Ndoa ya Miaka 30 Kuishia Talaka: Makosa Mapya au Uvumilivu Uliofika Mwisho?

Issue ni kwamba wewe unaweza usitoe talaka lakini ukaletewa summons ya baraza la usuruhishi kata kwa nia ya mkeo kupata cheti ili akafungue shauri la Talaka mahakamani. Na usipoenda ndio imetoka hiyo kwa mkeo kuelekea mahakamani kudai talaka. πŸ˜ƒ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…