageuka kuwa mdada wakzi πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ˆ
 
Kama anaweza amtie
Kama unaweza mtie kamba mumeo umzuie

Ukitahamaki chini ka chimba mumeo ninae mie*2

Chini ka chimba ninae mie*2

Ninae mie ninae mie.*2

Chini ka chimba ninae mie

Ninae mie natamba nae.
Unapenda ushangingi wewe!ngoja wakukamate wenye uchungu na waume zao,wenzio wanafua,wanawaogesha,wanawapikia,wanawanyoa mavuiz,halafu hawapewi Haki yao wewe ndio unafaidi tu nje Shauri yakoπŸ™„
 
Huyu mtu naomba ani PM tuweke mambo sawa.
Hatutaki kuchangishwa rambirambi saa hii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…