Ndoa ya mke mmoja ni maagizo potofu ya mwanadamu, sio Mungu. Ukweli huu hapa

Asante baba mchungaji
 
Kuoa wake zaidi ya mmoja ni unyama na ubinafsi.umeweka mbele tamaa zako na kudharau za mwenzio.kwanza nani kakudanganya mkeo anaridhika na ww pia ? Mapenzi ni kuamua kuvumiliana tu
 
Mkuu nimekuomba kitu kimoja tu lakini wewe unaandika mambo mengi. Hebu taja kifungu walau kimoja tu kinachoharamisha ndoa za wake wengi kwenye biblia takatifu. Acha maneno mengi.
 
Kuoa wake zaidi ya mmoja ni unyama na ubinafsi.umeweka mbele tamaa zako na kudharau za mwenzio.kwanza nani kakudanganya mkeo anaridhika na ww pia ? Mapenzi ni kuamua kuvumiliana tu
Mkuu bado sijakuelewa. Hebu fafanua vizuri.
 
hata kama hakuna mstari wowote wa ku support ila sisi tunasemajee:-
Kilichofungwa duniani..... na mbinguni kishafungwa hadi hapo kifo kitakapowatenganisha. ( yaani ni mmoko kwa mmoko).
 
Mkuu hilo fungu hata hujaliewewa kabisa Yaani hata kidgo Dhana ya mwili mmoja sio unavyofikiri kwamba eti kutakuwa na muunganiko w mwili dah literal bible reader mwingine dah
Endelea kusoma hoja za mbele huenda ukaelewa.
 

Ngoja nichambue Facts zote mlizosema kwa pamoja

Fungu la mke Mmoja mwanzo ,Efeso,Marko na mathayo

Ok Then ngoja nikutafasirie hilo fungu Maana wengi ndo mlilokomalia sana kulituma kama uthibitisho wenu...

Kwakuwa asili yake limeandikwa kwa Lugha nyingi sana ila Kihebrania ikiwa ndo lugha yake ya kwanza na baadae kwa kiyunani.

Mwanzo 2:24

Kihebrania

עַל כֵּן יַעֲזָב אִישׁ אֶת אָבִיו וְאֶת אִמּוֹ וְדָבַק בְּאִשְׁתּוֹ וְהָיוּ לְבָשָׂר אֶחָד

Matamshi yake
Al qen yaazov iish ʾet ʾāvīw ʾet ʾimmō vdāvaq baʾištō v`hāיו lavāśār ʾaḥād

Sasa Ntakutasiria kwanza yote

Kwahiyo mwanaume atamuacha Baba na mama Yake na ataambatana na Mkewe nao watakuwa mwili mmoja..
TAfsir ya kilugha na kimaana


Naomba nianze ma neno lililokazaniwa na wengi watakuwa Mwili mmoja.. Neno kwa kihebraniwa huandikwa na kitamkwa..
(לְבָשָׂר אֶחָד, livśār ʾaḥād)

Na neno hili halina maana kwamba watakuwa na mwili mmoja Kwamba nyama to nyama au Physically ,ila linamaanisha emotionally na spiritually.

na hii imekuwa kanuni ya miaka yote kwamba kama itaungana au kumuoa mtu mchafu lazma na wwe utakuwa mchafu Spiritually ndo maana hata wana wa israel walikuwa hawaoni hovyohovyo na makabila mengi...
SO spiritual means ina maanisha utaunganishwa naye kiroho na sio kinyama...
unafahamu kuhusu 1 wakorintho 6:15-17



Sasa neno Lilolotumika kamaa kuambatana ni וְדָבַק
Au kutamkika Davaq
linamaanisha kuwa karibu na kitu na kwa mantiki ya kiligha hapo ni kihisia na kiroho na sio kuungana..

