Ndoa nyingi siku hizi zina shida ya uzazi. Tatizo la uzazi ni kubwa sana. Tubadilike lifestyle na tufunge ndoa mapema wakati mayai yana nguvu

Ndugu ni Mtu uliyezaliwa naye tumbo 1 kwa Mama na Baba mmoja.
Kwa Kiingeleza wanaita Siblings

Ambapo Mtoto wa Shangazi yako ni Second Degree Sibling, ambaye anadondokea kwenye Relative au Jamaa

Mtoto wa baba yako ambaye amezaliwa na mama mwingine.. hajazaliwa tumbo moja na wewe.. je ni ndugu yako ama sio ndugu yako ?
 
Mtoto wa baba yako ambaye amezaliwa na mama mwingine.. hajazaliwa tumbo moja na wewe.. je ni ndugu yako ama sio ndugu yako ?
Lugha ya Kiswahili ina maneno machache sana ila kwa Kiingeleza hao huitwa Half Siblings.

Sababu sina hao hivyo siwezi jua.

Binafsi Ndugu ni Wadogo zangu tu
 
kuna bibi wa zaidi ya miaka 60 niliwahi sikia alipata mimba na akapata mtoto hiyo imekaaje?

Changamoto zinaanzia boarding school ---- MAFUTA YA TAA kuwekwa kwenye chakula
 
Shida ni kwamba relationships and marriage at large are TRANSACTIONAL....Kama huna mavumba(pesa) bora tu uendelee kuwa single itakusaidia kutunza AFYA YAKO YA AKILI...
 
Kuna Wazee wa zamani wengine Wana uelewa Sana...Kuna siku miaka ya nyuma kidogo nilikuwa nimepanga mahali, mama mwenye nyumba wangu alikuwa mzee (bibi) Sana aliniona natoka na mwanamke kwangu ingawa nyumba yake na aliyonipangisha ziko tofauti..badae yule bibi akaniita akaniambia yule mwanamke niliyekuwa Naye alivomwona tu alimwona ni mwanamke ambaye hawezi kuzaa nkashangaaa sana.nkamuuliza amejuaje akasema hizo elimu anazo(elimu za uzazi) alifundishwa toka zamani huko below 1970 na watu wa dini. Ni kweli yule mwanamke alipata mimba zamani akiwa na mwanaume mwingine mimba ikatoka na baada ya hapo hakuzaaa na saiv huyo mwanamke Yuko na mwanaume mwingine aliolewa na ana almost 4 years kwenye ndoa Hana mtoto.....Tafuteni wazee wa zamani watawasaidia Sana
 
Hivi do parents these days even have marriage talk with their girls apart from warning them against boys/men?

Mabinti siku hizi ni mifugo iliyoachiwa mbwa mwitu huko duniani! Wazazi wanataka madigirii na mapiechidi tu! Yangu macho

 
Tuangalie na ishu ya mavazi kwa hawa mabinti aisee.

Binti wa std 7, umbo limemtoka tayari, matito yashaanza kuchomoza anavaa nguo za kubana, sketi fupi, taiti za kubana.
Huyu ni kesho tu anaanza kubamduliwa, anaanza kumeza p2 akiwa na umri mdogo kichizi.
Wazazi acheni uzungu mwingi huku bongo watu hawako bize na kazi kama ulaya, hakuna starehe nyingi kama ulaya, huku starehe kubwa ambayo watu wengi wanaimudu ni ngono. Ngono inahitaji ushawishi ama pesa, wengi wana kimojawapo kati ya hivyo so wanaipata hiyo starehe.

Wahanga hapa ni wasichana, singo maza ndio huzaliwa hapa kwa wingi, hiki ndio kiwanda cha kuchakata wasichana kua singo maza.
Mkitutamanisha tutawatamani.
 
Babu yangu pia alikua na uwezo wa kumjua binti hata mwenye mimba changa kabisa, sema yeye kimila hakuruhusiwa kusema hadharani, alikua mara nyingi anamtonya mkewe.

Ila mkuu usichanganye kuna uchawi pia.
 
Mtoa mada umesahau na suala la lishe ,lishe bora ina mchango mkubwa katika suala la uzazi ,ila nadhani inategemea mtu na mtu, kuna wanawake hadi miaka 38 wanazaa na walianza kuzaa na 33 huko ,dada yetu jokate amezaa na 35 ,japo sikatai ni kweli ukizaa mapema kwenye 20’s unapata mtoto wako kirahisi sana tofauti ukifika 30’s huko
 
kwa hiyo watoto wa mengi wale aliopata uzeeni wanashida kiafya? huu utafiti umefanyia wapi mkuu
 
BInadamu wa miaka hii tunajilipua na mambo mengi sana,ndio maana hata kupata uzazi ni shida...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…