Ndoa ya Miaka 30 Kuishia Talaka: Makosa Mapya au Uvumilivu Uliofika Mwisho?

Kuna siri nzito .

Huyo mzee itakua amepata jibu la yule mtoto wake alikua ana doubt mbona kama ni mamluki/Nimeshikizwa

Kumbe wife aliwshi kumpiga tukio zamani sana.
 
Ndoa inayoshikiliwa na watoto
Ni hatari mnaweza kuuana
Kumbuka hakuna mapenzi tena
Huo ni ubinafsi! Ndoa baada ya kuwa na watoto, Nguzo kuu ni watoto. Unaposikia wanasema ndoa ni wito au sakramenti, maana yake ni hiyo. Watoto kwanza, ubinafsi baadaye
 
1. Maigizo na Fake Life:
Watu wengi huku nje sio wakweli. Utakuta wanafanya kumbukizi ya miaka 30 ya ndoa kwa nderemo na vifijo mtandaoni, lakini hali halisi ya ndani ni ya kuumiza na ya hovyo. Ni maigizo mwanzo mwisho.

2. Shinikizo la Jamii:
Ndoa sio kwa kila mtu na sio jambo la lazima. Jamii imetuaminisha kuwa ukiwa single haujakamilika, matokeo yake watu wanaingia kwenye ndoa wasizoweza kuzimudu gharama zake.

3. Kikomo cha Uvumilivu na Uhuru wa Umri:
Ukiona ndoa imevunjika baada ya miaka 30, ujue walishavumilia sana na sasa wamefika kikomo. Katika umri huu:
  • Wazazi wameshafariki: Hakuna hofu ya "wazee watasemaje", maamuzi yanakuwa ya binafsi.
  • Ukomavu: Mtu anaona hana sababu ya kumalizia siku zake zilizobaki duniani kwa uvumilivu unaomuumiza.
4. Msingi wa Kiimani (Kikristo):
Tukirudi kwenye msingi, vijana wanatakiwa kutoshiriki ngono hadi ndoa, na wakishaoana wabaki pamoja hadi kifo kiwatenganishe (hii inamhusu mwanaume na mwanamke). Kukiuka msingi huu ndio chanzo cha majanga mengi mbeleni.
 
Huo ni ubinafsi! Ndoa baada ya kuwa na watoto, Nguzo kuu ni watoto. Unaposikia wanasema ndoa ni wito au sakramenti, maana yake ni hiyo. Watoto kwanza, ubinafsi baadaye
Wale wasio na watoto ndoa yao itasimama kwa sababu zipi?

Kabla ya ndoa mliishije
Mkuu ndoa inayosimama kwa ajili ya watoto muda wowote kitatokea kitu
 
Kuna siri nzito .

Huyo mzee itakua amepata jibu la yule mtoto wake alikua ana doubt mbona kama ni mamluki/Nimeshikizwa

Kumbe wife aliwshi kumpiga tukio zamani sana.
Hamna kitu kama hicho
Na kama kuna uwezekano huo basi ni sawa wakiachana ni bora zaidi

Ila sasa kama ni mkuu si inamaana mwanamke alikua na viashiria vya usaliti kilichofanya amvumilie asimwache tangu mwanzo ni nini?
 
1. Maigizo na Fake Life:
Watu wengi huku nje sio wakweli. Utakuta wanafanya kumbukizi ya miaka 30 ya ndoa kwa nderemo na vifijo mtandaoni, lakini hali halisi ya ndani ni ya kuumiza na ya hovyo. Ni maigizo mwanzo mwisho.
Hivi hua kuna ulazima gani kutumia nguvu kubwa kiasi hiki kuamanisha watu kua mnafuraha
2. Shinikizo la Jamii:
Ndoa sio kwa kila mtu na sio jambo la lazima. Jamii imetuaminisha kuwa ukiwa single haujakamilika, matokeo yake watu wanaingia kwenye ndoa wasizoweza kuzimudu gharama zake.
Kwetu Africa ndoa ni kama hitaji la msingi yaani ukitaka uheshimiwe uwe na ndoa mbali na hapo unatungiwa majina sasa watu wengi hulazima hata kuolewa na watu ambao sio machaguo yao kutafuta heshima mwenye jamii
Hapa kwenye uvumilivu umenena haswa
Mtu anajitia moyo kuvumilia

mwisho huko ameshazeeka anagundua hakuna mabadiliko na muda unasonga anaamua amalize uzee wake kwa amani
Hii tena haifanyi kazi kabisa kwa sasa
 
Hakikisha wakati wote umekula na umeshiba .... kwa hisani ya Evelyn Salt
usisahau kuusikiliza na huu wimbo


View: https://youtu.be/cOmMB87bmcU?si=sJkd-dtFJ0AdRIUq
 
Wanaume tunaacha wake zetu kwa makosa ya zamani ambayo hukuyagundua na ukisha yagundua unafanya projection ya future na hutoiona!!

Ukigundua at one time mtoto wako uliemlea Kwa tabu sana hasa wakati wa ujauzito!ukagundua ule ujauzito uliwahi kabidhiwa kwa mtu mwingine kwamba ni wa kwake!hata ukipima DNA ukakuta ni mtoto wako,Bado hutomwamini tena huko mnapoelekea coz utajiuliza kama haya ameyafanya Bado Nina ushawishi wa kazi,pesa na nguvu je ikitokea nimepoteza ushawishi wa nguvu,KAZI ya kudumu na fedha nitafanywaje!!?

JUST RUN!

SIMPLY YOU HAVE TO RUN!
 
Kumbe ipo hivyo basi sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…