nasubiria tuu hapa baada ya kama miaka mitano naona warembo watakuwa wanasema wee ata kama una mke mie nipo tayari kuwa wa pili so tutakuwa tunapata burudani ya 3some kiulaini....utaku mwendo wa kubonyeza kizenji...mdebwedo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wacha wee
SureEti Mwanamke uki mto kisawasawa mengine yote atavumilia hajaumbwa mwanamke wa hivyo Katika Dunia hii
Mwehu mmoja anajikuta anatujua sana Wanawake kuliko sisi WenyeweSure
Una kumbukumbu nzuri sana NumbisaNaona Amina livumilia sana mpaka kaleta mtoto wa pili ila jamaa hakushtuka wala kurudisha majeshi kimoja
wale jamaa wa kuleta udini sijawaona hapa huwa wanatamba ndoa za dini ya Alli hazina mambo ya kupelekana mahakaman
Chap kwa haraka...ila kila week end nakuwa period sijui wameniroga😵🙄tena ujiandae wikend hii show show my sweetie
Ndoa ni mtihani kwote kwote ila usije ukajidanganya kuoa Mkenya hata siku moja wengi wako after material gains, akivikosa lazma aombe divorce kugawana viliopo
Mfano wanawake wakikuyu almost 80% ni gold-diggers
Duh...huyo ex wako balaaa ulimpa nini huyo njembaChap kwa haraka...ila kila week end nakuwa period sijui wameniroga😵🙄
Kwani huyo Amina hakua na utu na utulivu?
Kwani kuna mwanaume anae penda mke mmoja? Hilo ni jambo la kawaida aliimanishe kuomba talaka, ila wakenya wamezidi,......wenyewe maisha ni pesa hawana utu hao mademuAcha kutupakizia uongo not all are after Money! Tatizo huyo Ali malaya kupitiliza. watanzania wenye Tamaa piawapo
Nadhani Amina alipokuwa anaingia kwenye ndoa na Ally alijua kwamba jamaa anapenda sana chini we ana watoto 5 kila mtu na Mama yake yeye ni nani au ana k gani ya kumtuliza jamaa.Ali Malaya
Duh..huyu jamaa unamjua? Kabisa au ni mambo ya jf mkuu?Ukweli ni huo nilio andika mkuu
Mi nadhani alifuata Jina ila hakujua kuna gaharama yake..alipoanza kuilipa ndo ameona uchungu.Nadhani Amina alipokuwa anaingia kwenye ndoa na Ally alijua kwamba jamaa anapenda sana chini we ana watoto 5 kila mtu na Mama yake yeye ni nani au ana k gani ya kumtuliza jamaa.
Namjua kupitia kwa watu anao watongoza pmDuh..huyu jamaa unamjua? Kabisa au ni mambo ya jf mkuu?
Duh basi mkuu,mtunzie siri yake.Namjua kupitia kwa watu anao watongoza pm
Pole yake ila kuolewa na Msanii yahitaji uvumilivu wa chumaMi nadhani alifuata Jina ila hakujua kuna gaharama yake..alipoanza kuilipa ndo ameona uchungu.