So kwa taarifa yako Wanawake wote uliotembea Nayo uliunganishwa nao kiroho na wote ni wake zako 😅😅

Tumalizie na אִשְׁתּוֹ (ʾištō) ambayo humaanisha Mwanamke (Mke) lakini kwenye hali ya umoja wenye wingi ila ingetumika אִשָּׁה (ʾiššāh) ingekuwa ni ummoja kabisa

Nafikiri Nimemaliza moja kabla sijaelekea kwenye uumbaji
 
Stori ya Lutu na mabinti zake unazijua vizuri? Baada ya sodoma na gomora kuangamizwa , hakuna mwanaume aliyebaki kasoro luthu tu, na mabinti zake wakasema tazama nchi hii Haina hata mwanaume ikabidi wamleweshe baba yao Ii afanye nao mapenzi wapate mimba III kizazi kiendelee,. Ibrahimu na mkewe Sara hawakujaliwa kupata mtoto mpaka wanafikisha miaka 100 lakini Mungu alishawapa ahadi ya kupata mtoto lakini mwanadamu ni mwanadamu tu ndipo Sara akamruhusu Ibrahimu kumuingilia kijakazi Ili wapate uzao lakini angalia kilichotokea baada ya hapo ni vita Kati ya Sara na kijakazi Kwa sababu haukuwa mpango wa binadamu na mpaka Leo ni vita Kati ya uzao wa hao Wana wawili wa ibrahimu,
Huyo Daud baada ya kumla mke wa mtu na kuzaa nae mtoto kilichotokea ni balaa kwake alipigwa ugonjwa usiojulikana chupuchupu afe na huyo mtoto alifariki na baada ya kufarii ndio kupata nafuu Mungu alichukia vibaya sana,
Mfalume suleimani pamoja na utajiri wake aliooanwanawake 700 na masuria 300 na Bado aliishia kusema ni ubatili mtupu CHINI ya jua Kwa kifupi alijutia maamuzi yake,
Ndoa SI ya Kila mtu , wapo WATU hawafai kuoa Wala kutolewa, wengine ni matowashi, wengine wamefanywa kuwa watoashi, ndoa ni ngumu hata hao mafarisayo na masdukayo walikuwa ni watalaamu wa Sheria na wao walidiriki kumwambia yesu kwamba kuoa basi hakufai baada ya kuona misimamo ya yesu kuhusu ndoa, rejea mathayo 19: 1- 12, kuoa sio lazima kama huna akili usioe maandiko yanasema ishi na mwanamke Kwa akili, sio ishi na wanawake Kwa akili, mke ni mmoja na Mume ninmmoja tu , hakuna sehemu kwenye biblia imesema oa wanawake zaidi ya mmoja!
Haya ya wanawake wengi ni matakwa ya wanadamu na shingo zetu ngumu!
 
Those Qns: were valid clear Tactical for the question which i may ask...But obviously you miss My point there...

Ok then If you overlook Your children on doing some kind of bad stuff and you bless them for it..Are we going to name you a good example dady?
 
Site tunajua kuwa Mungu alimuumba Mwanaume Mmoja Adam na Mwanamke Mmoja Hawa.

Huo ndio ulikuwa mpango wa Mungu, lakini unajua Hawa ndio binadamu wa kwanza kuchepuka? Akaenda Kwa nyoka mume ambaye hakupewa na MUNGU.

Marko 10:5-; BWANA YESU alikuwa akiwajibu mafarisayo walipomuuliza kama ni halali kumpa TALAKA mke...

Kumbuka msingi wa hoja ya Original Poster, ni kuhusu KUONGEZA MKE na sio kuhusu TALAKA.

Angalia Waamuzi 8:30 Gideon anatajwa kuwa alikuwa na wake wengi, hata BIBLIA inasema Wakati ujao Wanawake 7 watamtafuta Mwanaume Mmoja wakimwomba watumie jina lake Ili tu kufichiwa aibu hiyo ni Isaya 4:1, pia Kumbukumbu la torati 21:15 utaona inaeleweka Mwanaume anaweza kuoa mke zaidi ya mmoja, kuna Verse NYINGI kama utahitaji nakuwekea.

Katika agano jipya ni viongozi wa Kanisa kama sikosei ni Maaskofu na Wachungaji ndio wanatakiwa wasiwe na mke zaidi ya mmoja...

