Ndoa ni zaidi ya hofu ya kupoteza pesa au mali

Hoja zenu zote ni kupoteza fedha tu? Fedha zenyewe mnazo?

Dude go back to the village or sehemu yoyote ambayo utapata mwanamke bora wa kuoa, you will never regret this

Take ur time to spot a good woman,wapo sana,tatizo mnataka wanawake ambao mkitoka nao muonekane mnamiliki demu mkali, mtakufa mapema
 
Utapotezaje fedha ambazo hauna?😅
 
Ngono ya nnje ni salama , unakua makini kwa sababu haumuamini , ya ndani unaichapa kwa kujiamini kumbe mwenzako kashaungwa gridi ya taifa , unajua wana ndoa wengi wapo gridi ya taifa bwashee.?
Kama hamuaminiani hapo tayari ni tatizo kubwa,
kungonoka na mtu ambae humuamini i ni sawa na kujitoa muhanga.
Hata uwe makini kiasi gani, lazima kuna siku itakucost tuu.
 
Ndoa kama ni Jambo zuri na linakupa heshima n.k

Sifikirii kama mgekuwa mnalipa promotion everyday

Watanzania navyowajua sio rahisi akupe habari njema
Kuna ambao tunapenda wote tufanikiwe,wote tusiwe na shida za kiuchumi lakini hatuna huo uwezo

Ndoa ni jambo zuri sana,lina faida nyingi sana kwa mwanadamu,ila mkishakuwa hapa jukwaani mnajitoa ufahamu tu,ila wengine wana ndoa zao halafu wanajifanya mko pamoja,akili kichwani kwako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…