Ertugrul Bey
JF-Expert Member
- Aug 6, 2020
- 14,705
- 30,041
- Thread starter
-
- #41
Wabongo bwana mnahofu mtafikiri mnamiki utajiri,kumbe mna hela ya kawaida tuHuwezi kuingia kwenye mradi ambao una failure rate ya zaidi ya 50% bila kuwa na exit strategy au kinga ya mali zako.
Zamani wanaume waliumia kimyakimya , lakini leo hii kuna transparency, uwezi kusema ni ujinga wakati sheria na mifumo ya sasa inampa mmoja faida na mwingine hasara halafu uonekane uko sawa.
Mimi huyuu!Vile mkeo akiongea na wanaume walio kuzidi pesa
View attachment 3571459
Hahaha unachekesha sana , kwa hiyo ngono ipo ndoani tu?Hivi kataa ndoa haja za miili yao wanakizi vipi.
The ringleader Intelligent businessmanKataa ndoa....🤥
Ndoa ni uhaini.....🫣
😁😁😁Wabongo bwana mnahofu mtafikiri mnamiki utajiri,kumbe mna hela ya kawaida tu
Kwahiyo na wewe kwa akili za mwanamke kama huyu utamuoa?Vijana mnao oa wala hamtakiwi , ni vile basi tu hamna namna, nitaoa nikifika umri wa babazao
View attachment 3571463
Kutoa pesa ni agizo la Mungu kama ilivyo wewe kuniheshimu.Kutoa pesa kuko palepale mzee😎
😂😂😂😂 halafu wewe ni mwanachama mwenzetu wa kataa ndoa , unatukana kimtindoMimi huyuu!
Cha ajabu wanaume wengi hawana mali kihivyo ila kutiana ujinga tu
Kwa nini nisimuoe bwashee 😅Kwahiyo na wewe kwa akili za mwanamke kama huyu utamuoa?
Better safe than sorry, no matter the size.Wabongo bwana mnahofu mtafikiri mnamiki utajiri,kumbe mna hela ya kawaida tu
Kitu kizuri 😂 enjoy mkuu, karibu bia 🍻Ndoa ni kitu kizuri sana kwa mwanadamu,ndio inayomtofautisha na mnyama,wanyama wanakulana,lakini ndoa inampa hadhi mwanadamu anakuwa na heshima na maadili sahihi
Kwa hiyo nisiangalie uzuri? Unachekesha bwashee
ngono ya ndani ya ndoa ni salama kuliko ya nje ya ndoa.Hahaha unachekesha sana , kwa hiyo ngono ipo ndoani tu?
But its true🥹Vijana mnao oa wala hamtakiwi , ni vile basi tu hamna namna, nitaoa nikifika umri wa babazao
View attachment 3571463
Mwanaume hata ukitaka shilling mia you can't be given for free everydayCha ajabu wanaume wengi hawana mali kihivyo ila kutiana ujinga tu
Haina noma tufanye jambo mkuu!Kutoa pesa ni agizo la Mungu kama ilivyo wewe kuniheshimu.
Ngono ya nnje ni salama , unakua makini kwa sababu haumuamini , ya ndani unaichapa kwa kujiamini kumbe mwenzako kashaungwa gridi ya taifa , unajua wana ndoa wengi wapo gridi ya taifa bwashee.?ngono ya ndani ya ndoa ni salama kuliko ya nje ya ndoa.
Mueleze jamaa😂 anafikiri tunataniaBut its true🥹