Haya mambo unayoyazungumzia ni msingi wa hofu tunazopandikizwa na viongozi wa dini, mwaka 1882 huko Marekani wakaweka Sheria kuwa ndoa za mitala si halali...
 
Mtu unawaza wake wengi wakati hata uhakika wa kula huna....
Mambo mengine ni akili ya kawaida tu, huitaji kuwa na dini yyte.
 
Who blessed those them??
If God bleesed them, Look at the problems and confusion that followed when God's people when they decided to have multiple wives or have concubines.

Look what happened to Abraham.
Look what happened to David.
Look what happened to Solomon.

Overlooking doesn't mean blessing, when God allows things to happen it doesn't mean he is blessing, he just wants to prove a point, and he was successful at that.

If you want have multiple wives, do it, but don't say God allows it because he doesn't.
 
Ni kweli kabisa.
Ni kama ambavyo wanaume hujidanganya wanaweza mtosheleza mwanamke wakati wanawake wanaongoza kukitembeza nje bila matangazo na majigambo.
Hata nyakati za babu zetu walioa wake wengi ila wake zao walichakatwa na majirani, ndugu n.k mara nyingi bibi zetu wLihakikisha mtoto 1 ni wa nje.🤣
 
Kuhusu mwanaume mmoja na mwanamke mmoja hiyo ni contradiction mkuu...

Ngoja nikupe story Halisia na uumbaji wa binadamu kuhusu mimea na bustni hiyo inaweza ikaja baadae

Uumbaji wa kwanza kufanyika ulikuwa ni uumbaji wa Mwanaume na mwanamke walioumbwa kwa udongo na wote kwa pamoja Walipewa jina la Adama au Adam...

Mwanzo 5:1-2



Pia kama utakuwa textual anylist utanmgundua uumbaji huu unaosemwa hapa ndo uumbaji wa kwanza kwenye

Mwanzo 1:26-27


Neno mtu Tafsiri ya mwanzo kabisa ya uumbaji ilimaanisha Watu wawili na wote waliumbwa siku moja na kutumia madongo au Udongo


Na uumbaji wa pili Ulikuwa ni uumbaji wa Mtu kutoka katika mwili wa mtu kwa sababu yule mwanamke wa kwanza hakumuheshimu Adam kwakuwa walikuwa sawa hivyo walitengena na yeye kuondok hiyo ilimpelekea Adam kuishi maisha ya upweke sana na ndo ile kauli na si vyema mtu huyu aishi peke yake...

Mwanzo 2:18


Sasa mungu anachukua Upande aa ubavu na sio Udongo anafinyanga mwingine

Sasa Baada ya Kuumbwa yule mwanamke wa pili anapelekwa Kwa Adam..Adam baada ya kumuona huyu wa pili anatamka maneno kama "Sasa huyu" maana yake sio Yule au sio mwingine...
Na ikumbukwe waliombwa wa kwanza akiwemo Adamu Walipewa Majina na Mungu Rejea Hapo juu mwanzo 5:1 ila huyu alipewa jina na Adam

SASA HIYO NDO SIRI NA UKWELI TULIOFICHWA SIKU NYINGI MWENYE SIKIO NA SASIKIE
 
What Happened to Mosses?
 
What Happened to Mosses?
Miriam and Aaron lamented about Moses' second wife saying his attention is directed towards his cushite wife and God gave miriam leprosy, now do you see how this polygamy system brings out disasters.
 
Miriam and Aaron lamented about Moses' second wife saying his attention is directed towards his cushite wife and God gave miriam leprosy, now do you see how this polygamy system brings out disasters.
But who protected Mosses 😅😅 After marying another wife from the face of His relatives 😅😅
 
But who protected Mosses 😅😅 After marying another wife from the face of His relatives 😅😅
That's not the point.
Even god protected David even though David did a bad thing, he said "You will not die but your son will die"

I see we're not making any progress.

You ask minor qns which I already explained.

Broo marry as many wives as you want it's all up to you.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…