Ndoa ni Utumwa kwa mwanamke?

Ndoa ni Utumwa kwa mwanamke?

Imagine sis wanawake tunatimiza mahitaji yote kwa mume Kama, kupika, kusafisha nyumba, kufua, kutunza watoto nk. Na kitandani mnatufanyia UTUMWA mkubwa Sana hamtupi haki yetu sawa.

Eti kisa mwanaume ni kichwa familia anatafuta kwa jasho.BIG NO ata vitabu vya dini havija mention sehemu yoyote mwanamke ni kijakazi wako...

Wanawake wengi waliolewa wamekata matumaini ya ndoa Yani ni wamechakaa sababu ya wanaume wa kiafrika kutufanya sisi ni watumwa wao.

Nb: Mwanamke ata akicheat atatoa nje ataleta ndani Ila mwanaume anatoa hela ndani anapeleka nje I hate this stupid men.
Acha makarisiko hiyo ni nature haiwezi kubadilika cha msingi kubali kua wewe mi mama wafamilia unaitakiwa utimize majukumu yako kiukamilifu na ustadi wa hali ya juu ili mmeo afurahie uwekezaji wake.

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Imagine sis wanawake tunatimiza mahitaji yote kwa mume Kama, kupika, kusafisha nyumba, kufua, kutunza watoto nk. Na kitandani mnatufanyia UTUMWA mkubwa Sana hamtupi haki yetu sawa.

Eti kisa mwanaume ni kichwa familia anatafuta kwa jasho.BIG NO ata vitabu vya dini havija mention sehemu yoyote mwanamke ni kijakazi wako...

Wanawake wengi waliolewa wamekata matumaini ya ndoa Yani ni wamechakaa sababu ya wanaume wa kiafrika kutufanya sisi ni watumwa wao.

Nb: Mwanamke ata akicheat atatoa nje ataleta ndani Ila mwanaume anatoa hela ndani anapeleka nje I hate this stupid men.
Dduh
 
Ndo ni utumwa kwenye nyumba yako, sio wanaume wote ni malimbukeni kama wakwako
 
Unataka ndoa fuata yaliyomo kwenye ndoa au apo baki tu huko nje uliwe kimasiara tu na kina rickboy.
 
Kama anaweza amtie
Kama unaweza mtie kamba mumeo umzuie

Ukitahamaki chini ka chimba mumeo ninae mie*2

Chini ka chimba ninae mie*2

Ninae mie ninae mie.*2

Chini ka chimba ninae mie

Ninae mie natamba nae.
Wewe si ndio ulikuwa unagombeza jana figo76 na cariha eti mnajua uchungu wa mume nyie😂😂😂😂😂😂
Pambaneni Sasa na waume zenu
 
Kama anaweza amtie
Kama unaweza mtie kamba mumeo umzuie

Ukitahamaki chini ka chimba mumeo ninae mie*2

Chini ka chimba ninae mie*2

Ninae mie ninae mie.*2

Chini ka chimba ninae mie

Ninae mie natamba nae.
Unapenda ushangingi wewe!ngoja wakukamate wenye uchungu na waume zao,wenzio wanafua,wanawaogesha,wanawapikia,wanawanyoa mavuiz,halafu hawapewi Haki yao wewe ndio unafaidi tu nje Shauri yako🙄
 
Huyu mtu naomba ani PM tuweke mambo sawa.
Hatutaki kuchangishwa rambirambi saa hii.
 
Back
Top Bottom