Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zinapigwa punchline za maanaDah siku tusipo vuta bhangi, huwa nondo Zina tembea
kwanza nitake radhi, sijaelezea ndoa wala hujui kama nipo kwenye ndoa au la, punguza jazba mkuu ni kama una hasira hiviHakuna kanuni za ndoa .kila ndoa na style zake wengine wanalala uchi ,wengine na nguo
Wengine wanazama chumvini,wengine wanaogopa chumvi wanaona uchafu
Sasa usielezee ndoa yako ukadhani wote wanakula tigo
Inashangaza kweli!Hivi nyinyi mnaoshadadia wanaume waoe wanawake wenye tabia njema, mnataka wenye tabia mbovu waolewe na Nani? Au mnaataka wasiolewe maisha yao yote?
Mond tunamjua Ni mtu wa totoz lkn hata siku moja sijasikia mkimwambia zunchu amemchunguza kweli?
Kila mtu kapangiwa njia yake ya maisha, bahati mbaya Sana kwenye mapenzi utapata nguvu yakutoa ushauri lkn hutopata nguvu yakutenganisha.
Dawa zikiisha atakumbuka offer zote alizotumiwa na kuzipiga chini I know hatasema machoni lkn atazungumza hivyoHuyo jamaa kaingizwa chaka na atalia sana muda si mrefu. Yani pakashume la bar unataka ulifuge ndani?
Najua hapa akina dada mtani attack ila huo ndio ukweli huyu Azizi kaingizwa mkenge.
Mama yake amemshambulia eng hersi mtandaoni, tayar ndoa inaonekana Haina radhi na mama yake azizi.Binafsi nampongeza Aziz ki Kwa kupata jiko, ila Nina haya
1. Wazee wanasema kuwa anayeona laZima aulize,
Sina uhakika kama kijana wetu Aziz ki aliuliza na kuchakata kuhusu mkewe.
Au alikutana na machawa wakamjaza akajikuta ameingia cha kike.
Nadhani Kwa maisha ya football ingekuwa njema akapata mke wa kumpa utulivu tofauti na Mobeto
2. Wazazi au ndugu wa Aziz ki kutoonekana siku ya kutoa mahali.
Eng Hersi ndo alisimama kama mzazi,
Hili halikuwa jema
Mama yake Aziz ki yupo Burkina Faso sio mbali ni kufika na kumpa heshima hiyo
Kumbuka hii ndoa ni ya mataifa mawili,
Eng Hersi ni Mtanzania na Mobeto ni Mtanzania, Kwa maana hiyo Eng Hersi anatokea umamani hawezi kusimama upande wa Aziz ki
3. Maisha yatakuwaje baada ya ustaa wa Aziz ki kufika Kikomo
Football ni Kazi ya muda mfupi mno
Labda Mobeto kampenda Aziz ki kisa ni staa lakini nina uhakika Aziz hana misimu 3 mbele akiwa katika form hii
4. Kwanini asingefunga ndoa mwisho wa msimu
Ligi inaendelea key players wanafunga ndoa na wachezaji waandamizi wote wako kwenye harusi na tarehe 17 Kuna mchezo dhidi ya Mashujaa, hapa nawaza
Mapenzi mapya yanahitaji muda, huwezi kuwa na mke mpya uwaze vyema kazi ya physical kama football na ufanye katika form nzuri
Washauri wa Aziz ki hawakukaa nae vyema kumpa madini ya msingi nadhani alikutana na machawa wakampoteza
Mchezaji wa Simba Valentine Nouma alifungwa ndoa ligi ikiwa inaendelea na Sasa sijamuona hata bench Nina Imani Simba itamwacha tu
Kaingia chaka, malaya ni malaya tuMkuu mambo yanabadilika hata Hamisa amepitia Mengi usiyoyajua.
Huenda kajifunza na akaamua kubafilika kuwa Mke Bora.
Aziz ndiye anajua Thamani ya Mke wake.
Kunguru hafugiki.Mkuu mambo yanabadilika hata Hamisa amepitia Mengi usiyoyajua.
Huenda kajifunza na akaamua kubafilika kuwa Mke Bora.
Aziz ndiye anajua Thamani ya Mke wake.