Ndoa ya Aziz Ki ni maisha yake binafsi, lakini Wacha nitie neno kidogo

Hakuna kanuni za ndoa .kila ndoa na style zake wengine wanalala uchi ,wengine na nguo

Wengine wanazama chumvini,wengine wanaogopa chumvi wanaona uchafu

Sasa usielezee ndoa yako ukadhani wote wanakula tigo
kwanza nitake radhi, sijaelezea ndoa wala hujui kama nipo kwenye ndoa au la, punguza jazba mkuu ni kama una hasira hivi
Nimesema:
"Nilisema hii ni project ikikamilika mtaona mengi na mtasema mengi
Mara nyingi tunajifunza kupitia makosa ila inapendeza ujifunze kwa mwingine..."
 
Inashangaza kweli!
 
Aziz Ki anatakiwa asichanganye maisha yake ya mahusiano na mpira. Ni vizuri kujipatia mke ila asiruhusu ndoa yake kuharibu mpira wake.
 
Mama yake amemshambulia eng hersi mtandaoni, tayar ndoa inaonekana Haina radhi na mama yake azizi.
 
Nachokiona sio kwamba Azizi k kaoa ila kamwolea Tajir yake na kwa din yao inaruhusiwa kabisa mtu kukuolea Tuko apa Mtakuja kurudisha ushuuda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…