Ndoa ya mke mmoja ni maagizo potofu ya mwanadamu, sio Mungu. Ukweli huu hapa

Mkuu una uhakika Adam alikuwa na Mke Mmoja au ndo ukivyofundishwa hivyo
Mungu angetaka hio polygamy system, angemuumbia Adam mke zaidi ya mmoja.
Ila hakufanya hivo, alimuumbia Adam mke mmoja tuu na Adam akarithika na kukaa naye maisha yake yote na hakuongezewa mke.
 
Sasa mfano nikitaka kuoa mke wa pili ndoa tutafungia wapi ikiwa kanisani hawataki?

Ww unaepiga debe mitaala kasome Mathayo 19 , ndo utaelewa maana ya ndoa
Mimi sipigii debe, kwa sababu ndoa ya mitala ipo kisheria, kiislamu na kimila. Kakague cheti cha ndoa vizuri, kinaruhusu wewe kuchagua ndoa ya aina gani ikupendezayo mkuu ili mradi mmeelewana na mwenzio.
 
Unajua hizo barua au maandiko yalikuwa maalumu kwa wakati huo na kwa watu kipindi hicho. Mfano barua ya wafilipi mimi mtz inanihusu nni?

Mkiamua kuchukua maagizo ya biblia chukuen yote na mfuate yote, sio mnayoyapenda. Unafiki
 
Mathayo 19:5-6
Akasema, kwa sababu hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake, nao wawili watakuwa mwili mmoja’
6.Kwa hiyo, wao si wawili tena bali mwili mmoja. Basi, alichounganisha Mungu, binadamu asikitenganishe.”

Mwanzo 2:22
Na ule ubavu alioutwaa katika Adamu Bwana Mungu akaufanya mwanamke, akamleta kwa Adamu.

Mwanzo 2:23
Adamu akasema, Sasa huyu ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu, basi ataitwa mwanamke, kwa maana ametwaliwa katika mwanamume.

Mwanzo 2:24
Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.

Mathayo 19:8
Akawaambia, Musa, kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu, aliwapa ruhusa kuwaacha wake zenu; lakini tangu mwanzo haikuwa hivi.

Marko 10:5-9
5 Yesu akawaambia, “Musa aliwaandikia sheria hiyo kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu. 6 Lakini tangu mwanzo wa uumbaji, ‘Mungu aliwaumba mume na mke. 7 Na kwa sababu hii mume atamwacha baba yake na mama yake na hao wawili, watakuwa mwili mmoja.’ 8 Kwa hiyo hawatakuwa wawili tena bali mwili mmoja. 9 Basi, alichokiun ganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe.”
 
Hapa una hoja mkuu, ila nje ya mada kidogo unazani ni kwanini wa misionary walimfananisha Yesu na mzungu na siyo mwafrika mweusi tuu wa huko kishumundu aliye pigika na maisha?
 
Mnaolinganisha ndoa ya mke mmoja na uumbaji wa Mungu....kwamba aliumba mke mmoja na mume mmoja (Adam na Hawa mtawalia) kuna mahali mnakwama.

Kwani Adamu kuna mahali pameandikwa kuwa alifunga NDOA? Hebu tuleteeni hivyo vifungu tafadhali.

Huu mfano wenu haufai kwa kuliwa wala kulumangiwa.

Mungu aliamua kuumba jinsi mbili tu....ke & me ambazo zingeendelez uzazi na kuijaza dunIa. Nyie mlitaka aunde jinsi ngapi yakhe?
 
Mathayo 19:5-6
Akasema, kwa sababu hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake, nao wawili watakuwa mwili mmoja’
6.Kwa hiyo, wao si wawili tena bali mwili mmoja. Basi, alichounganisha Mungu, binadamu asikitenganishe.”

Mwanzo 2:22
Na ule ubavu alioutwaa katika Adamu Bwana Mungu akaufanya mwanamke, akamleta kwa Adamu.

Mwanzo 2:23
Adamu akasema, Sasa huyu ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu, basi ataitwa mwanamke, kwa maana ametwaliwa katika mwanamume.

Mwanzo 2:24
Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.

Mathayo 19:8
Akawaambia, Musa, kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu, aliwapa ruhusa kuwaacha wake zenu; lakini tangu mwanzo haikuwa hivi.

