Ndoa ya Aziz Ki ni maisha yake binafsi, lakini Wacha nitie neno kidogo

Ndoa ya Aziz Ki ni maisha yake binafsi, lakini Wacha nitie neno kidogo

Hakuna kanuni za ndoa .kila ndoa na style zake wengine wanalala uchi ,wengine na nguo

Wengine wanazama chumvini,wengine wanaogopa chumvi wanaona uchafu

Sasa usielezee ndoa yako ukadhani wote wanakula tigo
kwanza nitake radhi, sijaelezea ndoa wala hujui kama nipo kwenye ndoa au la, punguza jazba mkuu ni kama una hasira hivi
Nimesema:
"Nilisema hii ni project ikikamilika mtaona mengi na mtasema mengi
Mara nyingi tunajifunza kupitia makosa ila inapendeza ujifunze kwa mwingine..."
 
Hivi nyinyi mnaoshadadia wanaume waoe wanawake wenye tabia njema, mnataka wenye tabia mbovu waolewe na Nani? Au mnaataka wasiolewe maisha yao yote?

Mond tunamjua Ni mtu wa totoz lkn hata siku moja sijasikia mkimwambia zunchu amemchunguza kweli?

Kila mtu kapangiwa njia yake ya maisha, bahati mbaya Sana kwenye mapenzi utapata nguvu yakutoa ushauri lkn hutopata nguvu yakutenganisha.
Inashangaza kweli!
 
Aziz Ki anatakiwa asichanganye maisha yake ya mahusiano na mpira. Ni vizuri kujipatia mke ila asiruhusu ndoa yake kuharibu mpira wake.
 
Binafsi nampongeza Aziz ki Kwa kupata jiko, ila Nina haya

1. Wazee wanasema kuwa anayeona laZima aulize,
Sina uhakika kama kijana wetu Aziz ki aliuliza na kuchakata kuhusu mkewe.
Au alikutana na machawa wakamjaza akajikuta ameingia cha kike.
Nadhani Kwa maisha ya football ingekuwa njema akapata mke wa kumpa utulivu tofauti na Mobeto

2. Wazazi au ndugu wa Aziz ki kutoonekana siku ya kutoa mahali.
Eng Hersi ndo alisimama kama mzazi,
Hili halikuwa jema
Mama yake Aziz ki yupo Burkina Faso sio mbali ni kufika na kumpa heshima hiyo

Kumbuka hii ndoa ni ya mataifa mawili,
Eng Hersi ni Mtanzania na Mobeto ni Mtanzania, Kwa maana hiyo Eng Hersi anatokea umamani hawezi kusimama upande wa Aziz ki

3. Maisha yatakuwaje baada ya ustaa wa Aziz ki kufika Kikomo
Football ni Kazi ya muda mfupi mno
Labda Mobeto kampenda Aziz ki kisa ni staa lakini nina uhakika Aziz hana misimu 3 mbele akiwa katika form hii

4. Kwanini asingefunga ndoa mwisho wa msimu
Ligi inaendelea key players wanafunga ndoa na wachezaji waandamizi wote wako kwenye harusi na tarehe 17 Kuna mchezo dhidi ya Mashujaa, hapa nawaza

Mapenzi mapya yanahitaji muda, huwezi kuwa na mke mpya uwaze vyema kazi ya physical kama football na ufanye katika form nzuri

Washauri wa Aziz ki hawakukaa nae vyema kumpa madini ya msingi nadhani alikutana na machawa wakampoteza

Mchezaji wa Simba Valentine Nouma alifungwa ndoa ligi ikiwa inaendelea na Sasa sijamuona hata bench Nina Imani Simba itamwacha tu
Mama yake amemshambulia eng hersi mtandaoni, tayar ndoa inaonekana Haina radhi na mama yake azizi.
 
Back
Top Bottom