Marko 10:5-9
5 Yesu akawaambia, “Musa aliwaandikia sheria hiyo kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu. 6 Lakini tangu mwanzo wa uumbaji, ‘Mungu aliwaumba mume na mke. 7 Na kwa sababu hii mume atamwacha baba yake na mama yake na hao wawili, watakuwa mwili mmoja.’ 8 Kwa hiyo hawatakuwa wawili tena bali mwili mmoja. 9 Basi, alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe.”
 
Weka ushahidi ndugu

Jadda umeshaiona hii?

Pamoja mkuu. Unajua hawa wanafuata vitu wasivyojua kwa nje ila ndani n wazinzi tu
 
Waefeso 5:31

Kwa sababu hiyo, mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mkewe, nao wawili watakuwa mwili mmoja.”

Kwanini sio ataungana na wakeze? Kwanini iwe mkewe? Dhana ya mwili mmoja inaaply vipi watakapokuwa wanawake wengi?
Mkuu hilo fungu hata hujaliewewa kabisa Yaani hata kidgo Dhana ya mwili mmoja sio unavyofikiri kwamba eti kutakuwa na muunganiko w mwili dah literal bible reader mwingine dah
 
Nature hujieleza je kuna mwanamke anataka mke mwenza??
Mathayo 19:5-6
Akasema, kwa sababu hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake, nao wawili watakuwa mwili mmoja’
6.Kwa hiyo, wao si wawili tena bali mwili mmoja. Basi, alichounganisha Mungu, binadamu asikitenganishe.”

Mwanzo 2:22
Na ule ubavu alioutwaa katika Adamu Bwana Mungu akaufanya mwanamke, akamleta kwa Adamu.

Mwanzo 2:23
Adamu akasema, Sasa huyu ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu, basi ataitwa mwanamke, kwa maana ametwaliwa katika mwanamume.

Mwanzo 2:24
Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.

Mathayo 19:8
Akawaambia, Musa, kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu, aliwapa ruhusa kuwaacha wake zenu; lakini tangu mwanzo haikuwa hivi.

Marko 10:5-9
5 Yesu akawaambia, “Musa aliwaandikia sheria hiyo kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu. 6 Lakini tangu mwanzo wa uumbaji, ‘Mungu aliwaumba mume na mke. 7 Na kwa sababu hii mume atamwacha baba yake na mama yake na hao wawili, watakuwa mwili mmoja.’ 8 Kwa hiyo hawatakuwa wawili tena bali mwili mmoja. 9 Basi, alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe.”
 
Pamoja mkuu. Unajua hawa wanafuata vitu wasivyojua kwa nje ila ndani n wazinzi tu
Mathayo 19:5-6
Akasema, kwa sababu hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake, ataungana na mke wake, nao wawili watakuwa mwili mmoja’
6.Kwa hiyo, wao si wawili tena bali mwili mmoja. Basi, alichounganisha Mungu, binadamu asikitenganishe.”

Mwanzo 2:22
Na ule ubavu alioutwaa katika Adamu Bwana Mungu akaufanya mwanamke, akamleta kwa Adamu.

Mwanzo 2:23
Adamu akasema, Sasa huyu ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu, basi ataitwa mwanamke, kwa maana ametwaliwa katika mwanamume.

Mwanzo 2:24
Kwa hiyo mwanamume atamwacha baba yake na mama yake naye ataambatana na mkewe, nao watakuwa mwili mmoja.

Mathayo 19:8
Akawaambia, Musa, kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu, aliwapa ruhusa kuwaacha wake zenu; lakini tangu mwanzo haikuwa hivi.

Marko 10:5-9
5 Yesu akawaambia, “Musa aliwaandikia sheria hiyo kwa sababu ya ugumu wa mioyo yenu. 6 Lakini tangu mwanzo wa uumbaji, ‘Mungu aliwaumba mume na mke. 7 Na kwa sababu hii mume atamwacha baba yake na mama yake na hao wawili, watakuwa mwili mmoja.’ 8 Kwa hiyo hawatakuwa wawili tena bali mwili mmoja. 9 Basi, alichokiunganisha Mungu, mwanadamu asikitenganishe.”
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…